Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

Rahisi? haya fuga uone....
Samahani Kama nimekukwaza.mi ninachojua ni kwamba njiwa wanajengewa mabanda halafu unawapa chakula kidogo na maji ya kunywa.watatoka asubuhi na jioni watarudi.ndo maana nikasema ni rahisi sana kuwafuga
 
Lakini si umeona amekiri kuwa haujui kufuga.nahisi a nataka kufuga kienyeji yaani anajenga mabanda halafu anaweka njiwa na anawaacha wakazurure .akihitaji njiwa bora Kama Hao wakwako nadhani atakutafuta
Ni kweli usemavyo mama timmy.mi kufuga Sijui kabisa ila natamani sana na jmos inayokuja namwita fundi anitengenezee Banda langu la njiwa kabisa ndo nianze kutafuta njiwa niwaweke humo.nitajua tuu.
 
Ushauri wangu jaribu kumwonyesha fundi wako Banda alilopost kaka shossi hapa jamvini.na ufugaji wa njiwa wakuwaacha wakazurure umepitwa na wakati.vilevile utakua kwenye hatari ya kuwapoteza njiwa utakaonunua kwani njiwa wanatabia ya kufuata wenzao na wasirudi
 
Nitafanya then intruding hapa.
 
Mama timmy nimemaliza kujenga banda la njiwa jana.sasa ndo natafuta njiwa wa kuwaweka humo؛naomba unisaidie nitapata wapi njiwa sanaa?
 
Hawa njiwa mimi ninao kama unawataka itakubidi usubiri nizalishe ndio niuze maana hawapatikani hapa nimeagizia kutoka Dubai na wengine "crested helmet" wametoka Australia. Hawana bei kubwa kwa nje ila gharama ni kuwasafirisha vibali na kuwatoa.

habari kaka?ninaomba unielekeze chakula cha njiwa hasa ni nini?je wewe unao njiwa sanaa?madawa yao ni yapi?
 
Habari nzuri, njiwa sanaa ndio njiwa gani? chakula cha njiwa huwa nawachanganyia nafaka kama mahindi ya bisi, mtama, uwele, ngano, kunde na choroko. Ila choroko unatakiwa uweke kidogo sana kama kwenye nafaka kilo kumi basi weka kilo moja. mimi huwa nachanganya kama ifuatavyo. kilo 2 ngano,kilo 2 mtama,kilo 2 uwele, kilo 2 kunde, kilo 1 choroko na kilo moja ulezi.

Kuhusu madawa ni dawa za ndege "poultry" unampa dawa anapoumwa au chanjo kama ya ndui, mdondo na gomboro.

Ni muhimu kuwapa vitamins kila siku mimi natumia amin'total kila siku. Zingatia usafi maana njiwa ninaofuga mimi "fancy pigeons" wanataka usafi hygienic ya hali ya juu. Hawatakiwi wale chakula ambacho kimeingia kinyesi chao unatakiwa uwajengee wavu ili wakienda haja au kudondosha chakula kinadondokea chini na hawezi kukila tena.
 
Mama Timmy heshima kwako! Ni baada ya kutembea nchi za watu ndiyo niligundua thamani ya njiwa! Awali nilimponda sana kijana wangu aliyekuwa amevutiwa na ufugaji wa njiwa nilimlaumu kwa nini asifuge kuku ambao angeuza akapata pesa kubwa kuliko njiwa! Siku nilipokuta mradi wa ufugaji wa njiwa huko nchi za wenzetu ambao ni uwekezaji wenye thamani zaidi ya shillingi Mil 50 nilikoma ubishi na tangu hapo sitaki tena kudharau kitu chochote! Mama Timmy unaona mbali!
 
nashukuru kaka yangu kwa maelezo uliyonipa!yanajitosheleza sana؛njiwa sanaa ni wale njiwa weupe kabisa waso na doa؛vp unao au unajua wanapatikana wapi?
 
Mkubwa Kubota nimefurahi kusikia kitu kutoka kwako!njiwa na sungura wanalipa sana Kama mtu akiamua kuwafuga kwa wingi na kwa ufanisi.tutafika tuu pale ninapopafikiria.
 
nashukuru kaka yangu kwa maelezo uliyonipa!yanajitosheleza sana؛njiwa sanaa ni wale njiwa weupe kabisa waso na doa؛vp unao au unajua wanapatikana wapi?

Ninao zaidi ya sanaa fanya uje ujionee andaa na pesa za kutosha.
 
Hivi ufugaji mzuri wa njiwa ni wa kuwaachia wazurure na kuwalisha asubuhi peke yake au kuwafungia mojakwa moja?
 
Ufugaji mzuri wa njiwa ni wa kuwafungi na kuwahudumia wakiwa bandani.kwanza inasaidia hawapotei hovyo,hawapati maradhi hovyo hovyo.
 
Isije kuwa wale njiwa wako wazuriwazuri wamezaana ndo unataka wauza!kumbuka kuna mimi na Malila tunawasubiri :bump2:

Najua upo tight ila nina one pair ya njiwa wazuri tena wanakaribia kutaga hivi sasa wanakusanya vijiti nataka kuwauza nibaki na njiwa wachache na kuna pair mbili breed nzuri. Sijui kama utakuwa na nafasi uje uangalie.
 
Kaka yangu shossi usijali ngoja nipokee salari nitakupm kwani njiwa kweli nawataka na nitajitahidi niwafuge vzr
 
Najua upo tight ila nina one pair ya njiwa wazuri tena wanakaribia kutaga hivi sasa wanakusanya vijiti nataka kuwauza nibaki na njiwa wachache na kuna pair mbili breed nzuri. Sijui kama utakuwa na nafasi uje uangalie.
Ni wale niliowapeda?au wengine
 
Back
Top Bottom