Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Naamini ulishamtembelea na kuyaona hayo mabanda ya kikorea, naweza kujifunza kwako?Mr.Fuchi,
Tupo pamoja.either uajiri au upate mtu amuelekeze kijana wako.isio ngumu hiyo hata ww kama upo around waweza fanya.
Mi nipo interested kuona hiyo deep litter system ya mabanda yako.niliku pm naona hujapata muda wa kuona.
Nadhani ulisema unafugia mkambarani au sio?mi nafugia Maseyu mwendo kidogo kutoka mikese kama unakuja dar.
Nataka ku expand mabanda na nataka kujaribu hii deep litter system.
Mi nimeweka sakafu,jinsi mabanda yanavyo ongezeka usafi inakuwa labour intensive!nita appreciate kuona ww ulivyofanya
"No dream is too big but action brings dreams to reality"