malamsha shao
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 215
- 79
Ufugaji mzuri wa njiwa ni wa kuwafungi na kuwahudumia wakiwa bandani.kwanza inasaidia hawapotei hovyo,hawapati maradhi hovyo hovyo.
asante sana mama timmy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufugaji mzuri wa njiwa ni wa kuwafungi na kuwahudumia wakiwa bandani.kwanza inasaidia hawapotei hovyo,hawapati maradhi hovyo hovyo.
Nitakuja kuwaona kaka yangu!Hao hukuwaona ni wazuri sana wanaitwa long face na kuna wengine nimebreed mwenyewe wametoka wazuri sana wana masoksi na rangi ya maroon.
Nikafuatilia na nitakupa mrejesho hapa hapaMama timmy hawa njiwa wanapatikana ilala mtaa wa Lindi, kuna jamaa ana banda barabarani anawauza.
Ufugaji mzuri wa njiwa ni wa kuwafungi na kuwahudumia wakiwa bandani.kwanza inasaidia hawapotei hovyo,hawapati maradhi hovyo hovyo.
Hahahaaaa !kubota bwana!mi njiwa niliokuwa nao walikuwa ni koko!ni juzi tu nimepata njiwa wazuri kutoka kwa shossi.angalia ktk uzi huu siku za nyuma shossi alipost Banda lake.ni zuri sana hebu lichekiHapa Mama Timmy umenigusa, kumbe njiwa nao unaweza kuwafuga kwa kuwafungia!! Jamani nirushieni nione dizaini ya banda la kufugia ndani. Sasa umenipa hamu ya kuanza kufuga njiwa japo wachache nipate kujikumbushia radha ya njiwa maana njiwa pori wa kule kwenye mikaa yangu umenionya niachane nao (nyara za wenyewe).
Hao ni baadhi ya njiwa na banda nililonalo nyumbani
Mohammed hawa njia wanaweza kuzaliana kwa species tofauti (Kupandana)?
Na unawafuga huria ama kuna wakati unaawachia wanaruka nje?
Je wakiruka nje hawatoroki?
wapi naweza kupata hizo species ili na mimi niweze kufuga?