Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Huu ni ugaidi wa aina yake, ugaidi unaokuwa sponsored na government!!!! Pathetic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ugaidi wa aina yake, ugaidi unaokuwa sponsored na government!!!! Pathetic
Kwahiyo tuseme Bashite ni gaidi, au Chama chake?
Duh...bandiko liko relevant kipindi hiki cha awamu ya 6. Mleta bandiko FaizaFoxy anasemaje?Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Ajuza kaingia mitini ![IMG alt="FaizaFoxy"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/43/43551.jpg?1421482051
[HEADING=2][URL='https://www.jamiiforums.com/threads/ugaidi-tanzania-unafanikiwa.1234360/'][I]Ugaidi[/I] [I]Tanzania[/I] [I]Unafanikiwa[/I][/URL][/HEADING]
Kinachoendelea sasa hivi [I]Tanzania[/I] ni [I]ugaidi[/I] (terrorism). Lengo la [I]ugaidi[/I] ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu. Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa..[/IMG].
FaizaFoxy mbona kimya? Mbio za kupokezana hizi, je mtenda kazidi kunogewa au mtenda katendewa? Mbio ni kupokezana je FaizaFoxy uko wapi?
Ajuza anatafutwa kwa udi na uvumba hadi apatikane...let her run but she cant hide!Ajuza kaingia mitini !
Umeandika pumbatuKinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).