Ngamba
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 750
- 151
hope hii itasaidia katika ufugaji na pamoja na mabanda yao, kwa hapa uganda kwa sasa ni issue kubwa sana maana ina soko kubwa wameweza hadi kuimarket kwenye baadhi ya supermarket
hili ni box unaliweka ndani ya banda la sungura anayekaribia kuzaa so hii inasaidia kutopoteza sungura watoto wengi tokana na baridi
kingine kuweza kucontrol kuzaana unawatengenisha dume likae peke yake kwenye banda so ukitaka jike lizae unalipeleka kwenye banda la dume
hii just small what i know otherwise ni pm email yako nikutumie e-book nilizonazo