Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ninauza ngurue wako kumi na mbili niko homo moshi kwa wale mnaonunua mgurwe kwa jumla tuwasiliane pla
 
Mojawapo ya Changamoto kubwa kwa wafugaji wa nguruwe imekuwa ukosefu wa mbegu bora na yenye tija hapa nchini. Mbegu nzuri zilizoletwa na wakoloni miaka ile zimepoteza ubora wake kwa sababu ya inbreeding.

Wafugaji wachache wenye nia ya kuboresha ufugaji wa nguruwe waliungana pamoja na kuunda chama cha wafugaji nguruwe Tanzania(Tanzania Association OF Pig Farmers -TAPIFA). Kwa kupitia TAPIFA watanzania wengi wataweza kupata aina mpya ya mbegu ya nguruwe iitwayo Camborough.

Mbegu hii ina sifa zifuatazo:

  • Hukua haraka-inaweza kuongezeka 0.7-0.9kg kwa siku.Camborough wa miezi 6 anazaidi ya 100kg
  • Hutumia vizuri chakula kuzalisha nyama(feed conversion)
  • Huzaa watoto wengi(watoto 10-23)
  • Huwa na nyama nzuri isiyo na mafuta
Tayari kuna wafugaji wanafuga mbegu hizi hapa Tanzania wale ambao waliagiza mwanzo lakini pia TAPIFA yaweza kukusaidia kuagiza mbegu hii.Waweza tembelea www.tapifa.or.tz kupata taarifa zaidi kuhusu chama hiki mkombozi wa wafugaji nguruwe Tanzania au waweza wasiliana nami pia kwa 0789412904(simu,msg,whatasap). Waweza pitia threads mbalimbali za ufugaji nilizoandika jamii forums kuhusu tasnia hii ya ufugaji(search MalafyaleP).

Angalia pia attachment inayoonyesha growth performance ya camborough.

..........................................
Baada ya kupokea simu nyingi na meseji ni vema nikaweka sawa zaidi:
Hii mbegu ni ngeni nchini hivyo wafugaji wachache tayari wamezalisha watoto na wengi hawauzi kwa sasa. Kuna njia mbili za kuipata kwa wingi
1.Ngoja wenye nazo wazalishe ununue kwao.Itakuwa March to April 2017 kwa sababu wanyama wengi wana mimba sasa.
2.Kuagiza kutoka nje kwa kupitia TAPIFA na hii ni kwa wanachama tu!

Chaguo ni lako.
Sio rahisi mm kuwepo jf muda wote.Nipigie kama una maswali zaidi na usiponipata kwa simu andika msg nitakupigia.
Upatikanaji wa hii mbegu kwa sasa ni gharama,hivyo hii mbegu ni kwa wale tu wanaotaka kufanya ufugaji kibiashara na wapo tayari kuwekeza.ahsanten

Kuna maelezo kwa undani kuhusu hii mbegu hapa www.picrsa.co.za

Camborough Growth Curve.jpg
 
Mkuu upatakinaji wake kwa hapa nchini ni mikoani au mkoa gani hasa?
Maana nipo katika maandalizi ya kuanza hii project ya ufugaji wa hao wanyama.
 
Habari za leo watanzania na wageni kwa ujumla wenu.

Natamani sana ufugaji wa nguruwe wenye tija lkn sijaweza fuga mpaka sasa kutokana na ukosefu wa mtaji. Nimefanya utafiti wa kutosha juu ya ufugagi huo ikiwa ni pamoja na kutembelea mashamba ya wafugaji waliofanikiwa kama malafyaleP nk.
Hivyo basi nimeonelea itakuwa vyema nikitafuta vijana kwa wazee tunaoshare the same interest atleast watano ili tuchange mtaji na kuweza kuanza huu ufugaji.

Mchanganuo:
Kuanza nguruwe 6@400000=2, 400000
Shamba heka moja tshs 700, 000

Ujenzi tshs 5mil. Ikiwa ni pamoja na makazi ya kijana wa kazi
Kuhusu chakula tutachangishana kila mwezi.

Hao nguruwe wa 400, 000 wanakuwa na mimba.

Angalizo:
Usitarajie return ya mapema. Faida yake ni baada ya two years.

Ukianza na hao 6 after two years utakuwa na nguruwe zaidi ya 200

Kwa mwenye nia ni pm
Karibuni
Wazo zuri.Wapo watu walio committed utapata tu. Mkishapata shamba na kuweka miundo mbinu,waweza nirudia tena .Who knows,naweza kukusaidia a few piglets to start with. Vijana wenye mawazo kama yako mnahitaji kupewa moyo zaidi
 
Back
Top Bottom