Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Ni ugaidi.

Wanatakiwa wasakwe wawe eliminated kimya kimya.

Ninachosema post namba moja, ugaidi ni kuwajaza watu hofu, ndiyo maana halisi ya neno "terror". "terrorist" ni mjaza hofu kwa kufanya matukio ya kutisha.

Na ili awajaze hofu ni hapo hayo matukio yanapotangazwa na kupewa publicity. Nasema matukio yao yasiandikwe. Watu wapige kimya na wawashughulikie kimya kimya.
Faiza unaonekana una Elimu ya Ugaudi hence gaidi
 
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).

Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.

Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.

Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.

Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.

Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.

Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.

Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.

Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".

Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.

Kwanini? Mie sijuwi.
Sikujua uko makini kiasi hiki. Naanza kubadili msimamo juu yako. Leo ndio umeoenyesha mfanano wa mawazo yako na AVITA yako. Kama mtulivu hivi!
 
Duniani neno gaidi limefanywa kwa makusudi kabisa kuwa ni Waislam, lakini leo hii dunia nzima inaelewa kuwa ugaidi unafanywa, unaratibiwa na unaenziwa na wasio Waislam labda kwa kuwatumia Waislam.

Tofautisha Waislam na Uislam.

Researches zote za kisomi duniani zinaonesha kuwa 90% ya ugaidi duniani haufanywi na Waislam. Sasa jiulize nani yupo nyuma ya ugaidi? Wala huna haja ya kuwa "genius" kuupata ukweli ikiwa unautaka.
kweli kabisa
 
S
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).

Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.

Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.

Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.

Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.

Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.

Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.

Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.

Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".

Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.

Kwanini? Mie sijuwi.
Sio kutatuwa ni kutatua
 
Huu ni ugaidi wa aina yake, ugaidi unaokuwa sponsored na government!!!! Pathetic
Mkuu "state sponsored terrorism"sio jambo geni.Marekani ndio vinara wa kazi hii.May be you won't beleive it,but the 9/11 bombing was state sponsored.Kwa Tanzania frankly sina hakika,ila in Nigeria,Colombia,na nchi za Ulaya wanafanya hivyo,of course kwa malengo yale yale kama ya Marekani.Nia ni ile ile kuua na kuleta hofu.Lakini agenda pana zikiwa ni kuua of course kama nilivyo kwisha kusema, lakini pia kuiba na kuharibu.Labda utauliza kwa nini watake kuua na kuharibu,ni somo pana sana.Na pia kwa nini hofu?Mtu mwenye hofu ana loose personal confidence, kwa hiyo ni rahisi ku-manipulate na kumtawala.Zipo sababu za ndani zaidi kama production of "terror related hormones," ambazo ni chakula cha mapepo!Unbelievable, isn't it,but that is true.These world wide wars and terror activities are somehow related to that.Unajua,watu hawa wanamtumikia Shetani,kwa hiyo they do that for the benefit of their master,the Devil.The Devil doesn't like you and me,and if you think he does,you are cheating yourself.
 
Mkuu "state sponsored terrorism"sio jambo geni.Marekani ndio vinara wa kazi hii.May be you won't beleive it,but the 9/11 was state sponsored.Kwa Tanzania frankly sina hakika,ila in Nigeria,Colombia,na nchi za Ulaya wanafanya hivyo,of course kwa malengo yale yale kama ya Marekani.Nia ni ile ile kuua na kuleta hofu.Lakini agenda pana zikiwa ni kuua of course kama nilivyo kwisha kusema, lakini pia kuiba na kuharibu.Labda utauliza kwa nini watake kuua na kuharibu,ni somo pana sana.Na pia kwa nini hofu?Mtu mwenye hofu ana loose personal confidence, kwa hiyo ni rahisi ku-manipulate na kumtawala.Zipo sababu za ndani zaidi kama production of "terror related hormones," ambazo ni chakula cha mapepo!Unbelievable, isn't it,but that is true.These world wide wars and terror activities are somehow related to that.Unajua,watu hawa wanamtumikia Shetani,kwa hiyo they do that for the benefit of their master,the Devil.The Devil doesn't like you and me,if you think he does,you are cheating yourself.
Boss HV area 51 wamarekani watatuonesha lini alians wanaotupa latest technology[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] broo inaonesha mzee wa conspiracy theory sana ila big up
 
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).

Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.

Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.

Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.

Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.

Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.

Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.

Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.

Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".

Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.

Kwanini? Mie sijuwi.
Ngoja auliwe mwanao tuone kama utakaa kimya.
 
Boss HV area 51 wamarekani watatuonesha lini alians wanaotupa latest technology[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] broo inaonesha mzee wa conspiracy theory sana ila big up
Mkuu ninachokiandika sio conspiracy theory, ni ukweli.Wataalam wa mabomu wali-prove bila kuacha wasi wasi wowote kwamba 9/11 bombing was an inside job.
Hata mengine kuhusu "effects za woga" na "why terrorism" ni mambo ya kusoma tu mkuu,yapo!

Na kuhusu tarehe ya Wamarekani kukubali ushirikiano kati ya wanadamu na Aliens in technology development wakiongozwa na Marekani wenyewe itakuwa lini,sina hakika kwa sasa,ila initially Obama alikuwa atangaze 2008.Hata hivyo alishauriwa kuacha kwanza mpaka hapo baadae kwa kuwa waliona wanadamu watastuka sana,kwa kuwa bado wako "spiritually alert."
 
FaizaFoxy waulize Ccm wenzio hivi kwa nini mauaji ya Kibiti wanaotafutwa na polisi na kukamatwa ni Masheikh na maimamu wetu wameona Mashehe wa uamsho hawatoshi?
 
Mleta thread anaweza kuwa miongoni mwa hao magaidi ukiichunguza vizuri hii thread yake.Huyu mtu ni hatari sana, anataka tukae kimya ili wawe wanaua bila kupigiwa kelele,aaaaaaaaaghrrrrrrrrr.
 
I wish cku 1 mke wa day mondi atekwe theni tushuhudie kama jamaa atakaa kimya.
 
Sikujua uko makini kiasi hiki. Naanza kubadili msimamo juu yako. Leo ndio umeoenyesha mfanano wa mawazo yako na AVITA yako. Kama mtulivu hivi!

Watu wachache sana wanmuelewa FaizaFoxy yeye ana misimamo yake na kile anachoamini

Huwa wanbishana pale wanapotaka aamini yale wanayoamini wao. Ila ukitaka nondo tu anazo huyu mama
 
Back
Top Bottom