Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Wewe msukule wa shetani utanishauri nini? Maana umepita darja la kuwa mfuasi wa ibilisi wewe ni msukule wa shetani.

Mkuu kwa namna ulivyo iweka Imani mbele kama Tai ni rahisi sana ukiambiwa Umuue Mdugu yako kwa ajili ya Dini yako utafanya bila ya kujiuliza ,huyo huyo Mungu wako alimtwaa Yesu kwa ajili ya Watu kama Sisi..

Nyie ndio ambao huwa mnaenda Shule kukariri na sio kuelewa ...
 
Sahihi mshana..
Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa WANA.
Kuna tofauti ya wana wa Mungu na
Watu wa Mungu
Watu wote ni watu wa Mungu lkn wale wamtafutao na kumwabudu ktk kweli huitwa WANA wa Mungu
Ukisoma Kitabu cha 1Wafalme 13:8, unaona wazi mtu wa Mungu bado ni mtumishi wa Mungiu, ni mcha Mungu mzuri tu. Ila hao wengine ndo wanaitwa watu wa mataifa, yaani wasio wateule ama kwa namna ingine si wa taifa la Israel
 
Baada ya Mungu kuja hapa duniani kwa jina la Bwana Yesu hakuna njia mbadala ya kufika kwa Mungu/ mbinguni zaidi ya kumkiri Bwana Yesu, kutubu dhambi, kubatizwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Nje ya hapo ni utaratibu wa kishetani, yaani ni ulaghai wa shetani eti naye anaijua Taurati,Zaburi, Injili sijui nabii issa huu wote ni uongo wa shetani ambaye maandiko matakatifu yamempa jina/cheo cha baba wa uongo.

Dini itokonayo na Abraham/Ibrahim Baba wa Imani ni Ukristo tu. Isack Mwana wa Abraham ndiye aliyebeba zile Baraka za Kiroho na hatima yake ni Bwana Yesu kuja kuukomboa ulimwengu na dhambi. Hakuna ukombozi mwingine wa dhambi nje ya Bwana Yesu. Huu ndio ukweli mchungu kuusikia hasa kwa wale wapinga Kristo.

Sahihi mshana..
Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa WANA.
Kuna tofauti ya wana wa Mungu na
Watu wa Mungu
Watu wote ni watu wa Mungu lkn wale wamtafutao na kumwabudu ktk kweli huitwa WANA wa Mungu
 
Ukisoma Kitabu cha 1Wafalme 13:8, unaona wazi mtu wa Mungu bado ni mtumishi wa Mungiu, ni mcha Mungu mzuri tu. Ila hao wengine ndo wanaitwa watu wa mataifa, yaani wasio wateule ama kwa namna ingine si wa taifa la Israel

Taifa la Israel ipi? Duniani/kimwili Au Mbinguni/Kiroho?
 
Jua tu kwamba kukemea au kukaripia kunaruhusuwa hata Bwana wangu Yesu Kristo alifanya hivyo pale ilipobidi/ lazimu.

Jua tu kwamba kukemea au kukaripia kunaruhusuwa hata Bwana wangu Yesu Kristo alifanya hivyo pale ilipobidi/ lazimu.

Hauja kemea tu ,na kuhukumu pia umesha nihukumu.Yale Maneno yako kama yangekuwa ni Risasi tayari ulisha niua.
 
Unamjua vizuri mwandishi wa vitabu hivyo??? au unapinga kwa furaha binafsi??
 
Alaa!!! nikumbushe swali tena basi, maana ushakiri mwenyewe lilith hakuwa kati ya hao wanyama Adam aliopewa kuwapa majina.

Unapo Soma Taarifa yeyote ile jitahidi.sana kuelewa 'Mantiki' ya Habari yenyewe, na Uisome ukiwa Huru Kifikra.

Nna Maanisha pia Usipende au kukichukia kitu kupitiliza ,Pia jitahidi kufikiri sawasawa.Wapo Watu humu wame fafanua Vema sana.Tuna tofautiana Mawazo na namna yetu ya Kufikiri sawasawa lakini sio kwa aina yako.

Mkuu nna kushauri urudie kusoma yaliyo jadiliwa huku kwa kuwa yana Umuhimu kwako pia na Jamii yako.
 
Hauja kemea tu ,na kuhukumu pia umesha nihukumu.Yale Maneno yako kama yangekuwa ni Risasi tayari ulisha niua.

Kumbe hujavaa bullet proof jacketi siku hizi nyingi mno hatawalinzi wa makampuni binafsi wanagawiwa na kuzivaa.
 
Stone upo vizuri mimi mwenyewe nishajiuliza hilo swali "hayo maneno aliyajuaje???
 
Kwani Lut(a.s) na Nuh(a.s) hawakua wateule mbona walipata wanawake wabaya kuwahi kutokea
 
Stone upo vizuri mimi mwenyewe nishajiuliza hilo swali "hayo maneno aliyajuaje???
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] super natural powers
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] super natural powers
Sawa Mshana hizo super natural powers si walikuwa nazo wote wawili sasa iweje Adam ashindwe kuzitumia kugeuka upepo ili amfate mkewe Lilith alipoenda hatimae akabakia lonely mpaka Mungu alipomuonea huruma kumletea Eva kama maandishi yanavyosema, yani Adam alishindwa vipi kumtafuta mkewe thru super natural powers aliyokuwa nayo cause angempata tu kama angeamua kufanya hivyo au unasemaje Mshana..

Au kuna story behind hatuijui iliyosababisha Adam aka give up??
 
Sahihi kabisa lakini Kumbuka kuna utashi na maamuzi binafsi... Kwahiyo hakutaka KULAZIMISHA mahusiano na mke kiburi
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…