Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Nielekeze moshi sehemu gani nikadhibitishe nilete mrejesho mara moja
Bado haijazalishwa moshi ila ipo kama parent stock.
Kama nilivyoeleza hii mbegu ni ngeni nchini hivyo wachache waliozalisha. Kuna njia mbili za kuipata kwa wingi
1.Ngoja wenye nazo wazalishe ununue kwao.Itakuwa March to April 2017 kwa sababu wanyama wengi wana mimba
2.Kuagiza kutoka nje kwa kupitia TAPIFA na hii ni kwa wanachama tu!
Chaguo ni lako.Nawaombeni watanzania wenzangu someni basi.Hizo link na website nilizoweka ni kukusaidia wewe kuelewa.
Sio rahisi mm kuwepo jf muda wote.Nipigie kama una maswali zaidi na usiponipata kwa simu andika msg nitakupigia.
Upatikanaji wa hii mbegu kwa sasa ni gharama,hivyo hii mbegu ni kwa wale tu wanaotaka kufanya ufugaji kibiashara na wapo tayari kuwekeza.ahsanteni
 
Hata Mimi nimekuwa na wazo hili,japo sikupata nafasi ya kufanya research.
Mkuu hali ni ngumu sana ila hii isikufanye/isitufanye kushindwa kuanzisha project.
Instead of starting with six pregnated pigs,you can choose to begin with at least six piglets (5 females and 1 male) which will cost you little money compared to those big ones.
Nipo dar,tunaweza kuonana na kushauriana zaidi.
Take my number 0719284019
 
k will find u thruu yo no.
 

Kuongezeka " 0.7-0.9kg kwa siku", kama ni kweli lazima kutakuwa na side effects kwenye quality ya nyama nk. Believe me or not. Hapo ni ongezeko la wastani wa kilo 1 kwa masaa 24!!!!!!

Hiyo mbegu mliibreed wenyewe au exotic? Kama ni imported vipi swala la "GMOs"! Kama ni imported tuwe makini sana na hivi vitu vinavyotoka kwa hawa wenzetu!

Kwa mfano kuna aina ya kuku imeningia hapa nchini (Tz) wameenea sehemu nyingi sana hapa nchini wanakuwa wakubwa sana na kwa muda mfupi! Lakini quality ya nyama yake ni ya CHINI mno! Hawa kuku ni imported!!
 

try to explain and support your urgument vividly
 
try to explain and support your urgument vividly
Kwa hilo la ongezeko, inajulikana kuwa kadiri kitu kinavyojijenga pole pole hasa viumbe hai (wanyama na mimiea, vivyo hivyo na uimari/ubora wake pia) (nukuu zipo ila ni mpaka kuzichambua na hapa hatuko mahakamani ila ni kwa ajili ya kuelekezana/kuelimishana).

Hilo la pili la kuhusu chanzo cha hiyo mbegu ni ANGALIZO. Kwa sababu hawa wenzetu wamekuwa wakifanya mambo kwa malengo yao (yaliyo jificha) ya muda mrefu hata miaka 100 ambayo sisi hatuyajui; na malengo hayo mara nyingi unakuta yana manufaa zaidi kwao na kidogo sana kwetu kama sio majanga.

Hapa tunaelekezana na kujuzana hali halisi, kwa hiyo kama mngetupatia chanzo cha hiyo mbegu tungeshukuru sana.

Asante sana mdau.
 
Habari za saa hizi wana jamii forum,mimi ni mfugaji wa nguruwe ninao kumi na tatu (13) nataka niwauze mwezi wa tatu,kwa sababu watakua na afya nzuri kipindi hicho kwa ajili ya kuchinjwa na kuliwa,napatikana mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa bado sijajua zaidi kuhusu soko(sina mteja maalum) ningependa mnijuze waungwana wenzangu.
Namba zangu za sim ni 0762283253
Email:kennedyshirima09@gmail.com
Asanteni sana.
Baadhi ya picha
 
Habari za saa hizi wanajamii forum,mimi nina nguruwe kumi na tatu natarajia niwauze mwezi wa tatu nipo Marangu Moshi,ninapenda kupata mteja atakaye nunua wote kwa jumla.
Namba zangu za sim ni 0762283253
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…