zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ni wewe mkuu soma hii comment yako ulipoquote post yangu kumjibu nyanhingi kuhusiana na biblia imecopy na kupaste stori za miungu wa kigirikiNiangalie tena vizuri, utakuwa umenifananisha.
Acheni ubabaishaji hakuna cha stori moja wala nini. Ni uongo mtupu na upotoshaji.
Mkuu TRIPLE H hakuna mstari direct kwenye biblia unathibitisha kuwa lilith alikuwa ndie mke wa adam kabla ya Hawa ila nje ya biblia zaidi ya jamii nyingi za kale zilitambua uwepo wa Lilith kuanzia Egyptians Assyrians greeks mpaka sumerians bila kusahau babylon wote wanaitambua hii stori na imeandikwa kwenye vitabu vyao vingi ila kwenye biblia kama nilivyoeleza hapo mwanzoni wanaipa hoja yao mashiko kupitia kulinganisha mwanzo 1 na mwanzo 2
Hivyo basi kwa kuwa wana conclude mwanamke aliyetajwa mwanzo moja ni tofauti na mwanzo 2 basi inatoa fursa kwa hoja ya kwamba lilith kweli alikuwepo Eden sababu kuna ka upenyo kameachwa apo
Na mstari wenyewe ni hapa tu
22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume
Hivyo kwa hitimisho lao ni kwamba kama lilith asingetajwa popote basi wasingediriki kusema mwanzo 1 na 2 zinaongelea wanawake 2 tofauti.... Ila kwakuwa kuna story ya jamii karibu zote za mashariki ya kati kuwa lilith alikuwepo eden afu muda huo huo biblia imeacha huo mwanya hivyo walioanzisha nadharia hii wameishia KUCONNECT dots kuwa lilith existed
Cjui inaeleweka ama bado
Hebu twende taratibu wala usiwe na paparana hayawani wa nyikani atakutana na mbwa mwitu, na beberu atamwita mwenzie., naam na babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.
hiyo ni isaya 34 mstari wa 14 kama ulivyosema, huyo lilith kaandikwa wap? mshana usitake kuwapoteza watu waingie motoni kama wewe, maana naona hapa unamnadi huyo mungu wako lilith watu wamfuate.
Je mtirirko ulifuatana au zigzag?? Maana sehemu nyingine unaona mimea inaumbwa kabla sehemu nyingine inaubwa baadaHaieleweki??!!!Wakati Biblia iko wazi kwa kila mtu kuona na kuisoma kwa lugha yake/mother tongues, kwa sababu Mwanzo 1 ni kama introduction ya uumbaji na Mwanzo 2 ni details za jinsi huo umbaji ulivyofanyika. Sijui ugumu wa kuelewa haya uko wapi? Sijui.
Lakini hata huko katika ulimwengu wa giza wana mambo yao. Yuko Bwana wao Shetani/Joka, kupitia huu uzi nafahamishwa kumbe yuko na mama wa kuzimu Lilith, haya yuko yule mnyama na pia yuko nabii wa uongo. Kumbuka shetani ndiye baba wa uongo. Tatizo linakuja pale shetani na wafuasi wake wanapo taka kujinasibisha na Mungu kwa kutumia uongo, hila, ulaghai na upotoshaji. Hapo ndipo tatizo lilipo na lilipojificha.
Nice...kingine ni pale ambayo aliemchungulia Nuhu ni Ham lakini Nuhu akamlaani Caanan.....Je caanan kosa lake ni Lipi hasa??? Biblia haijawa wazi na ndio maana watu wanafutafuta majibu ....ya Labda ....labda...Kwanza sio kweli kwamba Bible iko wazi kwa kila jambo, hivyo si sahihi ku rely kwa Bible persee ktk yote. Mfano, Cain alipokwenda nchi za mbali alioa huko, pili Jesus aliwalisha wanaume tu ktk ile sherehe.
Jambo moja, binafsi kwa akili zangu ndogo huwa naliamini, kwamba "kuna kitabu kikubwa sana cha miongozo, kiko spiritual" Bible ni ukurasa wake mmoja tu, Quran na vinginevyo eidha vilivyoandikwa au vinaishi ktk maisha ya viumbe tu, ni sehemu ya kurasa hizo chache sana. Mengi hayajafunuliwa.
Yesu mwenyewe, akiwa Ameshafikia ukingoni mwa kipindi chake cha kufundisha, alitoa kauli tata Sana,ya kwanza "Itafuteni kweli nayo itawaweka huru" na ya pili alisema, "watu wangu wanaangamia kwa kuyakosa maarifa" kama utasumbua kichwa utagundua kuna kweli nyingi tumeamrishwa kuzifumbua.
Mimi naamini, kuna lugha moja ya asili ambayo mwanadamu anaweza akaitumia kuwasiliana na nyoka, simba na ndege. Ipo ingawa haielezeki. Sura zetu ni zaidi ya uso.
Mkuu Zitto jnr umeeleweka hasa hapo uliposema kwenye Biblia hii kitu iitwayo Lilith haiko very clear; maana mm nilitaka nianze kumsaka huko.Mkuu TRIPLE H hakuna mstari direct kwenye biblia unathibitisha kuwa lilith alikuwa ndie mke wa adam kabla ya Hawa ila nje ya biblia zaidi ya jamii nyingi za kale zilitambua uwepo wa Lilith kuanzia Egyptians Assyrians greeks mpaka sumerians bila kusahau babylon wote wanaitambua hii stori na imeandikwa kwenye vitabu vyao vingi ila kwenye biblia kama nilivyoeleza hapo mwanzoni wanaipa hoja yao mashiko kupitia kulinganisha mwanzo 1 na mwanzo 2
Hivyo basi kwa kuwa wana conclude mwanamke aliyetajwa mwanzo moja ni tofauti na mwanzo 2 basi inatoa fursa kwa hoja ya kwamba lilith kweli alikuwepo Eden sababu kuna ka upenyo kameachwa apo
Na mstari wenyewe ni hapa tu
22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume
Hivyo kwa hitimisho lao ni kwamba kama lilith asingetajwa popote basi wasingediriki kusema mwanzo 1 na 2 zinaongelea wanawake 2 tofauti.... Ila kwakuwa kuna story ya jamii karibu zote za mashariki ya kati kuwa lilith alikuwepo eden afu muda huo huo biblia imeacha huo mwanya hivyo walioanzisha nadharia hii wameishia KUCONNECT dots kuwa lilith existed
Cjui inaeleweka ama bado
Nice...kingine ni pale ambayo aliemchungulia Nuhu ni Ham lakini Nuhu akamlaani Caanan.....Je caanan kosa lake ni Lipi hasa??? Biblia haijawa wazi na ndio maana watu wanafutafuta majibu ....ya Labda ....labda...
SABABU ZA BABA (Nuhu) kumtupia laana MJUKUU WAKE (Kanaani) badala ya mwanawe HAMU ambaye kimsingi ndiye aliyechungulia baba yake kama tunavyoona kwenye Mwanzo 9:20-24 ni kuwa siku zote ili laana ipate nguvu kwa 'mlaaniwa' lazima ziwepo sababu (Proverbs 26:2) na ziwe logical kiroho!Nice...kingine ni pale ambayo aliemchungulia Nuhu ni Ham lakini Nuhu akamlaani Caanan.....Je caanan kosa lake ni Lipi hasa??? Biblia haijawa wazi na ndio maana watu wanafutafuta majibu ....ya Labda ....labda...
Mkuu mshana nilicheck video moja youtube ikimwelezea huyu lilith,inasemekana huyu mwanamke baada ya kutofautiana na adam,aliondoka na kwenda sehemu ya mbali huko alipokuwa kuna maneno aliyatamka yakamfanya aweze kupotea na kuwa upepo sasa hapo kwenye hayo maneno aliyajuaje!?[emoji120] [emoji120] [emoji120] am humbled.. Nimekualika tayari kwenye mada ya laana naye namualika. Tujifunze pamoja
Yes but still Caanan hausiki na hiyo dhambi bado ni kumpa mzigo ambao haumuhusu kabisa.SABABU ZA BABA (Nuhu) kumtupia laana MJUKUU WAKE (Kanaani) badala ya mwanawe HAMU ambaye kimsingi ndiye aliyechungulia baba yake kama tunavyoona kwenye Mwanzo 9:20-24 ni kuwa siku zote ili laana ipate nguvu kwa 'mlaaniwa' lazima ziwepo sababu (Proverbs 26:2) na ziwe logical kiroho!
Na kwa kawaida ya laana (au baraka) haiwezi kutoka chini kwenda juu; lazima impate mkubwa ndio iweze kutiririka (Ebr. 7:7)
Hivyo, kama Nuhu angemlaani Hamu ambaye alikuwa last born wake, kwa sheria ya laana (au baraka) isingeweza kumpata; hivyo ili ifanye kazi ilibidi aiachilie kwa mzaliwa wake wa kwanza ambaye ndiye Canaan!
Ndivyo nilivyowahi kusoma sehemu Fulani, but I stand to be corrected and taught concisely!
Ahsante.
Alikuwa na supernatural powersMkuu mshana nilicheck video moja youtube ikimwelezea huyu lilith,inasemekana huyu mwanamke baada ya kutofautiana na adam,aliondoka na kwenda sehemu ya mbali huko alipokuwa kuna maneno aliyatamka yakamfanya aweze kupotea na kuwa upepo sasa hapo kwenye hayo maneno aliyajuaje!?