Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

nauliza soko likoje...mimi nimeanza kufuga sijui soko likoje kwa Dar ,mnauzia wapi?bei zake?
 
Nitakutafuta kwa maelezo ya ziada ila bajeti ya project hiyo ni sh ngapi?

Inategemeaa na ukubwa wa project na mahitaj yako ....kwan initial lazima upate bwawa au mabwwa...pili lazm ujue bwaw unajenage..mfano kwa bwawa la sqr.m200 kwa maana ya mita 20 kwa 10..linafaa kwa kuanzia ambapo tegemea na nature ya soil.ya hapo..kama ukipta mfnyanz unaotunz maj basi chini patabak kama palivyo...na unawez hata kingo.ziwe kama.zlivyo..lakin ukiwa unatak la kusakafiw chin.il.kuzui maj yasipotee basi garama inapanda..ila kwa makadlio kwa size hiyo ya bwawa ml.4 inamaliza kabisa naa unaweza kuweka samaki 10 per sqr mita...utapata total 2000p..kama.samak wako ni mono.sex basi hawatazaliana na kufkia miez 6 mpaka 8 watakua na wastani wa gm500.hivo apo utakua unaweza kuwapeleka sokoni...so unnawez kukadilia pesa itakayoongia.....
 
Samaki mpaka anavunwa, sema miezi 3; gharama zake ni kiasi gani na wanakuwa na uzito kiasi gani?

Uwezi vuna samaki kwa miez.mitatau ukampeleka sokoni...samak huanza kuvunwa atlest akifka.miez.6 ambapo.apo.tunakadlia wastan wa gm mia.tano
 
nauliza soko likoje...mimi nimeanza kufuga sijui soko likoje kwa Dar ,mnauzia wapi?bei zake?

Ndugu soko lipo juuu sana sio kwa dar tu..nilipata order ya kg300 ya samki ila.akashindkana mtu wa kua nao..ss kama kg moj.dukan ni sh.7000 ad 8000..jumla utapatana na mnunuzi and utaona.how much itaingiza
 
Muhimu uwe na samaki wazur walio ktk uzito.unao takiwa.sio.samak.kumi ndo.wanafika kg.1
 
Haina shida
 
Kiukweli demand ya samki ni kubwa kuliko.supply..samaki jamii ya sato ktk ziwa victoria.wapo.hatarin kutoweka...so itafika wakat supply itabaki.kua from pond tuuu
 
Kama unaamua kujikita ktk kilimo cha.samaki...ndani ya muda mfupi utakua una ingiza zaid ya ml.100 per year.
 
tutolee kwanza baadhi ya maarifa hapa...

Ili kuanza ufugaji wa samaki.katka bwawa.unahitaj kua na eneo.zuri hiyo ndio kitu cha kwanza..uzuri kvp? Kwanza liwe mahali penye maji safi na salama.na ya kutosha....pili liwe na udongo mzuri..kwa maana ya pH...na aina yake..udongo wa mfinyanzi ni mzur zaid kwan hupunguza gharama za ujenz wa bwawa..maji pia yanawez kua from vyanzo tofauti..mfno.kisima..mto..ziwa...mvuaa.au chochote kiwezacho kukupa maji mengi...2.eneo.liwe na usalama kwa maana pasiwe na matukio.ya wizi au vingnevyo..3.uwe na mtaalamu wa kukuelekeza namna ya kuchimb bwawa lako ..na ukarbu wa material ya ujengeaji...na mwisho utachimba bwawaa..bwawa likikamilika apo unawez kupanda samaki wako..idadi hutegemea na zaiz ya bwawa..(stocking density) kawaida uwa tunashauri kupanda 10 fish per 1sqr m..haswa kwa semi intesive aquaculture ambapo utahitajika kua na usimamiz wa wa wastani kwa samak.wako...apo utawalisha na pia utawek chakula.cha asili.yan natural food..smaki uw3za kukua kufkia gm500 ndn ya miez.6 ad 8..tegemea na level ya managment yako..na chakula cha samaki uwa kinalishwa depend on idadi.ya samaki...size yake kwa maana ya uzito na umri...ivo mtaalamu anaitajik.kwa ajl.ya kukuambia namna ya kulisha samk wako..vifaranga wa mono sex ni wazur zaid kwa commecial fish farming kwan hawazalian na hifanya idad kubak kua ile ile..ukuaj hua mzuri na hata managment huwa rahisi..ANZA SASA KAMA..UKIDHUBUTU UTAWEZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…