Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Wekeni na picha basi tuone hio barabara maana sio watu wote tunaijua au tunatoka mikoani huko
 
Umewaumbua wajinga wajinga,wanakimbiza thread wenyewe kwa wenyewe,wanajibizana utafikiri ngonjera.
Wadau wanawachora
Wapumbavu sana hawa Lumumba's,mradi umedhaminiwa na world bank kwa East Afrika tangu enzi za Mzee wa Msoga,hela za ufadhili wakazila hawa majangili wa intarahamwe (aibu) wakati wenzetu Ug na Kny wakipiga kazi 2008-09.,na wenzetu walishamaliza kitambo tena kwa viwango vya kupendeza na sahihi kwa kiasi kilichotolewa.,Kiukweli hela iliyotolewa ni kiwango sawa kwa nchi zote kwa kila km,sasa hebu waende Kenya waone 'highway' na michepuko yake ilivyojengwa ndio waje na sifa zao za kijinga na kisengerema.
 
weka picha basi
 
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.

Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.

Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Nadhani hongera ziende kwa watanzania wote ambao ni "walipa kodi" sidhani kama kuna kiongozi ambaye ametoa hela yake mfukoni!
 
Wacha waseme hakuma kinachofanyika lakini mwisho wa siku wanapita kwenye barabara hizo hizo na mbuzi wao!
Watapita kwa sababu imejengwa na fedha za "walipa kodi" wenye vyama na wasio navyama. Hivi Serikali ikisema watu wenye vyama tu ndio walipe kodi nchi itaenda? Hap labda usifie usimamizi mzuri hapo nitakubali, siyo kwamba chama cha mapinduzi kimejenga!
 
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.

Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.

Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Hawa wahuni wa Chadema hata angalau kukarabati jengo lao la ufipa wameshindwa. Bado eti wanaota kushika dola, ha ha ha.
 
Mbona Chadema wanatumbua pesa zetu ya ruzuku ya walipakodi wa Tanzania na hawana hata ofisi.
 
Barabara si alishafungua hii jamani? Tena kama sikosei ni June mwaka huu..!
 
Wapumbavu sana hawa Lumumba's,mradi umedhaminiwa na world bank kwa East Afrika tangu enzi za Mzee wa Msoga,hela za ufadhili wakazila hawa majangili wa intarahamwe (aibu) wakati wenzetu Ug na Kny wakipiga kazi 2008-09.,na wenzetu walishamaliza kitambo tena kwa viwango vya kupendeza na sahihi kwa kiasi kilichotolewa.,Kiukweli hela iliyotolewa ni kiwango sawa kwa nchi zote kwa kila km,sasa hebu waende Kenya waone 'highway' na michepuko yake ilivyojengwa ndio waje na sifa zao za kijinga na kisengerema.

Nenda kaishi Kenya kama unao vipi Bongo [emoji1241]badala na kusifia vya kwenu wewe kazi kusifia vya wengine [emoji23]
 
Back
Top Bottom