Mkuu vipi umevuta bange? Ukiwa na Hizo Pesa unapata bus ila utakuwa na deni kma la mil38 hivi ila kwa Mwaka huwezi kosa m100 na ni biashara ya uhakika... so wewe nadhani unasoma quote za watu kimitaani.... Njoo Conti Car na hizo Pesa tutakupatia hilo Gari... Acha uoga.Eicher Bus gani 40 Mil.? Tatizo lako maneno ya Vijiweni mengi unasikiliza
Bei ya rejareja kwa kifaranga kimoja ni sh 300 kwa sato na 500 kwa kambale.Tanzania wanapatikana TAFIRI mwanza,dar wapo wanaitwa Big Fish(bigfishtz.com) na Kenya wapo wanaitwa Jambo Fish Farm(jambofish.co.ke) hawa ndio wana mbegu nzuri zinazokua haraka.Sijui maelezo yamejitosheleza?
wewe huna lolote unalojua kaa kimya tu,wewe endelea na udalali wako na utapeli.Mkuu vipi umevuta bange? Ukiwa na Hizo Pesa unapata bus ila utakuwa na deni kma la mil38 hivi ila kwa Mwaka huwezi kosa m100 na ni biashara ya uhakika... so wewe nadhani unasoma quote za watu kimitaani.... Njoo Conti Car na hizo Pesa tutakupatia hilo Gari... Acha uoga.
Next time be careful ukiwa unaongea na mimi maana huwa Sibahatishi mambo yangu...
Jiulize mbona samaki maji baridi wanaingia sana dar kulikowa mani jumvi wanavonda bara?mimi naogopa kujiingiza ktk hii biashara japo nina mkono nayo kweli ,lkn naona kama samaki wa maji baridi mfano Kambare na sato (TILAPIA) hawana soko vile?au mwasemaje wadau nianze kufuga soko lipo?wewe unakula kambare na sato?
Hapo kwenye mabaki.ya chakula cha familia unatakiwa uwe makini mno, ikiwa chakula kina mafuta samaki wanakufa sababu mafuta yatakaa juu ya maji washindwe kupumuaNi kweli mkuu, hata mimi nilisikia hapa kuhusu ufugaji hasa wa kambale, wapo wataalamu watakuja. Walisema unachimba shimo na kuweka plastic ndani. Chakula mara nyingi ni mabaki ya chakula cha familia.
Asante mkuu, ndiyo maana tuliwasubiri wataalamu mje.Hapo kwenye mabaki.ya chakula cha familia unatakiwa uwe makini mno, ikiwa chakula kina mafuta samaki wanakufa sababu mafuta yatakaa juu ya maji washindwe kupumua