Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sina mda na mazwazwa kama wewe.,Kwani Kenya sio Afrika hadi uone siwezi enda ishi?Kwani hata Che Nkapa alivyozalisha wakimbizi kwa mara ya kwanza kutoka Tz~Zanzibar si walikimbilia shimoni Kenya?So zalisheni wakimbizi tena nitaenda kwani mshaonja damu za watu hamuwezi kuacha.Nenda kaishi Kenya kama unao vipi Bongo [emoji1241]badala na kusifia vya kwenu wewe kazi kusifia vya wengine [emoji23]
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Hizo story fake za BBC ziliishia wapi?hao wakimbizi walirudi lini?walipitia wapi?Huwa sina mda na mazwazwa kama wewe.,Kwani Kenya sio Afrika hadi uone siwezi enda ishi?Kwani hata Che Nkapa alivyozalisha wakimbizi kwa mara ya kwanza kutoka Tz~Zanzibar si walikimbilia shimoni Kenya?So zalisheni wakimbizi tena nitaenda kwani mshaonja damu za watu hamuwezi kuacha.
View attachment 642860
Mkopo ni hela ya bure?Si inalipwa!Sema tu haujui uelezwe.
Huu mradi ni mkopo wa ADB. Walitaka barabara ijengwe dual carriageway mpaka kupita Himo kuelekea Voi Kenya. Serikali ya TZ wakaelekeza ijengwe mpaka Tengeru, na kwingine kurekebishwe tu ma culvert. Upande wa Kenya wanapiga double kutoka Voi mpaka boarder, pia kwa mkopo wa ADB kwa ajili ya mradi huohuo.
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
CCM inajenga Reli....Inajenga Meli...Inanunua ndege na kujenga barabara kiwango cha lami kila kona ya nchi....huo ndio utofauti kati ya ukoloni na uongozi madhubuti wa CCM!
Mimi napita hiyo barabara kila wiki,acha kutudanganya fala we. Before nilikuwa natumia 6 hours sasa hivi 2hours unaleta story za kiku**ma hapa. Kafungue nawewe bikin yako usilete maada za kichonganishi kama huna dataBarabara ya Dodoma Iringa ni moja ya barabara zilizojengwa hovyo kabisa. Yaani barabara hata haijamaliza mwaka imeanza mashimo na viraka. Nitashangaa kama atakubali kuizindua hivi ilivyo maana nayo ilianza kujengwa akiwa waziri wa ujenzi enzi za JK. Wamedanganya kuijenga vizuri urefu fulani kama km 15 kutoka mjini kutoka pande zote za miji lakini baada ya hapo haina tofauti na barabara za mitaani.
Waziri Mkuu Azindua Meli Mbili Zilizotengenezwa na Kampuni ya Kitanzania | JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIASamahani, meli ipi imejengwa na CCM?
Unajua fedha ya Tanzania iliyowekezwa hapo?
Wewe ni MUONGO, umepita njia ya voi- Taveta ambayo ni part ya hiyo miradi, haifikii hata robo ya huu mradi wa Tanzania.Wapumbavu sana hawa Lumumba's,mradi umedhaminiwa na world bank kwa East Afrika tangu enzi za Mzee wa Msoga,hela za ufadhili wakazila hawa majangili wa intarahamwe (aibu) wakati wenzetu Ug na Kny wakipiga kazi 2008-09.,na wenzetu walishamaliza kitambo tena kwa viwango vya kupendeza na sahihi kwa kiasi kilichotolewa.,Kiukweli hela iliyotolewa ni kiwango sawa kwa nchi zote kwa kila km,sasa hebu waende Kenya waone 'highway' na michepuko yake ilivyojengwa ndio waje na sifa zao za kijinga na kisengerema.
Ni kodi hizi hizi trilioni moja na ushehe mnazoulizaga kila mwezi zinaenda wapi.