Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Hiyo barabara Magufuli aliisimamia akiwa waziri au Rais?
images

Rais Magufuli aanzia Arusha | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Akiwa waziri na baadaye Rais
 
Umewaumbua wajinga wajinga,wanakimbiza thread wenyewe kwa wenyewe,wanajibizana utafikiri ngonjera.
Wadau wanawachora
Hiyo imejengwa na TZ ila ni barabara ya kuunganisha EA kila nchi itajenga upande wake!.
 
Acheni upumbavu kuisifia CCM wakati haijachangia hata mia kwenye huo mradi
 
ccm inahusika vipi na miradi ya African Development Bank


Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.

Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.

Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
 
wakazi wa Arusha tujitokeze kwa wingi kusupport Serikali katika hili...Mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa tuhamasishe wananchi kujitokeza
 
Wacha waseme hakuma kinachofanyika lakini mwisho wa siku wanapita kwenye barabara hizo hizo na mbuzi wao!
 
Back
Top Bottom