Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Wahaini hawaoni aibu kujificha. Kagame ameingiaje hapo?
Wasamehe washakula buku saba saba zao kutoka Lumumba na Ufipa ili waje kuchafua hali ya hewa kwenye majukwaa yasiyohusiana na Siasa. Ni njaa tuu ndio inawasumbua wakichangiwa na uvivu wa fikra na kujituma.
Rai kwa wanamichezo wenzangu tuwavumilieni kwani michezo ni upendo na amani. Nadhani baada ya october watatuacha tufuatilie mijadala humu kwa amani