Tumia akili hiyo si misaada ni mikopo ambayo tutalipa... hizo hela zitalipwa na jasho la waTanzania... over... acha viroba ndugu yangu!!!Umewaumbua wajinga wajinga,wanakimbiza thread wenyewe kwa wenyewe,wanajibizana utafikiri ngonjera.
Wadau wanawachora
Mkopo unalipwa wote na serikali ya Tanzania... na ikumbukwe hata kama ingejengwa na EAC... EAC ina-b-financed na EAC member states...Unajua fedha ya Tanzania iliyowekezwa hapo?
Idadi ya wanachama wa CCM ni milioni 12
Na zile nguzo za taa sijui ni urembo waliweka mpaka leo hazijawahi kuwaka.....Barabara yenyewe imekuwa kero speed mwisho 50 gari zinatembea kama zinaenda msibani.
Hapa anayestahiki pongezi anaeleweka kabisa.....mumsifie tuu...yeye hakuwa mpenda kusifiwa, ila mambo yalikwenda kweli kweli....Baada ya mradi huu kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95 ...inatarajiwa barabara hii kubwa na ya aina yake iliyobadilisha sura ya jiji la Arusha na kulipa hadhi ya Jiji itafunguliwa rasmi hivi karibuni.
Hongera Serikali ya CCM kwa kuwekeza katika miundombinu ya barabara kwa kipindi cha miaka takribani 20.
Hongera JPM kwa usimamizi mzuri ukiwa Waziri na sasa Rais wa JMT.