Nostradamus
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 392
- 6
Regia:nitafutie mfano wa nchi moja tu duniani ambayo mkulima wake bora kabisa alifanywa kuwa waziri wa kilimo!Lol!Jamvi linavutia sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wamesema kuwa wao ni chama makini wanafanya tafiti.Dr Shein ana Phd lazima alifanya utafiti kwenye PhD yake. Mgombea wako kakiri kuwa hana elimu wala uzoefu.
Jamani kuna watu hata mkiwaelimisha vipi hawana mpango wa kuelewa! Wameshaamua hivyo sasa mnataka muwalazimishe! Sio lazima muwajibu wanafurahia kubishana hawa! Wakaushieni muone! Wakikosa wakubishana nae watatafuta pozi jipya! Hata mkuu MS alizidiwa na rev. Pale rev.masa alipoacha kumjibu na kutundika picha Ms mwenyewe akajua kile kichwa kibovu! Nyie kama mnamjadala anakuja mtu asiyetaka kuelewa hata akiquote mnampoteza! Wanarusha stimu tu!
Nchi ya zanzibar na mkulima huyu hapaRegia:nitafutie mfano wa nchi moja tu duniani ambayo mkulima wake bora kabisa alifanywa kuwa waziri wa kilimo!Lol!Jamvi linavutia sana.
Regia:nitafutie mfano wa nchi moja tu duniani ambayo mkulima wake bora kabisa alifanywa kuwa waziri wa kilimo!Lol!Jamvi linavutia sana.
Kumbe JK anapata ushauri kwa watu kama hawa la kuwa ma baraza kubwa la mawaziri na anasahau kuwa mbayuwayuSi firiii mbali. Niko na wewe. Maana wewe ndiyo unaelekea kufiria mbali! Sihitaji kuja Chadema. wewe sema ikoje na Slaa wako mtafanya na hao mawaziri wenu 20?
Halafu wanajisifu kuwa Wasomi wetu wamegawa vyandarua kibao kwa Watanzania. Na hii wanaweka kama Mafanikio makubwa saaana kwao. Cha kufurahisha ni kuwa miradi yao mingi imeisha hivi:
![]()
Dr. Slaa na CHADEMA hongera sana kwa uzinduzi wa kampeni yenu.
Ila tu hizo siku 100 utafanya mangapi? Kwa kutumia pesa zipi? Kwa kutumia sheria zipi? Kwa kushiriiana na watu gani? Wanasiasa acheni kutudanganya Watanzania.
Itafaa CCM wakidondoshwa ili tujipange upya lakini ahadi zote hizo ni utapeli wa kisiasa tu. Hata kubadili katiba tu itatuchukua zaidi ya mwaka.
Huyu mtu anaitwa michuzi (MZEE WA LIBENEKE) anazidi kujipotezea umaarufu kwa kutumia blogu yake kuipigia kampeni CCM tu kila kukicha utadhani hakuna vyama vingine!!!. Nilitegemea basi hata aweka japo ka habari kamoja ka CHADEMA leo, lakini badala yake anapiga mapicha ya CCM na akina Mama Rwakatare(maombi ya Kampeni),. Chakusikitisha kote ughaibuni anakoenda anaendela kujifagilia kuwa yeye ndie mwenye "blogu ya jamii"" inayowapasha wanatanzania wote habari bila upendeleo.. Inasikitisha kwa msomi kuwa "bias".
UNCLE MICHUZI Kama hujui mkuu unapoteza, jaribu kwenda na wakati wa kutofungamana na upande wowote, vinginevyo utapoteza wasomaji wa blogu yako kwa itikadi zako za upendeleo, ana utajikuta huna nyimbo pale ambapo wapinzani watachukua inchi !!!. Kama hulipwi na CCM katika safari zako au kuihudumia blogu yako, tafadhari toa nafasi sawa kwa vyama vyote kaka kwani ni vya watanzania!!!
Sasa kama mnajiamini hivyo kimekuleta nini huku kutujazia upupu wenu?Mkuu, mahasira hata chembe huku CCM! Kwa mahesabu ya ghafla, yale majimbo tuliyokomba ki-hivi hivi (17) ni asilimia 10% ya electorate ya Tz. Bado zenj kuna 6% na mikoa ya kusini yote make up 12%, hapo hujaongelea royal central regions!. By summation tayari CCM (chama chenye majigambo yenye akili) kina 26% ya kura kabla ya election. Mkigawana na CUF maeneo tofauti mtaacha another 50% ikiwa na CCM. Mwaka huu ushindi ni asilimia 76%+ kwa CCM. Ni kweli unahitaji hasira au pressure hapo?. Hutaki, subiri Octber 31. Ilikuwa ni makosa sana kwa Slaa kuingia kwenye kingang'anyiro cha Urais mwaka huu. Ameingia choo cha wanawake.
Mkuu, mahasira hata chembe huku CCM! Kwa mahesabu ya ghafla, yale majimbo tuliyokomba ki-hivi hivi (17) ni asilimia 10% ya electorate ya Tz. Bado zenj kuna 6% na mikoa ya kusini yote make up 12%, hapo hujaongelea royal central regions!. By summation tayari CCM (chama chenye majigambo yenye akili) kina 26% ya kura kabla ya election. Mkigawana na CUF maeneo tofauti mtaacha another 50% ikiwa na CCM. Mwaka huu ushindi ni asilimia 76%+ kwa CCM. Ni kweli unahitaji hasira au pressure hapo?. Hutaki, subiri Octber 31. Ilikuwa ni makosa sana kwa Slaa kuingia kwenye kingang'anyiro cha Urais mwaka huu. Ameingia choo cha wanawake.
Sasa kama mnajiamini hivyo kimekuleta nini huku kutujazia upupu wenu?
What a great day to be remembered! I, myself, was there at Jangwani grounds.
Najua CCM nyuso zimewashuka; na mahasira kibao. Mtajiju.