Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

CCM inajenga Reli....Inajenga Meli...Inanunua ndege na kujenga barabara kiwango cha lami kila kona ya nchi....huo ndio utofauti kati ya ukoloni na uongozi madhubuti wa CCM!
Wewe hukukosea kujiita jingalao yaani kubwa la majinga yote.
 
Mimi napita hiyo barabara kila wiki,acha kutudanganya fala we. Before nilikuwa natumia 6 hours sasa hivi 2hours unaleta story za kiku**ma hapa. Kafungue nawewe bikin yako usilete maada za kichonganishi kama huna data
Iko cnini ya kiwango mkuu. Sasa hiyo ndiyo lugha gani unaitumia kwenye mijadala. Kwani tuna ugomvi? Hayo si maoni na mtizamo wangu? Kama unaona assessnent yangu siyo sahihi kuna haja gani kutumia ya kashfa bamna hiyo. Hivi ndivyo unavyoongea hata katika familia yako? Najaribu ku figure out utakuwa ni mtu wa aina gani. Badala ya kujibu hoja kwa hoja imekuwa hoja kwa matusi? Sikufahamu lakini kusema kweli nimelazimika kukushusha sana. Any way this was an open discussion kama nimekukera wewe binafsi, I am sorry!
 
Wewe ni MUONGO, umepita njia ya voi- Taveta ambayo ni part ya hiyo miradi, haifikii hata robo ya huu mradi wa Tanzania.
Uongo wangu ni nini hapo?Sasa unalinganisha Voi na Arusha?Nenda Nairobi ukaone maajabu kuanzia Kajiado,Kitengela,Athriver kuingia Mombasa road,Mlolongo nk.
 
Hizo story fake za BBC ziliishia wapi?hao wakimbizi walirudi lini?walipitia wapi?
UNHCR ina takwimu za hao wakimbizi?
images-1557.jpeg
 
Zinasimamiwa na wanaCCM...Kumbuka mwenyekiti wenu ni mmoja wa wakwepa kodi kwa hiyo usitake kujisifia unalipa kodi ilhali unaongozwa na mwenyekiti mkwepa kodi!


Wewe mwehu kabisa. Unakwepa hoja kijinga sana. Hebu niambie wana CCM wanaolipa kodi ni asilimia ngapi wa walipa kodi wote.
 
Barabara ya Dodoma Iringa ni moja ya barabara zilizojengwa hovyo kabisa. Yaani barabara hata haijamaliza mwaka imeanza mashimo na viraka. Nitashangaa kama atakubali kuizindua hivi ilivyo maana nayo ilianza kujengwa akiwa waziri wa ujenzi enzi za JK. Wamedanganya kuijenga vizuri urefu fulani kama km 15 kutoka mjini kutoka pande zote za miji lakini baada ya hapo haina tofauti na barabara za mitaani.
Mkuu uko sawa wachina walilipua vibaya sana, barabara ya Arusha sijaiona ila kati ya barabara iliyosukwa vizuri kwa Tanzania, ni barabara ya Iringa- Mafinga
 
acha kupotosha huo mradi ni wa wold back tanzania hatujatoa hata sent tano
 
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.

Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.

Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Hii barabara imejengwa kwa ufadhili wa ADB na WD sio CCM
 
Back
Top Bottom