Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Mbowe amwaga nyuki, kweli uongozi siyo elimu ya darasani tu, na busara na hekima. akilini ya darasani punguani wa mtaani!!!!!
 
Kwani nani anajua kuhusu Uislamu wako (if any cares at all)?Ungekuwa Muislam ungekuwa umefunga mwezi huu wa toba,na hata ukidanganya nafsi yako kuwa umefunga utakuwa mnafiki kwa vile mwezi huu wa toba ni wa kutubu dhambi na kufanya yaliyo mema.Sasa hizo chiki zako binafsi dhidi ya Slaa na Chadema zinaendanaje na mfungo?

Get your Uislam right kabla ya kuropoka ovyo ovyo!

Mkuu Mlalahoi na wengine mchukizwao na Kanda2 Hili linawezekana

This message is hidden because kanda2 is on your ignore list.

View Post
Remove user from ignore list

Nanyi mwaweza fanya
 
Baada ya Mfumo wa Vyama vingi nilikuwa Muasisi upande wa ZNZ enzi za Mzee Makani.
Wamekuwa wakipaka matope kuwa CHADEMA ni cha Bara
Pia kuna wanaokihusisha chama na Dini wakati hakifungamana na dini yoyote mf. yeye ni mwislamu na wengine dini mbali mbali
Tumuunge Mkno Slaa ndiye atakayeleta ukombozi. Kaonyesha dhamira ya dhati
Nawashauri visiwani tumtilie kura Slaa ili muungano wetu uwe Mzuri

Tatizo let ZNZ ni Uchumi, zao la Karafuu bei Chini
Mafuta; serklai ya TZ chini ya CHDADEMA hatuhitaji mafuta (bara) hili liko katika ILANI
 
Njia ya kuondokana na migongano ya Serikali ya Muungano ni kuwa na serikali 3 ambayo CHADEMA italeta
Mimi niko tayari na ninaweza. Naomba sana 31 Oct. tusifanye makosa. Tumchague Slaa awe Rais
Nawaachia SMethali: Mwana akuwae ndiye ashikwae
Kamaliza
Sasa Mbowe anakuja kumkaribisha Slaa
 
Daah watu kibao...na hatujatoa usafiri kama walivyo fanya wenzetu......
 
Sasa Mbowe anapanda Kuzindua ILANI YA KUNADI kwa WATZ
 
Anakata utepe uliozungushiwa kitabu mithili ya zawadi. Shibuda yuko pale pia
 
Slaa yuko Mbele na Mbowe.
Viongozi Wanaombwa wakae

Anaanza kumpamba Slaa
 
Dk. Slaa kapiga Kombati. walinzi wako vizuri nyuma yake

CCM 2005 kauli yao ilikuwa MAISHA BORA kwa Kila Mtanzania. Ilikuwa Pia ari Mpya Nguvu, Mpya Kasi Mpya
Sasa Maisha Bora imepotea imekuwa ZAIDI ZAIDI ZAIDI
Slaa amekuwa Mtendaji toka 2004 Mbowe akiwa Mwenyekiti
Ni Mwadilifu na
Myenyekevu
 
FAnaweza kuwa na makosa kama binadamu
Umati unajibu (Hana Makosa Huyo)

Duuuuuu! Ni noma kweli
 
Sasa tuamtuma kwenda kuyatekeleza. Anakabidhiwa Ilani. anasema Watanzania Tumwombee
 
Sasa Kamanda Slaa nakabidhiwa Nondo

Du! Hiki kikundi kimnachotumbuiza kama Komba vile wa TOT

Watu ni Nyomi saana
 
Someday,you'll alll believe you are a part of any mess that you think this country is in.Keep up being partisan,let ur children go to bed late,never check their homeworks,endelea kutoa michango mikubwa ya harusi badala ya kununulia wanao vitabu then let them fail exams halafu ongeza hasira kwamba CCM ni responsible!!!Lol!!Our way of thinking is a mess!!!
 
Sasa Kamanda Slaa anaanza. Saa 11.20

PEPLES POWER . . .

Mh. Mwenyekiti, makamu wa Rais Mtarajiwa, meza kuu, Itifaki imezingatiwa makoooofiiiii
 
Back
Top Bottom