Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Iwe hasara afu watu waendelee kufuga? Nenda ucheki calculations zako vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si hizo hapo ukizicheki nimekosea wapi mkuuIwe hasara afu watu waendelee kufuga? Nenda ucheki calculations zako vzr
Tatizo siyo mashine mkuu, tatizo ni ingredients (malighafi za kutengeneza hicho chakula), upatikanaji wake na gharama zake.Lazima ununue chakula?unaweza kutengeneza mwenyewe kuna mashine zipo.
Hii Biashara Ni Pasua Kichwa Mkuu Usijaribu.... zipo Njia za Kisasa waeza jaribu sio hizi za kulisha hadi kichwa kipasuke... nadhani mleta mada na wachangiaji wengi wanatumia njia za ufugaji wa kale... kuna mhindi mtaalamu wa kiwanda pale kipawa aliniambia kufuga si mchezo kunahitaji pesa nyingi huu mdogo mdogo ni kuwaste time tu...
Unatakiwa kufuga samaki wa maji ya chumvi kuna maeneo yaliyo mazuri karibu na bahari unajengea na kuset maji yanatoka baharini yanakuja bwawani and then yanatoka na kurejea baharini smaki wanakuwa wenyewe tu chakula unaweka kidogo sana ila project na technology yake inaweza kukucost kama usd 20,000 ambazo ni sawa na 43M ila unavuna continuous so waeza kuwa millionaire kwa miaka hii kufanya biashara kwa ajili ya pesa ya kula Watanzania tuache... sasa hivi tufikiria biashara za kitajiri yaani hadi unayemuajiri uwe unamlipa kama manager wa bank kuu...
Tumuombe Magufuli naye atembelee Israel wana technolgy kali sana niliona wanafuga fish kwenye matank wanawalisha eels na wadudu wengine wanawazalisha na chaula kidogo waeza fuga hata juu gholofani au kwenye jangwa na ukawa tajiri sio mtafuta mboga ya kula...
Mkuu chakula cha samaki ni kipi? Na je wakati wa kuwavuna wanavunwaje bila kuwabakisha kwenye bwawa lako la kutengeneza?Lazima ununue chakula?unaweza kutengeneza mwenyewe kuna mashine zipo.
Hivi perege wanakuwa wakubwa kama sato? Maana nimewaona wakiwa wadogo.Nipo maeneo ya kijiji cha kalenga mkoani Iringa nimeamua kujalibu kufuga aina ya pelege kalibuni.
Nilikisudia kuandika kwa urahisi na kueleweka kwa kila mtu.***Planktons(phytoplanktons-mimea midogo sana, zooplanktons-wadudu wadogowadogo), Hivyo Mkuu (microorganisms) sioni kama litakuwa neno sahihi hapo juu kwa maana halisi ya Micro-organisms.
Ungemuuliza huyo mhindi kwao wanafugaje? Kama yeye mtaalam amekuja bongo kufanya nini?. Halafu na wewe ukiambiwa changanya na zako. Wabongo bwana yaani akisema mhindi sawa, akisema Bukoba boy no.Hii Biashara Ni Pasua Kichwa Mkuu Usijaribu.... zipo Njia za Kisasa waeza jaribu sio hizi za kulisha hadi kichwa kipasuke... nadhani mleta mada na wachangiaji wengi wanatumia njia za ufugaji wa kale... kuna mhindi mtaalamu wa kiwanda pale kipawa aliniambia kufuga si mchezo kunahitaji pesa nyingi huu mdogo mdogo ni kuwaste time tu...
Unatakiwa kufuga samaki wa maji ya chumvi kuna maeneo yaliyo mazuri karibu na bahari unajengea na kuset maji yanatoka baharini yanakuja bwawani and then yanatoka na kurejea baharini smaki wanakuwa wenyewe tu chakula unaweka kidogo sana ila project na technology yake inaweza kukucost kama usd 20,000 ambazo ni sawa na 43M ila unavuna continuous so waeza kuwa millionaire kwa miaka hii kufanya biashara kwa ajili ya pesa ya kula Watanzania tuache... sasa hivi tufikiria biashara za kitajiri yaani hadi unayemuajiri uwe unamlipa kama manager wa bank kuu...
Tumuombe Magufuli naye atembelee Israel wana technolgy kali sana niliona wanafuga fish kwenye matank wanawalisha eels na wadudu wengine wanawazalisha na chaula kidogo waeza fuga hata juu gholofani au kwenye jangwa na ukawa tajiri sio mtafuta mboga ya kula...
Kwanza unatakiwa upate formula ya chakula chako. Lishe yake haina tofauti na kuku isipokuwa viwango vya protin, wanga, mafuta hutofautiana. Pia fomu maana chakula cha samaki kinaingia kwenye maji.Mkuu chakula cha samaki ni kipi? Na je wakati wa kuwavuna wanavunwaje bila kuwabakisha kwenye bwawa lako la kutengeneza?
Ni ule upumbavu wa kuamini kila kitu kinachosemwa ukitoa wanavosema watanzania.Ungemuuliza huyo mhindi kwao wanafugaje? Kama yeye mtaalam amekuja bongo kufanya nini?. Halafu na wewe ukiambiwa changanya na zako. Wabongo bwana yaani akisema mhindi sawa, akisema Bukoba boy no. Turudi katika mada sasa- Hiyo teknolojia ya kuzungusha maji wanaganya kwasababu wana uhaba wa maji na ardhi kwahyo eneo dogo linatumika intensivelly. Ni gharama sana hiyo yeknolojia. Tuishie hapo ila nikutaarifu tu Tanzania ina hazina kubwa ya wataalam wa samaki. Vile vile ina fursa nyingi...Hivyo huu mradi unalipa. Siku nyingine omba msaada wa kuelewa haya mambo.
Neno sahihi ni phytoplankton yaani mimea ya katika maji na zooplankton yaani wadudu-wanyama katika maji kwa pamoja huitwa plankton***Planktons(phytoplanktons-mimea midogo sana, zooplanktons-wadudu wadogowadogo), Hivyo Mkuu (microorganisms) sioni kama litakuwa neno sahihi hapo juu kwa maana halisi ya Micro-organisms.
Sijakupata mkuuNahitaji ramani ya uchimbaji wa bwawa la samaki kwa usahihi zaidi,isiwe fade kama hii hapo kwenye forum
Robo heka ni bwawa lenye ukubwa wa sqm 2500. Mashine itachimba kwa siku 2-3 kulingana na eneo na uwezo wa operator. Kwa masaa 8 kukodi mashine ni laki 6-8. Operator kwa kawaida 100,000 kwa masaa 8. Mafuta ni kama lita 250-300.Kuchimba bwawa lenye ukubwa wa robo heka kwa kutumia mashine inaweza kugharibu kiasi gani cha pesa?
Kwahiyo kwa kukadilia unaona ni shilingi ngapi?Robo heka ni bwawa lenye ukubwa wa sqm 2500. Mashine itachimba kwa siku 2-3 kulingana na eneo na uwezo wa operator. Kwa masaa 8 kukodi mashine ni laki 6-8. Operator kwa kawaida 100,000 kwa masaa 8. Mafuta ni kama lita 250-300. Inawezekana ukamlipa hela ya ziada operator akufanyie kazi kwa zaidi ya masaa 8 ili umalize mapema. Pia kuna gharama ya usafiri wa kubeba mashine kama ni ile ya chain (1ml-2ml)
Hii Biashara Ni Pasua Kichwa Mkuu Usijaribu.... zipo Njia za Kisasa waeza jaribu sio hizi za kulisha hadi kichwa kipasuke... nadhani mleta mada na wachangiaji wengi wanatumia njia za ufugaji wa kale... kuna mhindi mtaalamu wa kiwanda pale kipawa aliniambia kufuga si mchezo kunahitaji pesa nyingi huu mdogo mdogo ni kuwaste time tu...
Unatakiwa kufuga samaki wa maji ya chumvi kuna maeneo yaliyo mazuri karibu na bahari unajengea na kuset maji yanatoka baharini yanakuja bwawani and then yanatoka na kurejea baharini smaki wanakuwa wenyewe tu chakula unaweka kidogo sana ila project na technology yake inaweza kukucost kama usd 20,000 ambazo ni sawa na 43M ila unavuna continuous so waeza kuwa millionaire kwa miaka hii kufanya biashara kwa ajili ya pesa ya kula Watanzania tuache... sasa hivi tufikiria biashara za kitajiri yaani hadi unayemuajiri uwe unamlipa kama manager wa bank kuu...
Tumuombe Magufuli naye atembelee Israel wana technolgy kali sana niliona wanafuga fish kwenye matank wanawalisha eels na wadudu wengine wanawazalisha na chaula kidogo waeza fuga hata juu gholofani au kwenye jangwa na ukawa tajiri sio mtafuta mboga ya kula...
Robo heka ni bwawa lenye ukubwa wa sqm 2500. Mashine itachimba kwa siku 2-3 kulingana na eneo na uwezo wa operator. Kwa masaa 8 kukodi mashine ni laki 6-8. Operator kwa kawaida 100,000 kwa masaa 8. Mafuta ni kama lita 250-300. Inawezekana ukamlipa hela ya ziada operator akufanyie kazi kwa zaidi ya masaa 8 ili umalize mapema. Pia kuna gharama ya usafiri wa kubeba mashine kama ni ile ya chain (1ml-2ml)
Kwa maelezo ya buyo jamaa, hata mafuta ya mashine ni juu ya atakayeikodi.Kwahiyo gharama ya kubeba hiyo mashine ni juu ya mteja?
Mkuu Million 40 Bora nikanunue Eicher Bus nikusanye laki mbili kila siku... kwa Mwaka Mmoja sikosi m100uNGEMUOMBA HUYO MUHINDI AKUFUNDISHE ILI NA WEWE UKAFUGE.
Kama unanawa vile 😀Mkuu Million 40 Bora nikanunue Eicher Bus nikusanye laki mbili kila siku... kwa Mwaka Mmoja sikosi m100