Asilimia kubwa ya lindi imani hairuhusu kula nguruwe ....hii haita kuwa changamoto na majirani wanaokuzunguka?
.....acha nyegemshindo!Afadhali picha zimegoma
niaje man heri ya mwaka mpya.....am much interested with the issue.....uko wapi niliuliza na hukujibu coz ni kitu ambacho nilitaka kukifanya mwaka ulioisha nikiwa na patner wangu mmoja tulishindwa kwa sababu ya vitu flan may b tunaweza share baadhi ya vitu na kuform hiyo group i if u real serious.......no. zangu ni hizi 0717183855Pamoja sana mkuu
kwa hyo nguruwe akiwa na kg 100 itakua hviSh 7,000.00 tu
We unataka ugomvi. HahahaNa ni kitoweo safi pia kwa wana-Lindi wote
Kuongezeka " 0.7-0.9kg kwa siku", kama ni kweli lazima kutakuwa na side effects kwenye quality ya nyama nk. Believe me or not. Hapo ni ongezeko la wastani wa kilo 1 kwa masaa 24!!!!!!
Hiyo mbegu mliibreed wenyewe au exotic? Kama ni imported vipi swala la "GMOs"! Kama ni imported tuwe makini sana na hivi vitu vinavyotoka kwa hawa wenzetu!
Hii mbegu ni mbegu zinazotumika dunia nzima.Kwa hiyo notion yako kwamba tunaletewa mbegu zenye madhara sio sahihi.Hebu jiongeze kidogo na soma hapo www.picrsa.co.za na pia soma kuhusu kampuni hii Pig Improvement Company(PIC).Hiyo growth na kawaida kwenye commercial farms. Hv kuna mbegu gani ya kwetu???Kwenye nguruwe mbegu tunazofuga zilitoka nje.Performance yake imeshuka kwa sababu ya inbreeding.
Kukusaidia zaidi:Camborough ni cross ya pure landrace na pure largewhite baada ya selection based on performance. Kaka kama unaweza pata pure landrace na pure largewhite,waweza zalisha hiyo mbegu!
Kwa mfano kuna aina ya kuku imeningia hapa nchini (Tz) wameenea sehemu nyingi sana hapa nchini wanakuwa wakubwa sana na kwa muda mfupi! Lakini quality ya nyama yake ni ya CHINI mno! Hawa kuku ni imported!!
Mkuu dezamba upo?niaje man heri ya mwaka mpya.....am much interested with the issue.....uko wapi niliuliza na hukujibu coz ni kitu ambacho nilitaka kukifanya mwaka ulioisha nikiwa na patner wangu mmoja tulishindwa kwa sababu ya vitu flan may b tunaweza share baadhi ya vitu na kuform hiyo group i if u real serious.......no. zangu ni hizi 0717183855
Mkuu kyene kyaka habari...!Namtafuta sana huyo jamaa nikae nae tuongee mana ndo naanza mradi wang
Mkuu habari,ulifanikiwa kufuga nguruwe?Naomba mwongozo wa ufugaji wa nguruwe kwani nina kijieneo changu huko zingiziwa nje kidogo ya jiji la dar ambacho nilitaka nikitumie kwa kufuga ama kuku wa kienyeji au nguruwe
Unapatikana wapi mkuu?Binafsi hii ni project ambayo nimepanga kuitekeleza kWa mwaka huu. Eneo la kufugia tayari nimelipata (shamba Dogo) changamoto ipo kwenye mtaji ndio Mdogo kwa ajili ya kujengea mabanda, chakula na msimamizi.