IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Unajua km nguruwe ni haramu kufugwa na kuliwa?Nipo mkata TANGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua km nguruwe ni haramu kufugwa na kuliwa?Nipo mkata TANGA
Nashukuru sanaKitabu hichoView attachment 907547
Mambo ya imani ndugu yanguUnajua km nguruwe ni haramu kufugwa na kuliwa?
Hongera mkuuMambo ya imani ndugu yangu
Kila mtu na jinsi anavyo amini sisi kwetu si haram
Ukisusa wenzio twala sheikh 😝Unajua km nguruwe ni haramu kufugwa na kuliwa?
Ni pm nikuelekeze Kama autojali mimi Ni mtaalamuHeshima kwenu wakuu [emoji871]️
Nataka nifuge nguruwe maeneo ya bagamoyo nataka kuanza kidogo sana kwa mtaji wa 1m...
tafadhari ushauri wenu kwa lolote katika hili najua hapa wako wajuzi wengi wa maeneo mbali mbali katika ufugaji,,
Mungu awabariki pia katika kazi za mikono yenu [emoji871]️
Mwaga mambo yote hapa, mambo ya PM achana nayo.Ni pm nikuelekeze Kama autojali mimi Ni mtaalamu
Naomba na Mimi uniunge 0766854683Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe
Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....
Click link ifuatayo kujiunga......
Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI
TSA- PIG FARMING
Mkuu malafyale, niunge kwenye group 0752 211 237Duu pamoja na kutoa contact bado watu wanauliza sehemu ya kupata mbegu ya nguruwe????
Call/whatsap:0789412904
Instagram: malafyalepigfarms
Niunge MkuuKaribu wote katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe kibiashara ....click link kujiunga
TSA- PIG FARMING
Mwenye Namb ya Amoeba please naomba anipatie tafadhari.View attachment 324772
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
- Banda la mabanzi=1,000,000
- Chakula = 1,000,000
- Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000.
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike).
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500.
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nakupenda saana mpwa..
==========
USHUHUDA
======================================================
SIKUBALIANI NA HESABU ZAKO.View attachment 324772
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
- Banda la mabanzi=1,000,000
- Chakula = 1,000,000
- Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000.
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike).
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500.
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nakupenda saana mpwa..
==========
USHUHUDA
======================================================
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kama awe na source ya makombo ya chakula ambayo mengi hufanya nguruwee wawe na mafuta zaidi..! Pumba ni ngarama na madawa pia.. So kuuza nguruwe mkubwa laki 2 akati kwa wastani unaweza ukawa umemtunza kwa laki na nusu mwaka mzima ni utanii...SIKUBALIANI NA HESABU ZAKO.
Kwa Nini unasema gharama ya chakula ni sh.1,000,000 ?!!au kwa sababu wewe una shamba ekari 30 za kulima maboga na alizeti ili kuwalisha?!nguruwe mdogo wa kuanzia mwezi mmoja anakula wastani wa kilo 2 kwa siku.atakapofika umri wa kubeba mimba mpaka kujifungua ni wastani wa kuanzia kilo 6 mpaka 10 kwa siku kutegemea na ukubwa wake,akifika wakati wa kunyonyesha atahitaji nusu kilo ya ziada kwa Kila mtoto mmoja anayenyonyeshwa,kama Ana watoto 10 piga nusu kilo Mara 10 alaf ongeza na kilo zake anazokula Kwa siku...ndo umpe ale kwa ujumla kwa siku moja.sasa nguruwe hao 20 ambao wote ni majike na unataka wazae watoto 160 kwa mwaka mmoja!!! Ambao na wenyewe wanahitaji kula Tena!! FIKIRI MARA MBILI.na kabla hujamuuza lazima umpe chakula Cha ziada ili afikie walau kilo 200
Mbaya zaidi umuuze kwa sh.200,000 (laki 2) baada ya kumlisha mwaka mzima!heheh utapata HASARA ya kukutosha.
Hata kama gunia la pumba ni sh.10,000 tu
Na kumbuka nguruwe Hali pumba peke yake Kuna na mchanganyiko wa vyakula na lishe nyingine ambazo ni lazima apate .
Bado madawa na chanjo za kuzuia magonjwa.
Bado vifo vya watoto anaozaa,na kama unawafuga maeneo yenye joto,vifo vinaweza ongezeka zaidi.
Hiyo Milioni 1 haifai kwa lolote kulisha nguruwe.
Sahau kuhusu mil.300 in 3 years!!!
Usitupe False hopes!!!
GET YOUR FACTS STRAIGHT.
Mungu mwenywe alitangua hilo katika kitabu cha matendo ya mitume 10:15 " Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia , Vilivyotakaswa na MUNGU husiviite wewe najisj" ukianzia mstari wa 9.haramu!YESU wa nazareti aliyatupa mapepo machafu yakaingia kwa nguruwe!kila nguruwe ana pepo mchafu