Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninauza ngurue wako kumi na mbili niko homo moshi kwa wale mnaonunua mgurwe kwa jumla tuwasiliane pla
Shingpi mkuu niko moshi? nani wakubwa au wadogo?Ninauza ngurue wako kumi na mbili niko homo moshi kwa wale mnaonunua mgurwe kwa jumla tuwasiliane pla
Wazo zuri.Wapo watu walio committed utapata tu. Mkishapata shamba na kuweka miundo mbinu,waweza nirudia tena .Who knows,naweza kukusaidia a few piglets to start with. Vijana wenye mawazo kama yako mnahitaji kupewa moyo zaidiHabari za leo watanzania na wageni kwa ujumla wenu.
Natamani sana ufugaji wa nguruwe wenye tija lkn sijaweza fuga mpaka sasa kutokana na ukosefu wa mtaji. Nimefanya utafiti wa kutosha juu ya ufugagi huo ikiwa ni pamoja na kutembelea mashamba ya wafugaji waliofanikiwa kama malafyaleP nk.
Hivyo basi nimeonelea itakuwa vyema nikitafuta vijana kwa wazee tunaoshare the same interest atleast watano ili tuchange mtaji na kuweza kuanza huu ufugaji.
Mchanganuo:
Kuanza nguruwe 6@400000=2, 400000
Shamba heka moja tshs 700, 000
Ujenzi tshs 5mil. Ikiwa ni pamoja na makazi ya kijana wa kazi
Kuhusu chakula tutachangishana kila mwezi.
Hao nguruwe wa 400, 000 wanakuwa na mimba.
Angalizo:
Usitarajie return ya mapema. Faida yake ni baada ya two years.
Ukianza na hao 6 after two years utakuwa na nguruwe zaidi ya 200
Kwa mwenye nia ni pm
Karibuni
Plz tunaomba utuwekee japo picha zao.