Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Kumbe Lilith alimsaliti Adam[emoji28][emoji28][emoji28] kumbe kusalitiana ni jambo la kawaida aiseeeee
 
Kumbe Lilith alimsaliti Adam[emoji28][emoji28][emoji28] kumbe kusalitiana ni jambo la kawaida aiseeeee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
huyo lilith ndo ibilisi lenyewe kama sijakosea kwanini nasema hivyo :-
1-shetani ndiye aligoma kumsujudia adamu kule mbinguni wakati malaika walipoambiwa wampe heshima Adam kama mkuu wao..shetani kwa kuwa alikua ni jini aliyepaishwa mbinguni akaleta kiburi na kusema."mimi nmeumbwa na moto huyu kaumbwa na udongo tena unaonuka mi siwezi kumsujudia....
2-shetani baada ya kuwekwa Aden na shetani pia alikua huko bado hawajatupwa duniani.Shetani kwa aibu ndipo alipokimbilia mbali na aden akaishi katika majabali
3-shetani ana jinsia mbili.ya kike na kiume..hivyo alianzisha uzao wake hapa duniani.na kila akijifanya tendo moja enzi hizo alikua anataga mayai 72..sijui kama bado huwa anazaa tena mpaka saiv au kawaachia uzao wake ujiongeze wenyewe.

kwaiyo me naona hii story ya waizrael haina tofauti na ile ya biblia ya kumficha ficha shetani.elimu ya kumfahamu shetani ni finyu sana katika biblia.ukitaka kuwafahamu vizuri hawa viumbe mtafute shehe anayeijua dini yake vizur akupe habari zaid.naamini utanielewa zaid
2 and 3 umejuaje mkuu tunaomba utibitishe hata kwenye kitabu chochote tu
 
hujaeleweka
Naomba unukuu hiyo Mwanzo 1:27 na 2:22 na utuoneshe inavyo husiana na Lilith. Maana hata jina Mwanamke/Woman alipewa na Adam wala si Mungu.

Huwa na pata shida sana kuhusu shetani na nabii wake wa uongo na wafuasi wao. Kwa nini hawa wezi kusimama wenyewe wanapo watafuata wafuasi wao? Lazima wajinasibishe na mambo ya Mungu wa kweli?

Kwa mfano hata huyu mleta huu uzi hapa kanukuu kutoka Biblia hiyo Mwanzo 1:27 na 2.22 eti kwa mtazamo wake yeye inahusiania na Lilith wakati ni uongo wa wazi kabisa. Lakini hutaona wakishughulika na nukuu za mistari katika Biblia inayo wa weka wazi katika kueneza uongo wao.

Mfano ukisoma Ufunuo 19:20 na 20:10. Kume tajwa kuhusu huyu nabii wa uongo ambaye wafuasi wake ndio hawa wapotoshaji. Huyu nabii wa uongo kachukua siti ya mbele kabisa ya jehanamu na katupwa huko hata kabla ya bwana wake yaani shetani/ibilisi ila ni nadra sana kusikia akitajwa si wapinga Kristo wala Wasabato walio mshikia bango Papa. Na uliza kwa nini huyu nabii wa uongo hatajwi tajwi? Kwa nini lakini?

Kumbuka miaka ya huko nyuma hawa wafuasi wa huyu nabii wa uongo walitabiri kuhusu tarehe za kufika kwa mwisho wa dunia/kiama na zikawa ni uongo na walicho tabiri hakikutokea.
.tulia uandike vizuri
 
2 and 3 umejuaje mkuu tunaomba utibitishe hata kwenye kitabu chochote tu
tafuta shehe mkamilifu kielimu karibu yako akupe darasa vxur mkuu..au kwa ushahid zaid soma Quran na hadithi za mtume
 
Kwanza sio kweli kwamba Bible iko wazi kwa kila jambo, hivyo si sahihi ku rely kwa Bible persee ktk yote. Mfano, Cain alipokwenda nchi za mbali alioa huko, pili Jesus aliwalisha wanaume tu ktk ile sherehe.

Jambo moja, binafsi kwa akili zangu ndogo huwa naliamini, kwamba "kuna kitabu kikubwa sana cha miongozo, kiko spiritual" Bible ni ukurasa wake mmoja tu, Quran na vinginevyo eidha vilivyoandikwa au vinaishi ktk maisha ya viumbe tu, ni sehemu ya kurasa hizo chache sana. Mengi hayajafunuliwa.

Yesu mwenyewe, akiwa Ameshafikia ukingoni mwa kipindi chake cha kufundisha, alitoa kauli tata Sana,ya kwanza "Itafuteni kweli nayo itawaweka huru" na ya pili alisema, "watu wangu wanaangamia kwa kuyakosa maarifa" kama utasumbua kichwa utagundua kuna kweli nyingi tumeamrishwa kuzifumbua.

Mimi naamini, kuna lugha moja ya asili ambayo mwanadamu anaweza akaitumia kuwasiliana na nyoka, simba na ndege. Ipo ingawa haielezeki. Sura zetu ni zaidi ya uso.
Umejitahidi sana kwa uchambuzi
 
Inawezekana kabisa aliacha mwili ule wa kibinadamu pale alipoenda kufanya kolabo na kuzimu... Kumbuka hawa viumbe wa mwanzo walikuwa na super natural powers
Umeongea kitu cha ndani sana ili mtu akuelewe anapaswa kuwa na ufahamu/uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiroho hasa. Ni kweli mwanadamu katika wakati wake kabla ya dhambi hakuwa wa mchezo mchezo.

Baada ya dhambi mpaka mapepo wanamsumbua mtu bhana!
 
Back
Top Bottom