God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Pengine mkuu kunaweza kukawa na ukweli ila habari za kuandikwa na binadamu huwa siziamini sana.
Kwa mfano ni kwanini huyo Lilith asiandikwe kwenye hiyo biblia?
Iwapo watu wengi walioasi na kufanya maovu (mfano adamu )mambo yao yaliweka wazi kwanini huyo Lilith afichwe? alikua na nini hasa hata kumtisha MUNGU?
Bado haliingii akilini hili ni sawa na lile swala eti Yesu alizaa mtoto mmoja na Maria Magdalena???? Noo noo siwezi kubaliana kabisa na hilo swala. Ukicheki kwanza Yesu mwenyewe sio kiumbe cha kawaida, ingekua ni kiumbe cha kawaida basi sperm za baba zingehusika kama ilivyo uzao mwingine duniani.
So watu wanaofananisha Yesu na mwanaume wa kawaida nawaona wana kasoro.
Hata hizi habari za Lilith bado siziamini.