Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Shkrani kwa uongozi kwa Kukamilisha Ilani.
Kwa niaba ya watanzania, tutaisimamia na Kuitekeleza kwa Uaminifu na Uadilifu . . . Makofi
Ilani ni Kielelezo cha Tumaini Jpya kwa WEatz
Tunawaletea Matumaini pale pasipo
Ujasiri pale penye hofu
Inaonyesha mabadiliko makubwa tofauti na ya Mgando ya CCM
Hatuazungumzia kwa kuhesabu matundu ya Choo. wakati wake umeisha
 
Tanzania Ukiacha Kipindi cha Mwinyi kurudi Nyuma, i,epoteza Dira
Ilani inalenga kurudisha Matumaini
Kwa sababu ya Muda, atagusia maeneo machache
 
Kilichotokea kwa Makani, Si jambo la Kawaida.
Nilitegemea angeenda kupumzika lakini bado yuko na sisi
Makani anasimama na kusema CHADEEEMAAA, NIPO. anasema dr. Slaa una support yangu 100%. Atamsaidia kwa uwezo wote
 
Hiyo Ndo CHADEMA na inawaheshimu wastaafu wote wa Nchi hii
 
Anaushukuru Umati kwa kuja katika Mkutano
Alifika mara ya mwisho akiwa na PoP na kesho yake akafanyiwa upasuaji. Sasa amertdi mkono uko vema. Anawashukuru wote na Mungu ameskia Kilio Chenu. Mkno unafanya kazi. Mkono umewekwa Chuma na utafanya kazi baada ya wiki 6

Anashukuru familia yake

Na kumtambulisha Mkewe . . .

Du! Yuko poa kabiga Kombati
 
Njia ya kuondokana na migongano ya Serikali ya Muungano ni kuwa na serikali 3 ambayo CHADEMA italeta
Mimi niko tayari na ninaweza. Naomba sana 31 Oct. tusifanye makosa. Tumchague Slaa awe Rais
Nawaachia SMethali: Mwana akuwae ndiye ashikwae
Kamaliza
Sasa Mbowe anakuja kumkaribisha Slaa

Serikali 3..! Great manoeuvre by Chadema to bring it forth in early stages. CCM wakiitamka, ni kugeza-geza!! They failed to talk about it for the past 30 yrs, let alone implement it!!!
 
Anaendelea. . . .
WATZ tujue matatizo yetu na ni vipi tumefika hapa . . .

Sehemu ya Kwanza: Tatizo mama ni Ufisadi uliosababishwa na ubovu wa Vipongozi.
Hatua ya Kwanza ni kushughulikia Ufisadi na Uadilifu
 
Ndani ya miezi 3. tutafanya:

Tunu za Taifa; Uzalendo, Uaminifu, Kutokutapanya Rasilimali, mf. Mwalimu hadi anakufa hakuwa na yumba alijengewew
 
Anaendelea. . . .
WATZ tujue matatizo yetu na ni vipi tumefika hapa . . .

Sehemu ya Kwanza: Tatizo mama ni Ufisadi uliosababishwa na ubovu wa Vipongozi.
Hatua ya Kwanza ni kushughulikia Ufisadi na Uadilifu

Hapo amemaliza
 
Serikali inayowajibika haiitaji kutegemea wahisani.
Katika siku 100 tutairejesha TZ katika ramani ya Dunia.

Atapenda Jina Mheshimiwa liondolewa na badala yake watakuwa watumishi no 1 wa Wa TZ
 
Kuchukua Hatua: serikali inaambiwa kuna wizi, wanapewa nyaraka, hawataki, anawaambia wampeleke mahakamani hawataki.

Serikali itakayoundwa haitakuwa na uvumilivu na ufisadi katika kila ngazi na hatutakuwa na usanii.
 
Hatutakuwa na Urafiki na Ubadhirifu. Hatutamwonea mtu na wala hatutakuwa na Double Standards.
Anyeyekamatwa ni mwingine, mwizi anatanua na mashangingi.
Kwa hilo hatuhitaji fedha za kigeni

Wabunge wasimame na kati yao Mawaziri watakuwepo
 
Miaka 15 aliyogombea Karatu hajwahi kuomba Kura zake.

Naomba Watz kama mnanipenda basi mnipe na Wabunge na Watu wote Nchi Nzima ili niwe na watu wa Kuwatumikia.

Ndiyo maana Karatu aliomba kura za vijana wake si zake. Na kuna mabadiliko makubwa CCM ikiwa Chama cha Upinzani
 
Ahsante kwa picha mkuu!

Niko ughaibuni hapa! naipenda Tanzania napenda kuiona nchi yangu inasomeka kila kona ya dunia. safi sana wakuuu kama superman unatoa mambo mazuri sana.
 
Ukimpa Kura Kijana wangu hata kama ni Zezeta, nikimwambie akimbie atakimbia.

alipoanza kupiga kelele za ufisadi Bungeni CCM walikuwa wanampigapoint of Order akiwepo Shibuda (shibuda anasdakia Ni Kweeeelliiii)

Baada ya Zitto kusimamishwa ndiyo wakajitokesha CCM wanaoitwa Makamnda wa Ufisadi
 
Hivi jamani hakuna blog inayoonyesha picha ya kinachojiri huko Jangwani ni mtazamo tu!!!!!
 
CCM wataiba kura mwaka huuu, hakiyanani!!!
 
Sasa Kamanda Slaa nakabidhiwa Nondo

Du! Hiki kikundi kimnachotumbuiza kama Komba vile wa TOT

Watu ni Nyomi saana

Picha picha picha picha picha ni muhimu sana kwenye matukio kama haya.

Natumaini zitawekwa hapa kadri muda utakavyoruhusu.
 
Tumechagua Mambo 9 ya Kipaumbele:

Elimu Bora si Bora Elimu
Huduma Za Jamii; Elimu, Afya na Maji
Kilimo Bora na Si Kilimo Kwanza

Tulianza na Kilimo cha kufa na Kupona lakini hatukupona, WaTZ tusidanganyike. Huwezi kufufua KIlimo kwa Power Tiller. Hazina uwezo wa Kuingia Chini.

Hata Tender ya Kuleta Power Tiller ina Mashaka.

Uchumi Imara na wa Kisasa.

Waziri akimaliza kutengeneza Sera basi. CHADEMA tutasimamia Uchumi
 
Rais Kenedy wa USA alipania USA itume Chombo Mwezini mika michache baadaye wakafanya hivyo
Watanzania hatuna haja ya kushindwa kuiletea maendeleo
 
Back
Top Bottom