kilalile
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 1,594
- 2,207
Anyway, ngoja nikushirikishe mawazo ya magaidi wa kwenye movie kadhaa nilizocheki. Jamaa huwa hawamfuati raia kumueleza matakwa yao. Wao hutuma video kupitia network ya siri kwenda kwa rais na kumueleza matakwa yao. Rais anaweza kukubali au kukataa, akikataa ndio mtiti unachochewa zaidi. Akikubali fresh.Wewe ndo hujui, huo si ugaidi. Ugaidi una lengo la kushinikiza serikali/taasisi flani kufanya au kuwapa wanachohitaji. Sasa hawa wa tz wanahitaji nini maana hawajajitokeza.
Sasa turudi bongo, ingekuwa wewe ndio rais na hitaji la majamaa ni mkoa wa pwani uwe nchi inayojitegemea yaani JAMHURI YA WATU WA PWANI, ungekubali? Hayo ndio mahitaji ukicheki movie jamaa huwa yanatolewa