Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Naomba kujua kama inawezekana kumpandisha nguruwe / artificial insemination kama vile wanafanya kwenye ngombe???? Mwenye kujua hii nahitaji msaada wako

Inawezekana sana tena ni rahisisana,unakuwa na dume moja tu unalikamua mbegu likikojoa mbegu mala moja hizo mbegu unapandishia majike 14,
 
Jamani ckuwa hewani kwa muda bt kifupi ni kwamba tuko kisenvule karibu na kiwanda cha rhino cement wilaya ya mkuranga
Kujua mlipo haisaidii sana,tunachotaka twambie bei zenu na wa mikoani mnasafirisha?
 
Weka wazi detail zote kama bei,mlipo n.k sio taalifa inakuwa nusunusu
 
Wana jamvi,katika pita pita zangu mitaani,na kwenye mitandao ya kijamii nimegundua njia pekee itakayonipa ajira ni kujikita katika ufugaji wa Nguruwe kitaalam na kibiashara zaidi ikizingatiwa ndo kwanza nimehitimu elimu yangu ya Chuo kikuu..Nna shamba la ukubwa wa ekari 5 huko kijijini kwetu,maji yapo ya kutosha.Swali ni je shilingi milioni kumi (10,000,000) zinatosha kuanza kufuga nguruwe wangapi tangu wakiwa watoto hadi umri wa kuwauza? Naomba mnisaidie wadau

Nimepitia huu uzi japo kwa kuchelewa lakini nimefaidika sana, hebu ndg Once Month Semindu kama upo njoo utupe mrejesho wa mradi wako ulioanzisha.

Ni mwaka wa pili sasa tangu uje na hii idea bila shaka utakuwa umefika mbali???
 
Last edited by a moderator:
hurrimat alaykumu ddama wal mayta walahma l khinziir

Naona umeingia choo cha kike mzee, pole sana. Ila kama umetukana basi matusi hayo yakurudie mwenyewe. laiza.
 
Last edited by a moderator:
bigurube hiki sio choo cha kike. nimekupa mawaidha tu na busara ingekutuma uombe tafsiri..kukusaidia tu..."imeharamishwa kwenu damu, na maiti na nyama ya nguruwe" hiyo ndio tafsiri yake
Naona umeingia choo cha kike mzee, pole sana. Ila kama umetukana basi matusi hayo yakurudie mwenyewe. laiza.
 
Haramu kwako, halali kwa mwenzako ndugu yangu. Kama ukiona post inaingiliana na imani yako ya kidini, na kama kuisoma ni dhambi, achana nayo na usicomment chochote. Pole sn, but kibaya kwako, chaweza kuwa kizuri kwa mwenzako.

Sent from my iPad using JamiiForums app
 
Inawezekana sana tena ni rahisisana,unakuwa na dume moja tu unalikamua mbegu likikojoa mbegu mala moja hizo mbegu unapandishia majike 14,

Unakamuaje?

Unakamulia nini?

Unapandikiza vipi?

Utajuaje kama imetiki mimba?
 
bigurube hiki sio choo cha kike. nimekupa mawaidha tu na busara ingekutuma uombe tafsiri..kukusaidia tu..."imeharamishwa kwenu damu, na maiti na nyama ya nguruwe" hiyo ndio tafsiri yake

Ahsante ,tumekuelewa na karibu tena.
 
Vip kama unataka kufuga kisasa na kuwapaki hygienically na kusupply kwenye supermarket sidhani kama hii ipo sana.
 
habari za leo wadau, naomba kuuliza eti nguruwe hula maboga pekee na akila mboga ya maboga anakufa...? maana nime anza ufugaji wa nguruwe na jirani yangu amenambia hivyo je ni kweli...?
 
Habari za leo wadau. Naomba kuuliza eti Nguruwe hula maboga pekee na akila mboga ya maboga anakufa? Maana nimeanza ufugaji wa Nguruwe na jirani yangu amenambia hivyo, Je ni kweli?
 
namm nauliza pia aisee eti ngurue wanatumia muda gani kuanza kukuingizia hela yani muda ambao wanafikia umri wa kuanza kuuzwa kama umeanza kuwafuga toka watoto
 
Kuna thread moja nzurj sana inaelezea juu ya ufugaji wa nguruwe humu, hebu itafute utaiona.

Mm tangu nikiwa mdogo tulikuwa ni wafugaji wazuri sana wa nguruwe, tulikuwa tunawalisha sana majani ya maboga na hawakuwahi kupata madhara yy??? Labda km kuna aina tofauti za hayo majani
 
Nguruwe toka azaliwe mpaka afae kuvunwa ni miezi sita mpaka saba lakini kuna mambo ya kuzingatia mpaka uweze kumvuna kwa umri huo
,Aina ya nguruwe
2,Aina ya chakula unachomlisha
3,Hali ya hewa pamoja na mabanda yako.
Aina ya nguruwe huwa ina impact kubwa mno kwenye ukuaji mfano nguruwe wanaitwa Duroc wanakuwa haraka mno na wana uzito mkubwa kulinganisha na yorkshore au Landrace,ukimlisha vzuri kumkuta na kg80 ndani ya miez saba c kitu cha kusadikika na wana mafuta machache kwenye ngozi
Aina ya chakula kama utamlisha nguruwe majani au mboga mboga kwa wingi bila nafaka zilizochanganywa na vitu vingine kwa uwiano sahihii basi jua kwamba nguruwe utamfuga mwaka na hato faa kuvunwa hata kama ni mbegu nzuri vp

Mwisho kabsa hali ha hewa japo c sana ila inahusika
 
Mimi ninahitaji kupata aina hiyo ya nguruwe mwenye mimba au vitoto kwa ajili ya mradi wangu. Naomba anayejua wapi ninaweza kupata kwa haraka.

Asante
 
Kuna breed ya nguruwe nilisikia inazalishwa songea+mbeya, nguruwe anafugwa 3 months anakua ready for sale.
Hivi hii ina ukweli wowote.
Cc Malila
Hii itakuwa safi sana kibiashara kama kweli ipo
 
Habari wanajamvi!

Niameamua kujaribu ufugaji wa nguruwe, ila ningependa kuomba ushauri kuhusu mabanda ambayo nimeplan kujenga, Natarajia Kufugia kibamba - Dar es salaam .Kiwanja kina Ukubwa wa 47X29m. Maji yapo ya kutosha.
Na nimekigawa "nusu kwa nusu" kwa marefu katika site plan Kama inavyoonekana hapo chini.

site plan.jpg

Na plan kujenga foundationa na kuweka jamvi then nainuankozi nne za matofali, then napiga mabanzi kiasi, kwenye corner hizi nilikua nimepanga kuweka bomba za chuma za 2''in

1. i) Je ni Urefu gani kutoka kwenye flow utakua mzuri ili wapate ventilation nzuri?, na pia hii itaweza kunisaidia kujua kama naeza afford gharama za nguzo zote!

ii) Je kuna njia mbadala ambayo naeza tumia na still mabanda yakawa imara na mazuri. Kama ntashindwa ku afford bomba?
iii) Kwa wafugaji wazoefu, je kwa site plan hiyo nni nguruwe wangapi wanafaa nikianza nao?, na katika combination ghani.
iv) Ningefurahi kama ningepata msaada wa moja kwa moja kutoka kwa wafugaji wazoefu. Hata kwa ushauri zaidi ya nilivyotaja hapa.

2. Nikishamaliza ujenzi ntahitaji nguruwe na piglets wa kuanzia, so kwa wafugaji wa dar mnaeza kunisaidia kwa affordable price.
 
Back
Top Bottom