Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Watanzania wanaambiwa lima lakini hawajui masoko yako wapi . . .

Wajibu na Fursa ya Kila Mtanzania Kupata Ajira na Ujira Bora ni Haki ya Mtanzania
Hawakuzaliwa kuwa Machinga
Hawakulaaniwa na Mungu
CCM inasema imetoa 1.3 M ajira wanahesabu Machinga na Mikokoteni. Walomaliza Vyuo Vikuu hawana ajira
 
tupeni updates za jagwanii...mambo yanavyoendelea...hotuba ya dr. slaa
 
Slaa anaiponda CCM kuhusu ajira kwamba imetoa ajira 1.3m kwa Watanzania. Anasema labda ajira hii ni umachinga. Asema kuna waliomaliza vyuo vikuu wanatembea barabarani hawana kazi! Auliza: Ajira gani hizo zilizotolewa?
 
Watu Wanakufa kwa Ujambazi, askari wanakimbizana na Lesni za Barabara au kuuza Sticker za wiki ya nenda kwa Usalama. Yote yatafumuliwa siku 100 za Mwanzo.

Jamii ya kimataifa ina heshima sana na TZ hasa Enzi za Mwalimu lakini si sasa. Tutarudisha heshima ya TZ
Michezo na Sanaa: Tunataka kuvitengeneza: Ndo balozi za Kuitangaza Nchi
Kufundisha Makocha wa TZ
Kuimarisha Vyuo vya Michezo na Si Kuleta Kocha
Dr. Slaa nitaleta, kwani natoa mfukoni mwangu . . . (haaa haa dongo la JK hilo)
 
Angalizo Tuu, msidhanie ni wema tuu wa TBC, kuna mkono wa mtu aitwae UNDP na aliyetoa fungu kubwa kuliko wote ni mama Malkia wa Uingereza!.

Kila Chama chenye mgombea urais, kimetengewa live ya saa 4. Saa mbili siku ya ufunguzi, na saa mbili siku ya kufunga.

Thanks to UNDP Election Support Project.
 
Uchumi Tanzania ni ya 3 kwa Mifugo. lakini viwapi Viwanda vya Ngozi nk?

Vitu tutakavyotekeleza havihitaji fedha za Kigeni.

Watanzania Hawajui Uhusiano kati ya katiba na Maisha yao.

OCD pamoja na Cheo cha Polisi hajawahi kuiona katiba.

Umasikini wetu ni sababu ya msingi Mbovu wa katiba yetu ambayo ndiyo Mzizi wa Katiba yetu
 
Jamaa wanalinda ufisadi kwa kila namna wanayoweza. Shauri yao, wataishia kuwa kama KBC ya kenya baada ya KANU kutolewa madarakani
 
Watanzania Wanalipa Kodi Nyingi sana.
Kila wakati vitu vinapandishwa Kodi
Pesa zote Billion400 kwa mwezi . . . . mbali ya mapato mengine ya rasilimali zetu ambaozo hazionekani zinakoingia. pamoja na mikopo ya wahisani 75% zinakwenda kuensesha serikali: Mishahara na Ofisi, Mashangingi, Samani za Ofisi . . .
 
Uchumi Tanzania ni ya 3 kwa Mifugo. lakini viwapi Viwanda vya Ngozi nk?

Vitu tutakavyotekeleza havihitaji fedha za Kigeni.

Watanzania Hawajui Uhusiano kati ya katiba na Maisha yao.

OCD pamoja na Cheo cha Polisi hajawahi kuiona katiba.

Umasikini wetu ni sababu ya msingi Mbovu wa katiba yetu ambayo ndiyo Mzizi wa Katiba yetu

Anayebisha ajitokeze
 
dakika sita zijazo TBC inakata matangazo, hapo Slaa atakuwa hayupo hewani tena
 
Mwaka Huu kuna Billion 20 za Kununua samani kama ilivyokuwa mwaka jana.

Ukubwa wa Serikali ni Tatizo: Kila Waziri na Naibu na MRC MADC wanayo Mashangingi
 
mawaziri 40 kila mmoja gari lenye thamani mil 200...bado ma-dc
 
Ajira: Vijana hawakupewa Elimu. Sasa Elimu ya Kidato cha Sita itakuwa ni ya lazima na Iltalipiwa na Serikali.

Kenya Elimu ni Bure Afya Ni Bure na haiilipiwi na Wahisani.

Waziri wa Science na Technolojia nazungumzia simu za Mikononi tu. Tumnataka turudi kwenye msingi wa Viwanda kwa afrika Nzima
Tuna Chuma
Uraniumu . . . tunaalika wawekezaji waondoke nazo
 
Wawekezaji waje lakini watafanya kazi kwa masharti yeu kama wanavyowekeza kwingineko.
RITES wa TRL miaka 3 hakuna wanachofanya na ni serikali iliyokopa IFC
 
Wafanyakazi mambo yao yatashugulikiwa ndani ya siku 100. Si kwa Mishahara tu. Kodi zao kam NSSF, PAYE zinanufaisha wachache.
 
Back
Top Bottom