Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

1 Wakorintho 15:45
[45]Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.
Mkuu aya zote ulizonukuu hakuna hata aya moja iliyomtaja adamu ndio mtu wa kwanza kuumbwa, hii aya yako ya mwisho ni muendelezo wa maelezo ya jinsi alivyoumbwa binadamu.Nataka unipe andiko ambalo limemtaja Adam ndio mtu wa kwanza kuumbwa moja kwa moja.
 
Lakini pia naomba unijibu maswali yafuatayo
1. kama kweli adam alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa je
@ waafrika,wachina,wajapani na wazungu tulipatikanaje?
.b, kuna kisa cha watoto wa adam ambao mmoja alimuu ndugue na akambilia nchi ya nodi na akaoa huko
Swali kama Adam ndio alikuwa mtu wa kwanza hii nchi ya nodi ilipatikanaje?
 
Bila shaka wewe ni mkristo, sasa naomba unipatie ushahidi kutoka kwenye bible ya kwamba adamu ni mtu wa kwanza
Kwa kufanya hivyo utakuwa umenisadia sana mkuu

Mwanzo 5:1-2, Mwanzo 1:27, Mwanzo 2:7

Mimi sio mkristo
 
Lakini pia naomba unijibu maswali yafuatayo
1. kama kweli adam alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa je
@ waafrika,wachina,wajapani na wazungu tulipatikanaje?
.b, kuna kisa cha watoto wa adam ambao mmoja alimuu ndugue na akambilia nchi ya nodi na akaoa huko
Swali kama Adam ndio alikuwa mtu wa kwanza hii nchi ya nodi ilipatikanaje?

"Hakika wengi wanapotea kwa (kufuata) matamanio (hao) bila ya kuwa na.ujuzi" (Quran 6:119)

"Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye hawaamini" (Quran 2:5)

"Mfano wa wale walio kufuru ni kama mfano wa (Mchunga) anayempigia kelele (mnyama wake) hasikii ila wito na sauti. Ni viziwi, mabubu, vipofu hivyo hawaelewi" (Quran 2:171)

"Hakika vinyama viovu kabisa mbele ya Mwenyezi Mungu ni vile viziwi na mabubu visivo tumia akili zao" (Quran 8:23)

Kaa chini usome mbele ya mwalimu, elimu haipatikani mtandaon.
 
Sasa mkuu, mbona hujajibu maswali yangu? naomba majibu ya hayo maswali yngu tafadhali
 
Mshana Jr
1.Malaika wana jinsia? Mfano samaeli alikuwa ni malaika mwanaume??
2.LILITH MWANAMKE ALIPOMDANGANYA HAWA AKIVIKA SURA YA NYOKA,,ALIGEUKA KUWA MWANAUME?
3.JE IBILIS NDIYO LILITHI?
4.SHETANI NA LILITH NAN ANA MTAEALA MWENZAKE
NASUBIRIA UFAFANUZI...
 
Mkuu aya zote ulizonukuu hakuna hata aya moja iliyomtaja adamu ndio mtu wa kwanza kuumbwa, hii aya yako ya mwisho ni muendelezo wa maelezo ya jinsi alivyoumbwa binadamu.Nataka unipe andiko ambalo limemtaja Adam ndio mtu wa kwanza kuumbwa moja kwa moja.
Wakorintho 15:45
[45]Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha
.........................................
Mkuu mbona hili andiko tayari linaonyesha kuwa Adam ni MTU wa kwanza? Si ndio ulivyotaka?
Na hili andiko lipo kwenye biblia Kama ulivyotaka uthitbitishiwe .
Mwanzo chapter one na two zinaonyesha uumbaji wa ulimwengu na vilivyopo akiwemo Adam na mkewe Hawa. Bahati mbaya chapter one na two haikusema moja kwa moja kuwa Adam ni MTU wa kwanza.
Lakini hiyo wakirinto 15:45 imesema wazi kuwa Adam ni MTU wa kwanza.
Sielewi unataka iandikweje ili uone kweli Adam ni mtu wa kwanza.

Sent using LEAGOO M12
 
1.Hiyo ishu ya rangi mbalimbali za wanadamu ni kutokana na material ya udongo uliotumika kumuumba Adam. Udongo ulikusanywa kutoka Kona nne za dunia na ulikuwa una rangi mbalimbali. Kasome LEGEND OF THE JEWS CHAPTER FOUR;THE CREATION OF MAN.
Lakini pia kitabu Cha ANTIQUITIES OF JEWS ambacho kiliandikwa na FLAVIUS JOSEPHUS kinasema Adam aliumbwa from the red Earth ambapo ukiunganisha dots hapo inaona kwamba udongo uliotumika ulikuwa dominated na red colour. Rangi nyingine zilimezwa na red colour.
Kwa hiyo sio ajabu kuona tupo wa rangi mbalimbali.

2. Adamu hakuzaa Cain na Abel peke yake. Alikuwa na watoto wengi wakike na wa kiume. Na vijukuu na vitukuu vingi kabla hajafa. Kumbuka aliishi miaka 930. Na hata wanawe waliishi muda mrefu. Pia kipindi ambacho Abeli anauawa tayari Adam alikuwa Ana watoto wengine ingawa biblia haiwaongelei. Cain alimwoa dada yake then akakimbilia nchi ya Nodi.
Sasa unauliza nchi ya Nodi ilipatikanaje? Cain ndio mwanzilishi wa Hilo eneo na alijenga mji mkubwa huko na akazaa watoto wengi tu.
Neno nchi limetumika Kama eneo ambalo watu wanaweza kuanzisha makazi mda wowote. Lakini pia biblia haisemi kuwa Cain alikuta watu kwenye hiyo nchi ya Nodi.
Lakini pia naomba unijibu maswali yafuatayo
1. kama kweli adam alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa je
@ waafrika,wachina,wajapani na wazungu tulipatikanaje?
.b, kuna kisa cha watoto wa adam ambao mmoja alimuu ndugue na akambilia nchi ya nodi na akaoa huko
Swali kama Adam ndio alikuwa mtu wa kwanza hii nchi ya nodi ilipatikanaje?

Sent using LEAGOO M12
 
Mshana Jr
1.Malaika wana jinsia? Mfano samaeli alikuwa ni malaika mwanaume??
2.LILITH MWANAMKE ALIPOMDANGANYA HAWA AKIVIKA SURA YA NYOKA,,ALIGEUKA KUWA MWANAUME?
3.JE IBILIS NDIYO LILITHI?
4.SHETANI NA LILITH NAN ANA MTAEALA MWENZAKE
NASUBIRIA UFAFANUZI...
Malaika sio mwili ni roho... Hawa ni viumbe roho hivyo wanaweza kuvaa umbo lolote.. Nadhani jibu hili linaweza kujibu mengine yote

Jr[emoji769]
 
HADI HAPO BASI YAWEZEKANA TUSHAONANA NA MALAKMA NA IBIKIS KATIKA UMBO LOLOTE ILA HATUKUTAMBUA
 
Sasa mkuu, mbona hujajibu maswali yangu? naomba majibu ya hayo maswali yngu tafadhali

Ulishajibiwa, ila unachokitafuta si unachojibiwa. Unatamani majibu yaje kama utakavyo, na yanapokuja tofauti unaanzisha hoja zingine zisizokuwa na msingi ili mradi maswali yaonekane ni magumu nawe uonekane upo ktk usawa kumbe upotovu. Hiyo ni elimu maalumu, hivyo kaa chini usome ili kupunguza maswali na hoja zisizokuwa na kichwa wala.miguu. Wewe bado ni mjinga ktk hili, na ujinga wako hatuwez kuuondoa hapa Jamiiforums isipokuwa inatakiwa ukae chini usome kuanzia awali, msingi, upili na kuendelea. Hata elimu ya awali ktk masuala ya dini huna, Je huku juu ndo utaelewa kweli? Hakuna ubishi, hutaelewa zaid ya kuwa confused tu na kuuliza mawali ya kitoto yenye hoja dhaifu zinazoonesha wazi kuwa hujui.lolote ila UBISHI TU.

Nitauliza swali rahis ambalo huwez kulijibu linaloashiria hukuja hapa kuelewa isipokuwa kupinga hoja na kuleta ubishi:

Tumekueleza tofauti kati ya mtu na mwanaadamu (binadamu), nabii na.mtume ambapo maneno hayo mwanzon ulikuwa huyajui yana maana gani isipokuwa ulikuwa unayatamka ndivyo sivyo ktk matumiz, lakin pia tumekueleza Adamu ndio mtu wa kwanza kabisa kuumbwa lakin bado hukubali. Kupinga kwako kunatoa tafsiri kuwa mtu wa kwanza kuumbwa unamjua. Sasa, kama Adamu si mtu wa kwanza kuumbwa, je mtu wa kwanza ni yupi? Ukishindwa kumtaja kwa jina lake, kwanini unabisha na hutaki kuelewa kuwa Adamu ndo wakwanza kuumbwa ikiwa mtu wakwanza kwa ufahamu wako humjui? Unachotaka tukueleze ni kipi ili utuelewe? Yan wewe ni mjinga na hujui kitu, lakin bado wanakuja wanaojua na wamekueleza mtu wa kwanza ni yupi lakin wewe unapinga tu, sasa kama si Adamu, Je mtu wa kwanza ni yupi?

Ukishindwa kujibu swali hapo juu, yakwako hayawez kujibiwa kwa maana utakuwa upo.kiubishi hivyo HATA TUKUELEZE VIPI HUTAWEZA KUELEWA DAIMA. Na hizi ndio dalili za walio kufuru, ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye hawawez kuamini.
 
[emoji106][emoji106][emoji106]Bora aisee umemfungukia.
Na Mimi nasubiri majibu.

Mkuu pamoja na kwamba unaniita mjinga lakini hakuna hata mmoja ambaye amejibu maswali yangu.wengi mnanijibu kinadharia nipo tayari kukubaliana nanyi kuwa Adam ndio mtu wa kwanza kama utafanya yafuatayo

1. Kupitia Quran uje na aya iliyomtaja Adam kuwa ndio mtu wa kwanza moja kwa moja.
2.kupitia bible uje na aya inayomtaja adam moja kwa moja kuwa adam ndio mtu wa kwanza kuumbwa
 
1.Hiyo ishu ya rangi mbalimbali za wanadamu ni kutokana na material ya udongo uliotumika kumuumba Adam. Udongo ulikusanywa kutoka Kona nne za dunia na ulikuwa una rangi mbalimbali. Kasome LEGEND OF THE JEWS CHAPTER FOUR;THE CREATION OF MAN.
Lakini pia kitabu Cha ANTIQUITIES OF JEWS ambacho kiliandikwa na FLAVIUS JOSEPHUS kinasema Adam aliumbwa from the red Earth ambapo ukiunganisha dots hapo inaona kwamba udongo uliotumika ulikuwa dominated na red colour. Rangi nyingine zilimezwa na red colour.
Kwa hiyo sio ajabu kuona tupo wa rangi mbalimbali.

2. Adamu hakuzaa Cain na Abel peke yake. Alikuwa na watoto wengi wakike na wa kiume. Na vijukuu na vitukuu vingi kabla hajafa. Kumbuka aliishi miaka 930. Na hata wanawe waliishi muda mrefu. Pia kipindi ambacho Abeli anauawa tayari Adam alikuwa Ana watoto wengine ingawa biblia haiwaongelei. Cain alimwoa dada yake then akakimbilia nchi ya Nodi.
Sasa unauliza nchi ya Nodi ilipatikanaje? Cain ndio mwanzilishi wa Hilo eneo na alijenga mji mkubwa huko na akazaa watoto wengi tu.
Neno nchi limetumika Kama eneo ambalo watu wanaweza kuanzisha makazi mda wowote. Lakini pia biblia haisemi kuwa Cain alikuta watu kwenye hiyo nchi ya Nodi.

Sent using LEAGOO M12
Duuuu mkuu mbona umekuwa muongo kiasi hiki?
 
soma kitabu cha mwanzo 1:26-27 mungu aliumba mwanamume na mwanamke. mwanzo 2:1-4 utaona mungu keshamaliza na kazi ya uumbaji kukamilika. mwanzo 2:5 mimea na miti inashindwa kuchipua kwa kukosa mtu wa kuilima na kunyweshea.
ndipo mungu anakuja kumuumba adam kwa kazi hiyo baadae anamletea eva kumuondolea upweke. swali la kujiuliza wale watu walioumbwa mwanzo na kazi ya uumbaji kukamilika ni kina nani? na ukisoma vizuri utaona hawakufinyangwa kwa udongo kama ilivyo kwa adam, wao ndio wenye mfano na sura ya mungu, wao ndio walipewa umiliki wa dunia na vilivyomo, na sisi binadamu si kizazi chao sisi ni kizazi cha adamu ambae aliletwa kama mkulima na mtunza bustani.
Uumbaji wa binadamu umegawanyika katika sehemu mbili, roho na mwili.
Uumbaji wa mwanzo 1:26-27 Mungu aliumba mtu roho, hakukuwa na mwili. Uumbaji wa mwanzo 2 ni uumbaji wa mwili sasa, ambapo mungu aliumba mwili alafu akapulizia roho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA mujibu wa Kitabu cha ZUGRIL GALAYO (Nguvu Iliyodunu Katika Jadi)

Mtu wa Kwanza Alitambulika kwa Majina yaliyotokana na mazingira na jambo lililomuhusu katika kuishi kwake.

1. FUMBA KASA - lilipatikana ktk kipindi cha kukusanywa kwake.
2. SABKORODAMS - lilipatikan alivyoanza kula
3. MID ERA - Alivyoanza kuvaa nguo (kujisitiri)
4. MUNDU - Alivyoanza kuwa na Lugha
5. ZUNDRAGA - Alivyoanza kufanya matembezi
6.MASON KWATA - Alivyopata jinsia ya pili iliyotokana na yeye
7. ABE EI - alipoanza kuzaa na kulea
8. ESTONE - Alipoanza ujenzi wa vitu
GOWESHAN - Alipanza kuweka hifadhi kwa ajili ya familia yake
9. MTALAY - wakati anaacha wosia kwa watoo wake.

ALIUMBWAJE SASA!!?
Mtu huyu aliumbwa kwa mkusanyiko wa vumbi kutoka mabara saba lillokusanyika katika eneo la SHANKOMBOLUZU Ambalo leo hi linatambulika kama URUSI.

Aliumbwa akiwa na urefu wa Km Nne (4) upana wa kifua Mita mia tatu akiwa na rangi nyeusi na mwenye asili ya Nywele Ngumu zisimamazo kwa umbile lake.

NAWAOMBENI MKITAFUTE HIKI KITABU SANA SANA SANA MAANA NDANI YAKE KINAMUELEEZEA HADI ADAM ALIVYOKUJA KUPATIKANA NA HAKIMUELEEZEI KAMA ALIKUA MTU WA KWANZA KUUMBWA.

Nilibahatika kukipata na kwa kuwa sikuwa na muda wakuweza kutulia na kukisoma kutokana na uharaka wa aliyekuwa nacho, nilimuomba japo nikinakili ingawa pia sikuweza kukimaliza chote kukichapa kwa uharaka wa mwenye nacho.

Kina mengi mengi yakuyatafakari, na ni kitabu cha asili ya Muafrika na kina hadi namba na herufi za kibantu achana na hizi alfabeti tuzijuazo, humo ndio namba zinaandikwa mosi mpaka kenda nk, namna makabila na nchi mbalimbali duniani zilivyoanza....

nilijaribu kushare na watu wengi hawakua wakikifaham nikaona nisije kuonekana mimi ndio mtunzi ila nilipomsikia Mwanamuziki akijiita Ibrozama nikajua ni kitabu kijulikancho kwa wengine maana jina hilo linapatikana ndani ya kitabu hiko na lina historia yake.

sipo vizuri kukieleezea sana ila nitapenda kukishare na Mshana Jr, then atatusaidia kama kina lolote la kujifunza au kukipuuza japo kina typing error kidogo kutokana na kukichapa mwenyewe na mpaka sasa sijapata muda wakutulia kukiedit coz hard copy yake bado naendelea kuhangaika niipate tena.

Mshana Jr ukiridhia nitakutumia PM!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pamoja na kwamba unaniita mjinga lakini hakuna hata mmoja ambaye amejibu maswali yangu.wengi mnanijibu kinadharia nipo tayari kukubaliana nanyi kuwa Adam ndio mtu wa kwanza kama utafanya yafuatayo

1. Kupitia Quran uje na aya iliyomtaja Adam kuwa ndio mtu wa kwanza moja kwa moja.
2.kupitia bible uje na aya inayomtaja adam moja kwa moja kuwa adam ndio mtu wa kwanza kuumbwa
Boss umeitwa mjinga sababu swali ulilouliza limejibiwa na maandiko ukapewa ila ukayakataa kuwa siyo majibu.

Sasa swali, kama jibu la mwanzo na jibu la wakorintho kwako si majibu sahihi, majibu sahihi ni yapi?

Kama huna majibu sahihi umehitimisha vipi kuwa majibu ya mwanzo na wakorintho si sahihi?

Huwezi mwambia mtu swali lako umekosea bila kuwa na majibu ya hilo swali au na idea kuwa jibu la hilo swali linafananaje.
 
KWA mujibu wa Kitabu cha ZUGRIL GALAYO (Nguvu Iliyodunu Katika Jadi)

Mtu wa Kwanza Alitambulika kwa Majina yaliyotokana na mazingira na jambo lililomuhusu katika kuishi kwake.

1. FUMBA KASA - lilipatikana ktk kipindi cha kukusanywa kwake.
2. SABKORODAMS - lilipatikan alivyoanza kula
3. MID ERA - Alivyoanza kuvaa nguo (kujisitiri)
4. MUNDU - Alivyoanza kuwa na Lugha
5. ZUNDRAGA - Alivyoanza kufanya matembezi
6.MASON KWATA - Alivyopata jinsia ya pili iliyotokana na yeye
7. ABE EI - alipoanza kuzaa na kulea
8. ESTONE - Alipoanza ujenzi wa vitu
GOWESHAN - Alipanza kuweka hifadhi kwa ajili ya familia yake
9. MTALAY - wakati anaacha wosia kwa watoo wake.

ALIUMBWAJE SASA!!?
Mtu huyu aliumbwa kwa mkusanyiko wa vumbi kutoka mabara saba lillokusanyika katika eneo la SHANKOMBOLUZU Ambalo leo hi linatambulika kama URUSI.

Aliumbwa akiwa na urefu wa Km Nne (4) upana wa kifua Mita mia tatu akiwa na rangi nyeusi na mwenye asili ya Nywele Ngumu zisimamazo kwa umbile lake.

NAWAOMBENI MKITAFUTE HIKI KITABU SANA SANA SANA MAANA NDANI YAKE KINAMUELEEZEA HADI ADAM ALIVYOKUJA KUPATIKANA NA HAKIMUELEEZEI KAMA ALIKUA MTU WA KWANZA KUUMBWA.

Nilibahatika kukipata na kwa kuwa sikuwa na muda wakuweza kutulia na kukisoma kutokana na uharaka wa aliyekuwa nacho, nilimuomba japo nikinakili ingawa pia sikuweza kukimaliza chote kukichapa kwa uharaka wa mwenye nacho.

Kina mengi mengi yakuyatafakari, na ni kitabu cha asili ya Muafrika na kina hadi namba na herufi za kibantu achana na hizi alfabeti tuzijuazo, humo ndio namba zinaandikwa mosi mpaka kenda nk, namna makabila na nchi mbalimbali duniani zilivyoanza....

nilijaribu kushare na watu wengi hawakua wakikifaham nikaona nisije kuonekana mimi ndio mtunzi ila nilipomsikia Mwanamuziki akijiita Ibrozama nikajua ni kitabu kijulikancho kwa wengine maana jina hilo linapatikana ndani ya kitabu hiko na lina historia yake.

sipo vizuri kukieleezea sana ila nitapenda kukishare na Mshana Jr, then atatusaidia kama kina lolote la kujifunza au kukipuuza japo kina typing error kidogo kutokana na kukichapa mwenyewe na mpaka sasa sijapata muda wakutulia kukiedit coz hard copy yake bado naendelea kuhangaika niipate tena.

Mshana Jr ukiridhia nitakutumia PM!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitulie brother nitakurudia tafadhali... Kuna maarifa mapya hapa... Naomba uje PM tutete kidogo tafadhali

Jr[emoji769]
 
Boss umeitwa mjinga sababu swali ulilouliza limejibiwa na maandiko ukapewa ila ukayakataa kuwa siyo majibu.

Sasa swali, kama jibu la mwanzo na jibu la wakorintho kwako si majibu sahihi, majibu sahihi ni yapi?

Kama huna majibu sahihi umehitimisha vipi kuwa majibu ya mwanzo na wakorintho si sahihi?

Huwezi mwambia mtu swali lako umekosea bila kuwa na majibu ya hilo swali au na idea kuwa jibu la hilo swali linafananaje.
Ingekuwa busara tu kama ungenipatia majibu ya maswali niliyouliza hapo juu
 
Majibu umepewa. Nmeyaona yapo sawa pamoja na tafsiri zake kuwa na changamoto, ndo maana nikatoa maoni.

Anyways, upo sawa Adam hakuwa mtu wa kwanza na waliokujibu hawajui. Ww unafahamu.
 
Back
Top Bottom