[IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.gif[/IMG] Re: Ilani ya CHADEEMA na mapungufu yake katika tafsiri ya ufisadi [/B]
We are the cause of our own sufferings. Tumepewa akili ya kufikiri hatutaki kuzitumia. Nini chanzo cha UMASIKINI wa Tanzania kama sio uongozi mbovu wa serikali zilizokuwa madarakani miaka yote hii? Illiteracy ni 30% kwa sababu gani? Vifo vya kina mama wajawazito 550/100,000 kwa nini? Mbona Chile sio matajiri kihivyo lakini wananchi wake wanaishi miaka 80-90 sawasawa na Marekani iliyo mbali mno kiuchumi? Kenya wakati wa Uhuru ilikuwa sawa na South Korea, leo tofauti unaionaje? nini tatizo kama sio utawala mbovu? Afadhali hata wao waliishitukia KANU mapema wakaipiga chini, kuliko sisi huku tunaozungumza upuuzi kufurahisha midomo yetu. Kuna watu humu wanaandika rubbish, rubbish tu wanafikiri watu wote humu wanafikiri ka wanavyofikiri wao. Tatizo la TANZANIA NI UONGOZI, kama ni Resources tunazo hamna mfano lakini ubovu wa viongozi wetu wengi hawajui kufikiri wanashindwa kuzitumia.
Watu mu argue mkijua kuna watu wanaofikiri humu msidhani mnaongea wa wacheza ngoma.