Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Eicher Bus gani 40 Mil.? Tatizo lako maneno ya Vijiweni mengi unasikiliza
Mkuu vipi umevuta bange? Ukiwa na Hizo Pesa unapata bus ila utakuwa na deni kma la mil38 hivi ila kwa Mwaka huwezi kosa m100 na ni biashara ya uhakika... so wewe nadhani unasoma quote za watu kimitaani.... Njoo Conti Car na hizo Pesa tutakupatia hilo Gari... Acha uoga.

Next time be careful ukiwa unaongea na mimi maana huwa Sibahatishi mambo yangu...
 
.Wazoefu na wataalamu naomba vipimo kwa bwawa la samaki 5000, na bwawa la samaki 10 000. Nataka kutumia saruji.
 
kwa atakayekuwa interested, kuna professor yupo sokoine university (sua) morogoro anatoa mafunzo kuhusu ufugaji wa samaki kwa ujumla.... jinsi ya kuchimba mabwawa, kutengeneza chakula, kuzalisha vifaranga (artificially) na jinsi ya kupata vifaranga unisex kwa upande wa tilapia...
 
Bei ya rejareja kwa kifaranga kimoja ni sh 300 kwa sato na 500 kwa kambale.Tanzania wanapatikana TAFIRI mwanza,dar wapo wanaitwa Big Fish(bigfishtz.com) na Kenya wapo wanaitwa Jambo Fish Farm(jambofish.co.ke) hawa ndio wana mbegu nzuri zinazokua haraka.Sijui maelezo yamejitosheleza?

Asante sana mkuu,naomba kuuliza,ufugaji huu wa samaki hautegei hali ya hewa ya sehemu husika au unaweza kufuga sehemu yeyote maadam tu maji yanapatikana?
 
Mkuu vipi umevuta bange? Ukiwa na Hizo Pesa unapata bus ila utakuwa na deni kma la mil38 hivi ila kwa Mwaka huwezi kosa m100 na ni biashara ya uhakika... so wewe nadhani unasoma quote za watu kimitaani.... Njoo Conti Car na hizo Pesa tutakupatia hilo Gari... Acha uoga.

Next time be careful ukiwa unaongea na mimi maana huwa Sibahatishi mambo yangu...
wewe huna lolote unalojua kaa kimya tu,wewe endelea na udalali wako na utapeli.
mwanaume mvivu hapendi kilimo zaidi kushinda vijiwe vya udalali kutapeli watu,halafu lile gari lako la udalali uliweza kupata mteja??
 
We Umetoka wapi Tena... Umekuja Ghafla na kashfa tele... Utapeli nilimfanyia mamako hadi uniite hivyo? Alaaa... kama maisha yamekushinda kalime hamna Tatizo sababu kilimo ni kujaribu tu... hata mie nishajaribu hadi nikachoka... Dawa ya pesa ya kirahisi ni kwenye njia ya usafirishaji tu... kalime mazao yako tutakutolea Shambani... kusema uvivu si haki kwani utawagusa hadi wengine wote wasio lime ati ni Wavivu sasa ili usiwe mvivu ndio ulime nani sasa atanunua vya mwenzake wakati wote mmelima? sometimes unatakiwa kuficha upumbavu wako... nina Bus lingine njoo nikuuzie... me Sitapeli mtu ushanfahamu...!

Wewe endeleza ule msemo wa Ukitaka Mali nenda Shambani... utakufaa Mkuu... ila punguza kashfa zisizohitajika... kuondoa rabsha...
 
kwa hesabu za haraka haraka nina million kumi kama starting capital and nina eneo bagamoyo plus nataka kufuga fishlings 9000 wa kambare, je hyo pesa itatosha expenses zote mpaka mda wa kuvuna and that is after six months?
 
mimi naogopa kujiingiza ktk hii biashara japo nina mkono nayo kweli ,lkn naona kama samaki wa maji baridi mfano Kambare na sato (TILAPIA) hawana soko vile?au mwasemaje wadau nianze kufuga soko lipo?wewe unakula kambare na sato?
 
Jiulize mbona samaki maji baridi wanaingia sana dar kulikowa mani jumvi wanavonda bara?
 
Wakuu nimekuja kwenu kuomba mwenye uwezo wakunichimbia bwawa lakufugia samaki kuanzia 12000-15000 tuwasiliane kupitia 0756888861.nakabidhiwa likiwa tayari likiwa limekamilika kila kitu yaani likiwa tayari kwa ajiri yakufugia samaki .
 
Nimesikia ufugaji wa Samaki kwa kutumia bwawa dogo la plastiki nyumbani ni mkombozi tosha wa Maisha. Nahitaji msaada wenu wadau. Je bwawa hilo la plastic liwe na vipimo gani? Hayo maplastic yanauzwa bei gani?
 
Macho yangu
Anyway tusubiri hao walioitwa nadhan wako mapumziko
 
Ni kweli mkuu, hata mimi nilisikia hapa kuhusu ufugaji hasa wa kambale, wapo wataalamu watakuja. Walisema unachimba shimo na kuweka plastic ndani.

Chakula mara nyingi ni mabaki ya chakula cha familia.
 
Ni kweli mkuu, hata mimi nilisikia hapa kuhusu ufugaji hasa wa kambale, wapo wataalamu watakuja. Walisema unachimba shimo na kuweka plastic ndani. Chakula mara nyingi ni mabaki ya chakula cha familia.
Hapo kwenye mabaki.ya chakula cha familia unatakiwa uwe makini mno, ikiwa chakula kina mafuta samaki wanakufa sababu mafuta yatakaa juu ya maji washindwe kupumua
 
Hapo kwenye mabaki.ya chakula cha familia unatakiwa uwe makini mno, ikiwa chakula kina mafuta samaki wanakufa sababu mafuta yatakaa juu ya maji washindwe kupumua
Asante mkuu, ndiyo maana tuliwasubiri wataalamu mje.
 
Duu.. Mimi nimesikia kama unasehemu ndogo pale nyumbani hasa maeneo ya mjini kuwa unaweza kununua tank ya Lita kuanzia 150 hadi 200 halafu ukafuga. Unaweza kuhudumia kama wengine cha msingi tu kuepuka mafuta.

Sasa nataka nijue kwenye tank la Lita 150 Samaki wanazaliana hadi wangapi?
 
6875bd1e9c8c74b6fd75d9901dfb061a.jpg
7a9c23c39f5a253d300ba2b8cdb7c5f5.jpg

Haya ni mfano wa matanki ya kufugia samaki, uzuri wa haya yanapunguza sana gharama za kijenga visima na hata kama wakaa nyumba ya kupanga siku ukihama unaondoka nalo
 
Back
Top Bottom