Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

kwa wataalamu,,ivi majani ya kabichi yanaweza kua bora kwa mifugo hii??
 


YANI UMEONGEA UKWELI MTUPU,,HATA MIMI NAFUGA NA ENEO NILILOPO SIO KIJIJINI BAS NINA KAMA MIEZI SITA
,,HIYO GARAMA YA CHAKULA NI BALAA ,,HALAFU UKUAJI PIA NI WA SHIDA KWA HIYO NI BALAA +++,ILA SIJAKATA TAMAA BADO KILA SIKU NAANGALIA NJIA ZA KUPUNGUZA GARAMA BADO SIJAFANIKIWA,,NGOJA NIONE MWAKA HUU UKIISHA NIJITATHMINI UPYA..
 


WAPI HUKO MKUU
 
Asante mkuu, wewe unafugia wapi,mkoa, wilaya n.k
 
Uko kama mimi yaani. Bora yako labda ni karibu na nyumbani.... mimi ni mbali kidogo na home. Sasa ukute chakula kimeisha, (nimeajiri zee sumbufu ndo linawahudumia.) Litapiga simu hata saa 8 ya usiku au lipate matatizo ya familia yake. Utatamani kulia.... mpaka saivi nawaona nguruwe kama simba
 
Mimi nipo mwanza ila haya mateso ya hawa viumbe hata sina hamu nao
 
Ramea nakuunga mkono asilimia Mia mbili. nimefuga hapa Dsm mwaka mzima nguruwe 10 faida kila mmoja elfu 40. hakuna value for money kabisa.
Fuga kuku wa mayai (layers) mkuu....achana na hayo maguruwe.
 
Hizo huwa ni hadithi tu, hata pure friesian breed mwenyewe hatoi hizo kwa siku, hiyo pure breed ya friesian utaitoa wapi katika ukanda huu wa kitropical?
True. Ni wanyama wachache sana wanaoweza kutoa lita 30 kwa siku. Nimewahi kushuhudia ng'ombe mmoja aliyetolewa shamba la Kitulo anatoa lita 30 kwa siku. Ila wakati wa joto huwa anateseka sana na uzalishaji maziwa hushuka...labda umfungie AC kwenye banda lake na umpe matunzo ya kuzungu ndipo ataendelea kutoa lita hizo 30 kwa siku...otherwise mazingira ya joto yatalimit production ya maziwa.
 
Hivi takwimu za kufikirika zinatuumoza watanzani, ng`ombe anatoa maziwa mwaka mzima?
 
nimefuga kwa miaka nane sasa,nilifikisha nguruwe mia,sasa nimebakiza kumi nahama huko nahamia kwenye kuku,gharama zimekuwa nyingi na pia km mtu wa kusafiri safiri unaweza shangaa nguruwe wanadumaa wafanyakazi wanachakachua vyakula na kuuza,pia hata kijijini bei ya nguruwe si kubwa km mjini,kwa maeneo ya baridi hawaendi kwa spidi km maeneo ya joto.
hakikisha miezi minne ya mwanzo fulow up ya nguvu kwenye misosi na usafi wa nguvu,na minyoo unawachoma kwa muda muafaka,na anti biotic usisahau
 
Sijui nifuge nini, kila ntakachofikiria nakutana na comment kua ni hasara sasa sijui niombe ajira tena au
Mkuu usipate mkanganyiko wewe kama una nafasi hapo unapoishi fuga mifugo midogo midogo hata kwa kuchanganya tafuta kuku wawili,bata wawili na kanga wawili dume na jike hao chakula chao cha kawaida ni pumba na majani baada ya mwaka utajikuta umepiga hatua kubwa huku ukiendelea na michongo yako mingine hao wanyama wakubwa kama nguruwe inatakiwa uwe umejipanga kuwahudumia sio kitoto.
 

MKUU ASANTE KWA KUMWAGA MAChAChE hAPA lakini NAShAuRI UTIRIRIKE hAPAhAPA MBONA PM MKUU UKO SISI WENGINE TUTAKOSA MAMBO KAKA..
Ushauri tuu...
 
Kama kuna lolote ungependa kufahamishwa we uliza tu mkuu,nitakuelewesha kadri ya ufaham wangu juu ya huu mfugo.ondoa shaka mkuu

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app

asante for quick reply. ila mimi nashauri kama mtu ameamua kuingia mazima kwenye sekta ya kilimo na ufugaji ni bora ukawekeza vema kwenye suala la usimamizi, kama wewe muwekezaji una muda basi simama kweli kweli lkn kama huna muda basi weka watu wenye weredi na uchungu na mradi wako. ni kweli wasimamizi wengi si waaminifu, wanahujumu sana miradi yetu labda kwa tamaa ya pesa ama ushawishi.. mimi nasema ufugaji na kilimo ni miradi yenye faida sana ila tuu ifanywe kwa umakini na uangalifu wa hali ya juu. kwa mfano. kama mtu anamtaji wa maana akapata samba ata eka 10 humo unaweza kuweka vitu kibao na mambo yakawa safi pia.. ila kwa wale wanaofugia mjini ni ngumu kimtindo manake mjini panahitaji mtaji mkubwa ambao mwisho wa siku mfugaji atapata hasara asipokuwa makini.
 
Hehehe..niko Mwanza natafuta soko la lita 40 za maziwa embu naomba unisaidie maana sasa naelekea kujuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…