Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Wahaini hawaoni aibu kujificha. Kagame ameingiaje hapo?

Wasamehe washakula buku saba saba zao kutoka Lumumba na Ufipa ili waje kuchafua hali ya hewa kwenye majukwaa yasiyohusiana na Siasa. Ni njaa tuu ndio inawasumbua wakichangiwa na uvivu wa fikra na kujituma.

Rai kwa wanamichezo wenzangu tuwavumilieni kwani michezo ni upendo na amani. Nadhani baada ya october watatuacha tufuatilie mijadala humu kwa amani
 
Ingependeza sana kama siasa zikabaki ktk majukwaa ya siasa, huku tukataniana kiutani kimichezo!
NAONA MABISHANO YA SIASA YANAINGIA KTK MAJUKWAA YA MICHEZO, HAIPENDEZI!
 
Mkuu hao jamaa wanaudhi sana. Hawajui wapi pa kupeleka siasa wapi kwa habari za michezo. Ukiwaambia hapo utaambulia matusi tuu, wavumilie tuu. Walimsababishia swahiba wangu Danny greeny Ban.

Halafu ukiwachunguza utaona asilimia kubwa ni Mashabiki wa MIKIA
Acha ukuda wewe!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu.
Ila naomba nikupe taarifa [japo najua hutaipokea].. Simba S.C ni bingwa mtarajiwa wa makombe 4 + ngao 1 ya hisani katika msimu wa 2015/2016.
Wahenga wanasema, "adui yako muombee njaa".. nami kesho sitapingana na wahenga.

Mh!kiongozi hiyo ni ngumu kumesa!ila wacha tujipe moyo kama tutachukua ndoo nne
 
Hivi mkuu GENTAMYCINE ilikuaje matokeo ya Man u vs Liverfool!!?!!

Maswali Ya KIKE KIKE Na Ya KISHOGA SHOGA Huwa Siyataki. Fungulia Mredio Wako au Litivii Lako Hilo La CHOGO, Kodolea Hiyo Mimacho Yako Hiyo Mikubwa Utadhani KENDE Za Nyati Na Utayapata Matokeo Sawa?
 
Back
Top Bottom