Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Umewaumbua wajinga wajinga,wanakimbiza thread wenyewe kwa wenyewe,wanajibizana utafikiri ngonjera.
Wadau wanawachora
Tumia akili hiyo si misaada ni mikopo ambayo tutalipa... hizo hela zitalipwa na jasho la waTanzania... over... acha viroba ndugu yangu!!!
 
Unajua fedha ya Tanzania iliyowekezwa hapo?
Mkopo unalipwa wote na serikali ya Tanzania... na ikumbukwe hata kama ingejengwa na EAC... EAC ina-b-financed na EAC member states...
Tatizo watu hawajui kwamba benki zote hazitoe hela bure ADB inatoa mikopo sio misaada.
 
Hapa kuna barabara zinachanganywa
1. Tengeru to Sakina_ ndo naona wengi wanaitaja
2.Kuna nyingine ipo ndo inaanza hatua za awali inapitia nje ya mji maeneo ya Njiro msola karibu na Naura Sekondari ...sasa hii mimi nilijua ndo ya EAC ....i stand to be corrected!
 
CCM mpya ni kazi tu.. Maendeleo ya kuonekana bila ubishi.. Ukiwa huoni haya maendeleo ya wazi kabisa serikali ya CCM inayofanya chini ya Mh. JPM basi ww ni MCHAWI.. Sbb ni mchawi tu hapendi maendeleo.. ( CDM wachawi, mods futa hii ktk bracket CDM wasione, haa )
 
Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.

Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.

Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Hapa anayestahiki pongezi anaeleweka kabisa.....mumsifie tuu...yeye hakuwa mpenda kusifiwa, ila mambo yalikwenda kweli kweli....
 
Back
Top Bottom