Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Dodoma sehemu gani unapanga kuweka project yako?

Pale Bahi kuna rafiki yangu anafuga nguruwe. Ameanza project yake juzi tu nadhani ameanzq na nguuruwe nane
 
Nakushauri usipoteze muda endelea na project hakika itakulipa
 
Habari za asubuhi wana JF. Nimeanza ufugaji wa nguruwe maana hapa nilipo hii ndo fursa. Naombeni mawazo yenu, eti ni mchanganyiko upi wa chakula ambao utakuwa ni mzuri kwa ukuaji wa haraka wa nguruwe? Nawasilisha
 
Uko wapi? Mtafte mtu anaitwa MalafyaleP atakupa mwongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…