Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Wewe siyo wa kwanza kusema hakuna MUNGU, kabla yako wewe walikuwepo watu wenye nguvu, watu maarufu, wafalme waliotawala dunia kama akina Nebukadreza, ambao walisimama na kutangaza mbele ya maelfu ya watu kuwa hakuna MUNGU. Hivyo siyo ajabu leo hii wewe ukisema hakuna MUNGU sababu huna jipya.

Lakini fahamu kwamba huyu Nebukadreza alipouona "mkono" wa MUNGU, yeye mwenyewe alijirudi na kusema hakika yupo BWANA MUNGU na hakuna wa kufanana na YEYE! Hata wewe ipo siku utauona utukufu wa MUNGU na hapo ndipo utapiga magoti na kusujudu, lakini utakuwa umechelewa sana.
Mungu hayupo,thibitisha uwepo wake!,nebukadneza ni nani? Je unamiini alikuwako uyo mtu nipe ushahid wa kuwapo kwake au ni hekaya tu kama zilivyo nyingine katika bibilia.
 
Kitabu gani kimeandika hii kitu ya lol lilith??.. Na sisi tukipitie.....

Nachofahamu Adam alikua first man, na alikua first man sababu alikua mmoja wa Malaika MBINGUNI aliyeongoza mapambano Kati ya lucifer na Mungu kule MBINGUNI tunaiita (Pre-mortal) life... Award yake akapewa aje Duniani aanzishe mankind...... Sasa huyu lilith hata kwenye Pre-mortal life hakuwepo.

Tunajua waliokua kwenye Maisha kabla Dunia haijaumbwa ambao walikua mashuhuri kule kwa kazi zao. Baadhi Yao ni

JESUS CHRIST - JEHOVAH
MICHAEL - ADAM
GABRIEL - NOAH
LUCIFER - SATAN/DEVIL

Na wengine wengi.

Jina la kushoto ni Pre-mortal name, jina la kulia ni Mortal (earth) name.. Mfano YESU KRISTO kwenye pre earth alikua anaitwa JEHOVAH.

Sasa huyu lilith hatujui alikua Nani kule na aliletwa kwa mission gani Dunian maana Adam, eve na wengine walioanzisha Dunia kama viumbe wa kwanza walikua wana kazi ya kufanya.
Mkuu hii nimeisikia leo [emoji15] [emoji15] ..kwamba Adam ndio Michael na hao akina Noah[emoji15]...
Kitabu gani nami nikajionee pls
 
Mungu hayupo,thibitisha uwepo wake!,nebukadneza ni nani? Je unamiini alikuwako uyo mtu nipe ushahid wa kuwapo kwake au ni hekaya tu kama zilivyo nyingine katika bibilia.
Mungu ni pumzi ya uhai...ni roho ...hawezi kuwa na visible evidence
 
Mkuu thibitisha uwepo wake tu maana hata pumzi ukiitoa puani au mtomoni angalau mvumo wake husikika ili hali haionekani,sasa bac mbali na uwepo wa mungu nithibitishie hata sauti yake,..na hata sauti yake pia haipo huo ni upuuzi kuamini kitu kisichopo...kama yupo nithibitishie tu kwa hilo mkuu.
 
Mungu aliona hilo kwamba watu hawataamini tena uwepo wake; ndipo akaamua kuja duniani kwa nafsi ya mwana; yote yaliyotabiliwa na manabii wa kale yakatimia.

Hi ilikuwa kuwafanya watu waamini uwezo na uwepo wake; wengi waliamini hasa walioshuhudia ujio wa Kristo hadi kifo na kufufuka kwake.

Kuna wengine wanasubiri mesiya wao kwamba huyo siye aliyetabiliwa na manabii na wengine hawataki kabsa kuamini kwamba Mungu yupo.

Ila hao hao wanaamini uwepo wa kuzimu; sababu kuzimu ni sehemu unaweza kwenda na kurudi duniani; ila mbinguni hakuna aliyekwenda na akarudi sababu kiti cha enzi kinakaliwa na Mungu baba na Mungu mwana pamoja na malaika Gabliel .
 
Mkuu thibitisha uwepo wake tu maana hata pumzi ukiitoa puani au mtomoni angalau mvumo wake husikika ili hali haionekani,sasa bac mbali na uwepo wa mungu nithibitishie hata sauti yake,..na hata sauti yake pia haipo huo ni upuuzi kuamini kitu kisichopo...kama yupo nithibitishie tu kwa hilo mkuu.
Ishu za kiroho hazina ithibati za kimwili ...ni sawa na mtu kuthibitisha kuwa ana akili ila hawezi kuzionyesha
 
Sio kweli maana hakuna naefaham kama kuna uwepo wa mungu ama alikwisha ishi karibu na binadamu yeyote yule duniani hakuna mungu,ao waliandika wao kama wao pia hakuna cha ajabu ndani ya bibilia zaidi ya yale yaliyotukia hapo nyuma ndomana tunaita vitabu vya historia.
Ukikoswa kosa barabarani au kibwengo kimekutisha lazima utataja majina mawili tu bila kujijua - Mungu wangu.....ama mama yangu weee......

Unajua ni kipi kinafanya utaje majina hayo without yur knowledge??
 
Ishu za kiroho hazina ithibati za kimwili ...ni sawa na mtu kuthibitisha kuwa ana akili ila hawezi kuzionyesha
Kweli mkuu ni sawa na mtu mwenye majini; unaweza kusema watu wote hawa huwa ni wasanii tu sababu hakuna aliyewahi kuona sura ya jini na eti lina uwezo wa kumwingia mtu na huyo mtu linaanza kum-rule litakavyo..huu pia ni usanii tunaweza kusema pia.
 
Kitabu gani kimeandika hii kitu ya lol lilith??.. Na sisi tukipitie.....

Nachofahamu Adam alikua first man, na alikua first man sababu alikua mmoja wa Malaika MBINGUNI aliyeongoza mapambano Kati ya lucifer na Mungu kule MBINGUNI tunaiita (Pre-mortal) life... Award yake akapewa aje Duniani aanzishe mankind...... Sasa huyu lilith hata kwenye Pre-mortal life hakuwepo.

Tunajua waliokua kwenye Maisha kabla Dunia haijaumbwa ambao walikua mashuhuri kule kwa kazi zao. Baadhi Yao ni

JESUS CHRIST - JEHOVAH
MICHAEL - ADAM
GABRIEL - NOAH
LUCIFER - SATAN/DEVIL

Na wengine wengi.

Jina la kushoto ni Pre-mortal name, jina la kulia ni Mortal (earth) name.. Mfano YESU KRISTO kwenye pre earth alikua anaitwa JEHOVAH.

Sasa huyu lilith hatujui alikua Nani kule na aliletwa kwa mission gani Dunian maana Adam, eve na wengine walioanzisha Dunia kama viumbe wa kwanza walikua wana kazi ya kufanya.
Duh!ndo first time kuskia uliyoyaandika hapa mkuu,Jesus ndo pekee inafahamika alikuwepo toka mwanzo wa uumbaji(yani ni baba mwenyewe) hao kina Noah ndo naskia leo
 
Ukikoswa kosa barabarani au kibwengo kimekutisha lazima utataja majina mawili tu bila kujijua - Mungu wangu.....ama mama yangu weee......

Unajua ni kipi kinafanya utaje majina hayo without yur knowledge??
Mkuu sitothubutu na sikuwahi tamka ilo neno zaid ya mshangao tu,mkuu hakuna mungu na hatakuwako, mnasujudu kitu kisichokuwa na uwepo,thibitisha mungu yupo kimuonekano,kilichopo kinaonekana na kinagusika na kama hakigusiki basi kinatoa hata sauti,huyo mungu yupi asitaka hata kukohoa? thibitisha uwepo wa wake mkuu wacha maneno maneno.
 
Daah kazi kweli kweli

I nashangaza sana yaan Lucifer aliyemuasi Mungu na akasababisha Kina Adam na Hawa kula tu hakuhukumiwa kufa ameachwa tu anadunda ila aliyepewa tunda akala akaondolewa nguvu zote na mamlaka plus kufa
Kuna miiko pia kabla na baada ya uumbaji kukamilika; hata huyo Lucifer pamoja na nguvu alizonazo hapa duniani hana mamlaka ya kugusa roho yako bali ni mwili tu.

Weka kumbukumbu sana Lucifer hadundi bali bado yupo kifungoni kuzimu kwa kosa hilo. Waliokwenda na kurudi wameashuhudia akiwa kwenye minyororo hawezi ku move; ila directives zake zinaendelea hapa duniani ana mawakala wengi.
 
Ishu za kiroho hazina ithibati za kimwili ...ni sawa na mtu kuthibitisha kuwa ana akili ila hawezi kuzionyesha
Roho ni nini mkuu?,uwezi jaji akili kwa kusema aziwezi kuonekana,kama akili azina munekano usingeweza kuqoute hapa,hii ina maana ya kwamba akili yako inaonesha ni vipi unaelewa jambo na kuweza kulitatua kivitendo kama hivi na ukisha tatua hapo tunatokana na uficho mpka uthibitisho kuwa akili unazo na zimetenda hivyo kwa uelewa...

Mungu mnaemzungumzia hata vitendo haonyeshi richa ya kusingizia hapaswi kujionyesha wala kuonwa,huyo ayupo thibitisha kama yupo ndipo nikuelewe..
 
Mkuu sitothubutu na sikuwahi tamka ilo neno zaid ya mshangao tu,mkuu hakuna mungu na hatakuwako, mnasujudu kitu kisichokuwa na uwepo,thibitisha mungu yupo kimuonekano,kilichopo kinaonekana na kinagusika na kama hakigusiki basi kinatoa hata sauti,huyo mungu yupi asitaka hata kukohoa? thibitisha uwepo wa wake mkuu wacha maneno maneno.
Kama hivyo ndivyo basi visivyoonekana vyote ni usanii

Wote wanaojidai wanapandisha mapepo ni wasanii watupu.

Hakuna majini; kibwengo na hata hawa eti wanapaa na kudondoka usiku ni usanii mtupu

Usanii mkubwa sana kwa waganga wa kienyeji na watu wanaoshuhudia eti walipona baada ya hosp kushindwa kutibu ni usanii mkubwa.

Makanisa na misikiti yote ni usanii na ni jia ya kujipatia vipato tu.

Hakuna kitu kinaitwa roho mtakatifu ni usanii mkubwa.

Sasa kama unaafiki haya SEMA NDIYO ili uheasabiwe mshindi
 
Kama hivyo ndivyo basi visivyoonekana vyote ni usanii

Wote wanaojidai wanapandisha mapepo ni wasanii watupu.

Hakuna majini; kibwengo na hata hawa eti wanapaa na kudondoka usiku ni usanii mtupu

Usanii mkubwa sana kwa waganga wa kienyeji na watu wanaoshuhudia eti walipona baada ya hosp kushindwa kutibu ni usanii mkubwa.
Thibitisha uwepo wa mungu mkuu,mungu hayupo iyo ndo fact yangu weka yako.
 
Jibu hoja zangu kwanza ili tuende pamoja....
Tutaenda pamoja vipi wakati nakuthibitishia kuwa mungu hayupo wewe umeshindwa kunionesha owepo wake,nina jibu kamili kuwa hayupo ww inakuwaje ubishekitu chenye ukweli zaidi ya uongo wako unaodai yupo wakati huna uthibitisho thibitisha uwepo wake!
 
Roho ni nini mkuu?,uwezi jaji akili kwa kusema aziwezi kuonekana,kama akili azina munekano usingeweza kuqoute hapa,hii ina maana ya kwamba akili yako inaonesha ni vipi unaelewa jambo na kuweza kulitatua kivitendo kama hivi na ukisha tatua hapo tunatokana na uficho mpka uthibitisho kuwa akili unazo na zimetenda hivyo kwa uelewa...

Mungu mnaemzungumzia hata vitendo haonyeshi richa ya kusingizia hapaswi kujionyesha wala kuonwa,huyo ayupo thibitisha kama yupo ndipo nikuelewe..
Hebu twende kwa mtindo huu ili tuweze kufumua ufahamu wetu
Je una akili?
Je huna akili?
Akili ni ninini?
Ithibati za akili ni zipi?
Je akili zinaonekana au hazionekani?(weka kwenye umoja au wingi)
Hebu nijibu hapo kwanza...nijibu kwa weledi na ufahamu wako binafsi
 
Back
Top Bottom