Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Wahaini hawaoni aibu kujificha. Kagame ameingiaje hapo?
Acha ukuda wewe!Mkuu hao jamaa wanaudhi sana. Hawajui wapi pa kupeleka siasa wapi kwa habari za michezo. Ukiwaambia hapo utaambulia matusi tuu, wavumilie tuu. Walimsababishia swahiba wangu Danny greeny Ban.
Halafu ukiwachunguza utaona asilimia kubwa ni Mashabiki wa MIKIA
Asante sana Mkuu.
Ila naomba nikupe taarifa [japo najua hutaipokea].. Simba S.C ni bingwa mtarajiwa wa makombe 4 + ngao 1 ya hisani katika msimu wa 2015/2016.
Wahenga wanasema, "adui yako muombee njaa".. nami kesho sitapingana na wahenga.
Ingependeza sana kama siasa zikabaki ktk majukwaa ya siasa, huku tukataniana kiutani kimichezo!
NAONA MABISHANO YA SIASA YANAINGIA KTK MAJUKWAA YA MICHEZO, HAIPENDEZI!
Hivi mkuu GENTAMYCINE ilikuaje matokeo ya Man u vs Liverfool!!?!!Ngoja Nisubiri Furaha Yangu Nyingine Baadae Saa 1 Kutoka Kwa Liverpool FC.
Hivi mkuu GENTAMYCINE ilikuaje matokeo ya Man u vs Liverfool!!?!!
Hivi mkuu GENTAMYCINE ilikuaje matokeo ya Man u vs Liverfool!!?!!
kapigwaaaaaaa vitatu vya nguuuv
Maswali Ya KIKE KIKE Na Ya KISHOGA SHOGA Huwa Siyataki. Fungulia Mredio Wako au Litivii Lako Hilo La CHOGO, Kodolea Hiyo Mimacho Yako Hiyo Mikubwa Utadhani KENDE Za Nyati Na Utayapata Matokeo Sawa?