jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.