Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Mkuu nimesoma hoja yako ila kuna kitu hujakielewa...... Dini karibu zote duniani zilianzia mashariki ya kati hivyo basi zinatambua historia ya kwanzia bustani ya edeni... Gharika la nuhu mpaka kuja kwa Yesu ila tofauti ni kwamba kila mtu ana namna ya kuielezea mfano ukienda iran utakutana na iran mythology inayocopy na kupaste kila kitu kuhusu story ya adam na bustani ya edeni ila tofauti watakwambia shetani alimtumia chura na wanaolinda bustani ile ni samaki.....

Kwa ufupi story ni moja ila UELEWA na MAJINA ndio tofauti..... Kma umefuatilia hata vitabu vya CS Lewis kuhusu Chronicles of Narnia utagundua anaongelea story nzima ya biblia ila katika uelewa wake..... Hata greek mythology inaongelea story nzima ya uumbaji hadi kuja kwa Yesu ila katika UELEWA na MTAZAMO wa kigiriki ndio maana story zote zinafanana tofauti ni majina location na MTAZAMO basi

But story ni moja and its real brother
 
Nafarijika sana ninapochokoza mada halafu ikapata uchambuzi wenye weledi na ulioshiba elimu kama huu... Hapa unajikuta hata mtoa mada unaongeza maarifa... Asante sana zitto junior
 
Unatakiwa uonyeshe panaposema Lilith brother, kama ni "Her" tu it could be anything, hata Jezebel!
Mkuu LILITH kwa tafsiri ya kiingereza ndio wametumia SCREECH OWL kma ambavyo mmetumia Jesus ilihali jina lake halisi ni ya'shuah

Ukitaka kutafiti linganisha original text ya kiebrania sio kiingereza

Mfano biblia ya kiebrania ayubu anamuita mnyama mkubwa kuliko wote ni Dinasour ila biblia ya kiswahili inatafsiri KIBOKO!!

Biblia ya kiebrania na english inadai wanyama waliokuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa waliiitwa LEVIATHANS ila biblia ya kiswahili inatafsiri kma MAMBA !!!

Hivyo ukitaka tafsiri halisi uwe unatumia hebrew dictionary ndio utagundua screech owl ni LILITH

ahsante
 
Isaya 34:14 Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu, na beberu anamwita mwenziwe; naam, babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.
Sijaona jina hilo mkuu
 
je dunia ilianzia mashariki ya kati?
 
Nafarijika sana ninapochokoza mada halafu ikapata uchambuzi wenye weledi na ulioshiba elimu kama huu... Hapa unajikuta hata mtoa mada unaongeza maarifa... Asante sana zitto junior
Pamoja sana mkuu mshana jr huwa nakubali sana mada zako za kufikirisha kma hizi ingawa wengine watabeza na kukuita nabii wa uongo cjui karani wa shetani ila walio tayari kuongeza maarifa wanajifunza mengi sana kupitia nyuzi zako

Hongera sana
 
Thanks for coming... Much much respect to you [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
afadhari mkuu leo umeileta hii mada hapa.
nilijalibu kuileta kama mala kadhaa hivi mode wamezifuta labda kwa kua sio mtaalam wa uandishi .


mimi kwa % fulani nakubaliana na hili,
ukitaka kwa kiasi ukubaliane na hii fuatilia matukio yanayoendana na huyo ibilis .
maana inasemekana baada ya mungu kutuma malaika watatu kwenda kumludisha lilith ,lilith akakataa na ndipo alipowatuma tena kwenda kuua uzao wake na lilith hivyohivyo akaapa kuua uzao wa adam.

hapo ndio vifo vya vitoto vichanga kufa na hasa chini ya umli wa miezi 3.

inasemekana huyu lilith nae aliumbwa kwa udongo kama adam ,baada ya lilith kumkimbia adam ndipo mungu alipo mlaza usingizi adam na kumtengeneza hawa.
ndio maana adam alipoamka toka usingizini ndipo akamuona hawa na kusema.
hakika huyu sasa ndio kati ya sehem ya mwili wangu.

mwanzo kwenye habari ya uumbaji mungu alisema na tumumbe mtu kwa mfano wetu ,
mungu akamuumba mtu mke na mtu me.

tukiwaza kwa umakini hapa hawa hakuumbwa ila ametengenezwa ila kuna alieumbwa pamoja na adam ,je,yukowapi huyu?
bibilia hapa imepindishwa kwa faida maalum.


KUTENGENEZA NI KUKALABATI KITU AMBACHO KIMESHA UMBWA ILA NA KINA HITLAFU FULANI.

KUUMBA NI KUTENGENEZA KITU KIPYA KABISA AMBACHO HAKIJAWAHI KUWEPO WALA KUZANIWA.
 
Isaya 34:14 Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu, na beberu anamwita mwenziwe; naam, babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.
Sijaona jina hilo mkuu
Tumia biblia ya kiingereza king james version toleo la kwanza kabisa huyo SCREECH OWL inatajwa kma LILITH ila kwa tafsiri ya sasa lilith imekuwa screech owl hivyo kwa kiswahili imekuwa BABEWATOTO
 
Pamoja sana mkuu mshana jr huwa nakubali sana mada zako za kufikirisha kma hizi ingawa wengine watabeza na kukuita nabii wa uongo cjui karani wa shetani ila walio tayari kuongeza maarifa wanajifunza mengi sana kupitia nyuzi zako

Hongera sana
Asante sana lakini hata hao wapondaji ni wafaidikaji wakuu ila basi tu si unajua binadamu baadhi yao lazima naye atake kuonyesha umahiri bila hata kuwa na maarifa ya kitu husika
 
 
Andiko ulilotoa
Haliendani na hiyo isaya 34: 14



Isaya 34
14 Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu, na beberu anamwita mwenziwe; naam, babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.
 
Dah naona umeamua kureply kwa hasira hadi umetufanya tukae na dictionary pembeni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwanini mkuu!
hebu iweke ile mistar ya mwanzo namna mungu alivyotamka kuhusu uumbaji wa mwanadamu kwa kutumia biblia mkuu.

MAANA NAAMINI KWA QIL AN IMEELEZA WAZI JUU YA UUMBAJI.TANGU ANATAMKA HADI KUMTIA PUMZI.
 
Andiko ulilotoa
Haliendani na hiyo isaya 34: 14



Isaya 34
14 Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa-mwitu, na beberu anamwita mwenziwe; naam, babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.
Hebu andika haya kwa kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…