Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Wewe msukule wa shetani utanishauri nini? Maana umepita darja la kuwa mfuasi wa ibilisi wewe ni msukule wa shetani.

Mkuu kwa namna ulivyo iweka Imani mbele kama Tai ni rahisi sana ukiambiwa Umuue Mdugu yako kwa ajili ya Dini yako utafanya bila ya kujiuliza ,huyo huyo Mungu wako alimtwaa Yesu kwa ajili ya Watu kama Sisi..

Nyie ndio ambao huwa mnaenda Shule kukariri na sio kuelewa ...
 
Sahihi mshana..
Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa WANA.
Kuna tofauti ya wana wa Mungu na
Watu wa Mungu
Watu wote ni watu wa Mungu lkn wale wamtafutao na kumwabudu ktk kweli huitwa WANA wa Mungu
Ukisoma Kitabu cha 1Wafalme 13:8, unaona wazi mtu wa Mungu bado ni mtumishi wa Mungiu, ni mcha Mungu mzuri tu. Ila hao wengine ndo wanaitwa watu wa mataifa, yaani wasio wateule ama kwa namna ingine si wa taifa la Israel
 
Baada ya Mungu kuja hapa duniani kwa jina la Bwana Yesu hakuna njia mbadala ya kufika kwa Mungu/ mbinguni zaidi ya kumkiri Bwana Yesu, kutubu dhambi, kubatizwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Nje ya hapo ni utaratibu wa kishetani, yaani ni ulaghai wa shetani eti naye anaijua Taurati,Zaburi, Injili sijui nabii issa huu wote ni uongo wa shetani ambaye maandiko matakatifu yamempa jina/cheo cha baba wa uongo.

Dini itokonayo na Abraham/Ibrahim Baba wa Imani ni Ukristo tu. Isack Mwana wa Abraham ndiye aliyebeba zile Baraka za Kiroho na hatima yake ni Bwana Yesu kuja kuukomboa ulimwengu na dhambi. Hakuna ukombozi mwingine wa dhambi nje ya Bwana Yesu. Huu ndio ukweli mchungu kuusikia hasa kwa wale wapinga Kristo.

Sahihi mshana..
Wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa WANA.
Kuna tofauti ya wana wa Mungu na
Watu wa Mungu
Watu wote ni watu wa Mungu lkn wale wamtafutao na kumwabudu ktk kweli huitwa WANA wa Mungu
 
Ukisoma Kitabu cha 1Wafalme 13:8, unaona wazi mtu wa Mungu bado ni mtumishi wa Mungiu, ni mcha Mungu mzuri tu. Ila hao wengine ndo wanaitwa watu wa mataifa, yaani wasio wateule ama kwa namna ingine si wa taifa la Israel

Taifa la Israel ipi? Duniani/kimwili Au Mbinguni/Kiroho?
 
Jua tu kwamba kukemea au kukaripia kunaruhusuwa hata Bwana wangu Yesu Kristo alifanya hivyo pale ilipobidi/ lazimu.

Mkuu kwa namna ulivyo iweka Imani mbele kama Tai ni rahisi sana ukiambiwa Umuue Mdugu yako kwa ajili ya Dini yako utafanya bila ya kujiuliza ,huyo huyo Mungu wako alimtwaa Yesu kwa ajili ya Watu kama Sisi..

Nyie ndio ambao huwa mnaenda Shule kukariri na sio kuelewa ...
 
Jua tu kwamba kukemea au kukaripia kunaruhusuwa hata Bwana wangu Yesu Kristo alifanya hivyo pale ilipobidi/ lazimu.

Hauja kemea tu ,na kuhukumu pia umesha nihukumu.Yale Maneno yako kama yangekuwa ni Risasi tayari ulisha niua.
 
Habari zako zakipumbavu usichanganye na bibilia hiyo isaya 34:14 haijamzungumzia huyo mwanamke wala mwanzo 1:27 fikili kabla ya kuzania vitu vya kutunga bibilia imetabili kwenye kitabu cha timotheo ,wakorintho na wakolosai kua nyakati za mwisho kama hizi kuta kua na story zakutunga zinazo husiana na dini mziepuke sasa ni hatari...
Unamjua vizuri mwandishi wa vitabu hivyo??? au unapinga kwa furaha binafsi??
 
Alaa!!! nikumbushe swali tena basi, maana ushakiri mwenyewe lilith hakuwa kati ya hao wanyama Adam aliopewa kuwapa majina.

Unapo Soma Taarifa yeyote ile jitahidi.sana kuelewa 'Mantiki' ya Habari yenyewe, na Uisome ukiwa Huru Kifikra.

Nna Maanisha pia Usipende au kukichukia kitu kupitiliza ,Pia jitahidi kufikiri sawasawa.Wapo Watu humu wame fafanua Vema sana.Tuna tofautiana Mawazo na namna yetu ya Kufikiri sawasawa lakini sio kwa aina yako.

Mkuu nna kushauri urudie kusoma yaliyo jadiliwa huku kwa kuwa yana Umuhimu kwako pia na Jamii yako.
 
Mkuu mshana nilicheck video moja youtube ikimwelezea huyu lilith,inasemekana huyu mwanamke baada ya kutofautiana na adam,aliondoka na kwenda sehemu ya mbali huko alipokuwa kuna maneno aliyatamka yakamfanya aweze kupotea na kuwa upepo sasa hapo kwenye hayo maneno aliyajuaje!?
Stone upo vizuri mimi mwenyewe nishajiuliza hilo swali "hayo maneno aliyajuaje???
 
I see! Nilikuwa sijawahi ckia hizo habari za shost ake na Hawa... ngoja nami niingie online library nimbukue kidogo!!

Sema dah, mara malkia wa giza, mara malkia wa jehanamu, mara Lilith hivi; mara Lilith vile... yaani makombora yote hayo anayopigwa kisa tu kv kamtema Adam!

Hivi huyu Adam nae si ni miongoni mwa wateule wa Mungu; au?! Kama ndivyo, huku Uswahilini si huwa tunaambiana eti mke mwema hutoka kwa Mungu; au?

Kama ndivyo, how come tena mteule wa Mungu akapata mke asiye na sifa za kutoka kwa Mungu?!

Kama mke mwema hutoka kwa Mungu; mke muovu si itakuwa hutoka kwa shetani; au?

Kama ndivyo, ina maana mteule wa Mungu aliletewa mzigo na shetani?!

Oh! Nasikia Mungu aliumba dunia kwa cku 6 na cku ya 7 akaamua kula good time! Nimepatia?!

Kama ndivyo, au inawezekana Shetani alimlia timing Mungu, na ilipofika cku nyingine Jamaa akawa anakula good time; shetani akaupenyeza mzigo kwa Mwana Mteule!!

Au hii good time alikula mara moja tu?!

Hebu ngoja, kabla sijaendelea!! Hivi ukifukunyua fukunyua mara oh, mbona kama hivi ipo vile, mara oh, kama ndivyo mbona iko hivi... hapa vipi; naweza kupata dhambi?!

Nakumbuka enzi hizo tuko Madras Hidayat Kurasini; Ustaadhi alikuwa anatuambia ukitaka kufahamu balaa la moto wa jahanamu; ziba masikio yote mawili kwa viganja vya mikono usikie moto wa jahanamu unavyounguruma!!

Basi ukitoka hapo, hata ukikutana na braza wa Std VII lazima umpe shikamoo ili usije ukakumbana na lijimoto la jahanamu ambalo umelisikia "Live!"

Mungu anakuona Ustaadhi wangu, yaani bila huruma unavilisha matango pori vitoto vidogo!
Kwani Lut(a.s) na Nuh(a.s) hawakua wateule mbona walipata wanawake wabaya kuwahi kutokea
 
Stone upo vizuri mimi mwenyewe nishajiuliza hilo swali "hayo maneno aliyajuaje???
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] super natural powers
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] super natural powers
Sawa Mshana hizo super natural powers si walikuwa nazo wote wawili sasa iweje Adam ashindwe kuzitumia kugeuka upepo ili amfate mkewe Lilith alipoenda hatimae akabakia lonely mpaka Mungu alipomuonea huruma kumletea Eva kama maandishi yanavyosema, yani Adam alishindwa vipi kumtafuta mkewe thru super natural powers aliyokuwa nayo cause angempata tu kama angeamua kufanya hivyo au unasemaje Mshana..

Au kuna story behind hatuijui iliyosababisha Adam aka give up??
 
Sahihi kabisa lakini Kumbuka kuna utashi na maamuzi binafsi... Kwahiyo hakutaka KULAZIMISHA mahusiano na mke kiburi
 
Hizi biblia za siku hizi ni hatari aisee....
Ukichukua biblia 5 kama ya kiingereza, kiswahili, kiebrania, kiarabu na ya kijeruman kisha ulinganishe yaliyomo humo unaweza jikuta upo njia panda. Siku moja nilitenga muda kumsoma Paulo juu ya utume wake alivyopewa kutoka ktk Matendo ya Mtume biblia ya Kiswahili, nlipofika mbele nilibaki njia panda, na kujiuliza ipi kweli hapa mana nilikutana na kauli mbili zinazoelezea tukio moja lakin kauli hizo zimepingana zenyewe kwa zenyewe. Mwanzo nilihis labda ni typing error then nikachukua biblia zingne tano tofauti za kiswahili lakin mambo ni yale yale tu. Tuwe makin jaman dini sio ushabiki ila ni kuitafuta haki ilipo kisha kuifuata, unapoitafuta haki tenga ushabiki pemben kwanza.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Back
Top Bottom