Barabara imejengwa na EAC siyo serikali ya Tanzania!Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Hiyo barabara Magufuli aliisimamia akiwa waziri au Rais?Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Mradi wa EA huu acha uongo wa kipuuzi.Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.
Kweli kabisa na polisi kutumika kuwapiga wasio taka kuhamia ccm au nyumba zao kuwekewa x JPM OYEEE!!!Ndio maana wananchi wanahamia ccm
Hua zinawaka siku zingine haziwaki, cjui zina matatizo ganiBarabara safi kabisa juzi nimepita naona Taa za intersection zinaongoza magari fresh ila hizi za Kulumika barabara bado hazijawashwa!
Umewaumbua wajinga wajinga,wanakimbiza thread wenyewe kwa wenyewe,wanajibizana utafikiri ngonjera.Barabara imejengwa na EAC siyo serikali ya Tanzania!