Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Pengine mkuu kunaweza kukawa na ukweli ila habari za kuandikwa na binadamu huwa siziamini sana.
Kwa mfano ni kwanini huyo Lilith asiandikwe kwenye hiyo biblia?

Iwapo watu wengi walioasi na kufanya maovu (mfano adamu )mambo yao yaliweka wazi kwanini huyo Lilith afichwe? alikua na nini hasa hata kumtisha MUNGU?
Bado haliingii akilini hili ni sawa na lile swala eti Yesu alizaa mtoto mmoja na Maria Magdalena???? Noo noo siwezi kubaliana kabisa na hilo swala. Ukicheki kwanza Yesu mwenyewe sio kiumbe cha kawaida, ingekua ni kiumbe cha kawaida basi sperm za baba zingehusika kama ilivyo uzao mwingine duniani.

So watu wanaofananisha Yesu na mwanaume wa kawaida nawaona wana kasoro.
Hata hizi habari za Lilith bado siziamini.
 
Tutaenda pamoja vipi wakati nakuthibitishia kuwa mungu hayupo wewe umeshindwa kunionesha owepo wake,nina jibu kamili kuwa hayupo ww inakuwaje ubishekitu chenye ukweli zaidi ya uongo wako unaodai yupo wakati huna uthibitisho thibitisha uwepo wake!
Ukitaka kuamini yupo anza battle na yeye. Mfano mkufuru, mtukane, tesa watu wake, choma makanisa na vitabu vyake vitakatifu halafu tuone hali yako iitakuaje hapa duniani.

Hili ndilo tatizo linalotukumba binadamu wengi kwamba tunaamini baada ya kuona shoo moja au mbili tatu vinginevyo tunapinga.
Ndio maana MUNGU hujidhihirisha kwa namna mbali mbali... by the way pole kwa sababu una macho lakini huoni, una masikio lakini husikii sasa wewe utaamini siku moja i promise you.
 
Mkuu hii ni hadithi ya kufikirika tu, kwanza kumbuka Adamu hakuzaliwa bali aliumbwa kutoka kwenye udongo. Kama MUNGU alimuumba huyo Lilith kabla ya Eva, basi ingeandikwa kwenye Biblia wala isingefichwa.

Biblia inasema KWELI na wala haidanganyi. Kilichoandikwa kwenye Biblia ni kweli tupu. Shetani anapenda sana uongo na ndiyo maana amekuwa akija na hadithi nyingi za kutunga za uongo kama hii ya kwako ili awapotoshe Wanadamu wauamini uongo kuliko KWELI ya NENO la MUNGU.
ni kama bibilia ilivyo ''ongo'' pia.
 
ni kama bibilia ilivyo ''ongo'' pia.
Kwako wewe Biblia inaweza ikawa ni "uongo" lakini kwetu sisi tuliojaliwa kuijua KWELI, tunafahamu Biblia imejaa NENO la kweli la BWANA MUNGU wetu, Muumba wa mbingu, nchi, na viumbe vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
Duh!ndo first time kuskia uliyoyaandika hapa mkuu,Jesus ndo pekee inafahamika alikuwepo toka mwanzo wa uumbaji(yani ni baba mwenyewe) hao kina Noah ndo naskia leo
Jesus hawezi kuwa baba na mwana kwa wakati mmoja... Wale wawili ni separate entity.. Pitia kitabu cha BIBLIA kwenye tukio la kubatizwa YESU.. Utaona u tofauti wao.
Ila kwa kifupi...
Tunaona YESU anabatizwa kwenye mto yordani na yohanna mbatizaji... So ni kusema YESU alikua Dunian..
Alafu wakati huo huo sauti inatoka MBINGUNI ikisema "huyo ndo mwanangu mpendwa niliyependezwa nae" Kwa vyovyote huyu alikua MUNGU BABA, baba yake na YESU..

Pia tunaona Roho mtakatifu akishuka kwenye umbo la njiwa.. Kumbuka Roho mtakatifu sio njiwa ila ni roho isiyoonekana anaweza kuchukua umbo lolote.

Kwa tukio hili moja tu, tunaona dhahiri kwamba Baba na mwana ni watu wawili tofauti.
 
Kwako wewe Biblia inaweza ikawa ni "uongo" lakini kwetu sisi tuliojaliwa kuijua KWELI, tunafahamu Biblia imejaa NENO la kweli la BWANA MUNGU wetu, Muumba wa mbingu, nchi, na viumbe vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
hongereni hata hivyo.
 
Nilikuwa nina mwananamke anaitwa LILY,nilimpenda sana lakini alichokuja kunifanyia,mungu ndio anajua,naunga mkono hoja ya Mshana Jr kuwa huyo lilith ndio ibilisi shetani aliyefitinisha ndoa ya adam na eve....
 
Pengine mkuu kunaweza kukawa na ukweli ila habari za kuandikwa na binadamu huwa siziamini sana.
Kwa mfano ni kwanini huyo Lilith asiandikwe kwenye hiyo biblia?

Iwapo watu wengi walioasi na kufanya maovu (mfano adamu )mambo yao yaliweka wazi kwanini huyo Lilith afichwe? alikua na nini hasa hata kumtisha MUNGU?
Bado haliingii akilini hili ni sawa na lile swala eti Yesu alizaa mtoto mmoja na Maria Magdalena???? Noo noo siwezi kubaliana kabisa na hilo swala. Ukicheki kwanza Yesu mwenyewe sio kiumbe cha kawaida, ingekua ni kiumbe cha kawaida basi sperm za baba zingehusika kama ilivyo uzao mwingine duniani.

So watu wanaofananisha Yesu na mwanaume wa kawaida nawaona wana kasoro.
Hata hizi habari za Lilith bado siziamini.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66/72 vikiwa miongoni mwa zaidi ya vitabu 400+ vilivyokuwepo kwenye mkutano ule wa wakora wa dunia hii wa Nicea mwaka 322 AD,..sasa sijui kama unajua ni kwanini hivyo vingine waliviacha na hivyo walivyovichukua na kuviita ndio biblia walitumia vigezo gani na kwa maslahi yepi na ya nani?!!!
.....hebu tujifunze kutumia akili zetu kwa usahihi sio kunyonya tu kama dodoki kila tulichokaririshwa Sunday school
 
Mkuu wahusika huwa wanaongozwa na roho mtakatifu so naweza kukuambia sio shughuli ndogo kiasi hicho kama unavyodhani.
Hata tukiangalia agano jipya peke yake tunaona kuna mambo mengi Yesu mwenyewe aliyofanya kiasi kwamba hayakuandikwa yote na acha hayo waliyofanya watu wengine yalikua mengi mno.
So mkuu sidhani kama utaweza ulete utani na maandiko ya MUNGU ubaki salama hilo nakuhakikishia halita fanikiwa.
Hata tukisoma historia tunaona Ufaransa alianzisha uhuni wake wa kuchapisha biblia feki lakini mwisho wa siku alikaa... mpango wake haukufanikiwa.

Usichukulie haya mambo easy mkuu haya ni mambo matakatifu... tafuta wataalamu wa dini wakueleweshe zaidi. Na nina hakika hivyo vitabu vingine vilivyosalia vipo makumbusho huko roma na israeli. Kama utapenda nenda ukashuhudie...
Na the way unavyoichukulia biblia basi ingekua useless na isingekua na mchango wowote kwenye maisha ya binadamu.
Zipo stori nyingi sana mitandaoni humu za watu walileta mzaha na biblia na mwishowe wanajua walichokumbana nacho.

Hii ishu bado nami pia huwa nawaza sana kwa mfano baadhi ya madhehebu wana sababu zao za kuondoa baadhi ya vitabu kwa maono yao kwa kusema vinanakasoro. Mfano walutherani wana vitabu 66 na wakatoliki wana vitabu 73.
Mungu anasema lisiongezwe au kupunguzwa neno kwenye maandiko yake matakatifu so finally hawa wamepuuza maandiko kitakacho wakuta watajua wenyewe.

Ukitafuta mchakato wa hao waliokusanya hivyo vitabu na kuvipanga kama inavyoonekana kwenye biblia utajifunza zaidi kwanini waache vingine na waweke hivyo vilivyopo... Ni kweli bado kuna utata
 
Sawa mkuu
 
Labda Nikuulize mtoa mada,,,lengo lako kutaka mtu mwenye imani yake kamili kufikiri nje ya box ni nini?? Au unamtaka atoke kwenye box lake aingie kwenye box lako??? Eti lilithy!!
 
Back
Top Bottom