Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Natafuta soko la nguruwe shamba liko himo bei nzuri kwa wanaonunua nguruwe tuwasiliane pia nina watoto wa kisasa kabisa white large wazuri
 
Reactions: 2AA
Ni pm nikuelekeze Kama autojali mimi Ni mtaalamu
 
Naomba na Mimi uniunge 0766854683
 
Duu pamoja na kutoa contact bado watu wanauliza sehemu ya kupata mbegu ya nguruwe????

Call/whatsap:0789412904

Instagram: malafyalepigfarms
Mkuu malafyale, niunge kwenye group 0752 211 237
 
Mwenye Namb ya Amoeba please naomba anipatie tafadhari.
Na kwa walioomba kuunganishwa kwenye Group la wafugaji wa Nguruwe je Group linaendeleaje na admin ni nani atuunganishe kuweza kujifunza zaidi.
0752091727
 
Mwenye Namb ya Amoeba please naomba anipatie tafadhari.
Na kwa walioomba kuunganishwa kwenye Group la wafugaji wa Nguruwe je Group linaendeleaje na admin ni nani atuunganishe kuweza kujifunza zaidi.
0752091727
 
SIKUBALIANI NA HESABU ZAKO.
Kwa Nini unasema gharama ya chakula ni sh.1,000,000 ?!!au kwa sababu wewe una shamba ekari 30 za kulima maboga na alizeti ili kuwalisha?!nguruwe mdogo wa kuanzia mwezi mmoja anakula wastani wa kilo 2 kwa siku.atakapofika umri wa kubeba mimba mpaka kujifungua ni wastani wa kuanzia kilo 6 mpaka 10 kwa siku kutegemea na ukubwa wake,akifika wakati wa kunyonyesha atahitaji nusu kilo ya ziada kwa Kila mtoto mmoja anayenyonyeshwa,kama Ana watoto 10 piga nusu kilo Mara 10 alaf ongeza na kilo zake anazokula Kwa siku...ndo umpe ale kwa ujumla kwa siku moja.sasa nguruwe hao 20 ambao wote ni majike na unataka wazae watoto 160 kwa mwaka mmoja!!! Ambao na wenyewe wanahitaji kula Tena!! FIKIRI MARA MBILI.na kabla hujamuuza lazima umpe chakula Cha ziada ili afikie walau kilo 200
Mbaya zaidi umuuze kwa sh.200,000 (laki 2) baada ya kumlisha mwaka mzima!heheh utapata HASARA ya kukutosha.
Hata kama gunia la pumba ni sh.10,000 tu
Na kumbuka nguruwe Hali pumba peke yake Kuna na mchanganyiko wa vyakula na lishe nyingine ambazo ni lazima apate .
Bado madawa na chanjo za kuzuia magonjwa.
Bado vifo vya watoto anaozaa,na kama unawafuga maeneo yenye joto,vifo vinaweza ongezeka zaidi.
Hiyo Milioni 1 haifai kwa lolote kulisha nguruwe.
Na kumbuka jinsi muda unavyozidi kwenda rate ya kuzaa kwa nguruwe huwa inapungua kutokana na genetically reasons kwa hiyo si rahisi kupata nguruwe 1500 kwa miaka 3 la sivyo matajiri wote wakubwa duniani wangekuwa wafugaji wa nguruwe!!! Wafugaji wakuku tu wenyewe wanajua gharama ya chakula ni almost 50% ya pesa zote..sembuse nguruwe.
Sahau kuhusu mil.300 in 3 years!!!
Usitupe False hopes!!!
GET YOUR FACTS STRAIGHT.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kama awe na source ya makombo ya chakula ambayo mengi hufanya nguruwee wawe na mafuta zaidi..! Pumba ni ngarama na madawa pia.. So kuuza nguruwe mkubwa laki 2 akati kwa wastani unaweza ukawa umemtunza kwa laki na nusu mwaka mzima ni utanii...
 
kwa anayeitaji nguruwe Watoto,au nyama kwa jumla na reja reja nauza,bei nafuu kabisa,kwa muitaji njoo pm ,napatikana dar es salaam
 
haramu!YESU wa nazareti aliyatupa mapepo machafu yakaingia kwa nguruwe!kila nguruwe ana pepo mchafu
Mungu mwenywe alitangua hilo katika kitabu cha matendo ya mitume 10:15 " Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia , Vilivyotakaswa na MUNGU husiviite wewe najisj" ukianzia mstari wa 9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…