usitake kupima uwezo wa mtu kutaka kujua kafanya nini na wakati ww hata uwezo wa kutengeneza huna , hii ndo inafanya nchi za kiafrika zisiendelee kwa kuwa na dhana za ajabu na kuundermine wataalamu, we kama unataka kutengenezewa sema nahtaji sio kuanza kutaka kujua nimefanya nn hata nkiweka nilizotengeneza utakuwa na negativity usi under-estimate mtu ucye mjua na kumbuka kuwa utalaamu haupimwi kwa maneno bali ni vitendo na mimi siyo mbabaishaji kama unavyodhani nafanya ki2 ninacho kifahamu try kueshimu taaluma ya mtu ucdhani mm ni wale matapeli, watch maneno yako kabla ujaongea ,which means unataka public inione mimi muhuni ,hvi nini maana ya media? ,tunatumia media kupata information ambazo zinasaidia wa2 hata maprofessa vyuo vyote duniani wanatumia picha mbalimbali zilizopo mitandaoni kufundishia and then wanalinganisha walichonacho na kufahamu gap ipo wapi,tunajaribu kusaidia wakulima but watu wengine mnatuangusha na kufanya nchi irudi nyuma kimaendeleo kwa dhana potofu za kubeza watu ,samahani kwa mtakao niona mbaya lakini najaribu kuelimisha watu wenye dhana kama hii waache hii michezo