Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

soko la nguruwe linalipa sana. me najivunia sana kuwa mfugaji. chakula ni chamuhimu sana.

awali sikuzingatia chakula lkn baada ya kuanza kuzingatia aisee hii midude inazaa.

nilianza na nguruwe 4 lkn hadi sasa nina 48 na wengine kama 200 niliuza
 
Hao wanaminyoo wachome sindano za ivermactin
 

Naomba namba yako ya simu
 
Nguruwe hata umuweke wapi minyoo haitomuondoka hatta siku moja. Huyu mnyama anakula mavi yake mwenyewe Vipi utaweza kumuepusha na minyoo kwa kutumia hizo drinkers?
Kichwa cha muharabu si rahisi kuelewa jambo. Hata kikielewa bado kinakuwa kizito kukubali
 

Bana weee nguruwe watu wana ogopa ila ukimwi hawaogopi pia wake za watu wana kula dunia hii [emoji23][emoji23][emoji23]

Mi kitimoto nimeanza kula tangu mtoto ila sijawai kumbana na ugonjwa
 
Kichwa cha muharabu si rahisi kuelewa jambo. Hata kikielewa bado kinakuwa kizito kukubali
Maneno ya Busara kutoka kwa fundi wa chupa!
Teh teh teh.

Endelea kushona hizo kabati kamanda. Siku ukianza kushona suruali tuwasiliane.
Ahsanta.
 
Mimi nimeanza mwezi wa sita mwanzoni nina 50;
 


Piglets 0.5kg/day.
Weaners 1.0 kg/day
Growers 1.5kgs/day
Finishers 1.5 - 2kgs/day.
Pregnat and lactating sow 3 kgs/day
Boar 2.5 kgs/day.

 
Reactions: Kop
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…