Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
uzuri wa SIASA siku zote mtu yoyote anaweza ongea chochote kama MC. Ni wajibu wa kila mmoja kivyakevyake kutafuta kilichojiri.
Huyu jamaa amemwaga upupu hapa Jangwani leo lakini hakuna hata sehemu moja alikoelezea jinsi gani;
1. Atakavyo-badilisha mikataba ya madini iliyopo na kwa kutumia sheria ipi? Hii Uranium au reserves mpya za madini yeye anataka kufanyaje tofauti na wengine wote Duniani wanavyofanya?
2. Namna gani serikali yake ya mawaziri 20 itaweza ku-run bila kuongeza kurugenzi na taasisi zaidi ambazo ni gharama zaidi. Angekuwa muwazi angetuambia hao mawaziri watakuwa zizara gani na namna gani taasisi za serikali zitakuwa zinaendeshwa na hao mawaziri 20.
3. Jinsi gani na kwa namna gani anaweza badilisha hali ya wafanyakazi wa TZ kwa siku 100? Aeleze mkakati ulivyo na si kutifuka tifuka. je hali ya wakulima itakuwaje?
Hata hivyo, kuna elements za idea nzuri ambazo CCM tutazitumia baada ya kuapishwa Novermber 5. Mojawapo hii ya watu kutojua katiba na kudhibiti zaidi wimbi la ujambazi. CCM itahakikisha inaweka sawa sawa mambo yote katika miaka mitano ijayo.
Kidumu chama. Idumu CCM hapa JF