Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Ukiitazama dunia na vilivyomo! Unagundua mataba na madaraja ya kibinadamu ni chimbuko kuu la kiufundi!
Hata wakristu wanatuambia Mungu "aliumba"
Uumbaji ndiyo kazi pekee kubwa ya kwanza kuwepo duniani!
Hata Yesu alizaliwa na fundi selemala!
Ufundi ni kazi bora sana kuwepo na laiti hata hapa kwetu Tanzania tukifanikiwa kila nyumba angalau iwe na fundi mmoja umasikini tutautokomeza!
Mungu alimuagiza Fundi NUHU! Atengeneze Safina! Hii yote inadhihilisha Ufundi ni kazi yenye kibari cha Mungu mwenyewe!
Bahati mbaya sana mafundi walikengeuka sehemu moja tu! Walimgongelea Yesu misumari pale msalabani!
Hapo ndipo balaa la ufundi lilionekana Lakini bahati nzuri Yesu aliwasamehe palepale (YAKAISHA).
Hadi leo ukweli ni kwamba dunia bila ufundi tungebakia wote kuwa sawa na wanyama tu (kusingekuwepo na tofauti)
Bila ufundi Sote tungetembea kwa miguu, tungekula matunda na nyama kama wanyama, tungelala popote, tungejitibu kwa mitishamba n.k.
Hivyo naipenda sana kazi ya ufundi! Nawaheahimu sana wote wanaonipa kazi ya ufundi ili kupata ridhiki yangu!
Mafundi tunalazimishwa kuwaheshimu sana watu wanaotupatia kazi, hilo wala siyo ombi Bali ni lazima kuwaheshimu bila shurti!
Ebu fikilia MTU anajinyima, anakopa au anadunduliza pesa zake ili apate hela ya kuja kukulipa wewe FUNDI Halafu UNAZINGUA!
Yaani MTU ahangaike kutafta pesa kwa shida, akupe kazi halafu tena umpe tabu nyingine tena ya kukusimamia usimuibie! Inaumiza.
Yaani akulipe na bado akusimamie usiibe! Hii ni mbaya sana!, Fundi tungetambua kwamba Huo muda wa Bosi kukusimamia angeutumia kutafta pesa nyingine ili akuongezee kazi nyingine Tusingeharibu kazi za watu!
Kazi ya ufundi ni moja ya kazi bora sana duniani!
Kwa kazi za kiufundi bila presha unaweza kuwasiliana nasi Fundi SAMICO TANZANIA!
Tuko mafundi wazoefu kuweza kutatua masuala ya ujenzi na umeme (Ushauri wa kiufundi ni BURE, michoro ya ujenzi, ujenzi, wiring ya kisasa, renovation, solar na umeme wa akiba)Yote na mengine utayapata kwa bei nafuu sana!
Hata chumba kimoja tunafanya kazi, bei ni maelewano ya kawaida kabisa (Local fundi)! Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu +255711756341 au unaweza fuata ukurasa wetu huko Instagram @samico_tanzania
Hata kama hujengi Leo usikose namba ya fundi Samico kwenye simu yako! Karibuni sana!