Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Gaidi namba moja hapa nchini ni CCM.
Nikweli kabisa boss ,;ususani kwa haya matukio yanayoendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaidi namba moja hapa nchini ni CCM.
are you playing a role of a mole? poa sisi tunajiachia, tumechokaKuna kitu kinaitwa moles kwenye intelijensia.
Acha blabla hakuna cha ugaid hapa nchini. Haya yanayoendelea ni sarakasi za kisiasa tu, na msizushe kutuharibia nchi yetu.Kuna kila uwezekano kuna mbinu zinatumika ili ionekane hivyo.
Dada FaizaFoxy, kama magaidi wanahitaji kukaa midomoni kwa watu halafu tukanyamaza wakafanya tukio kubwa zaidi ili wapate attention itakuwaje? Nadhani pia vigumu sana kuwa na mwiba mguuni halafu usichechemee. Tuchechemee tutapata tu njia ya kuwadhibiti hao magaidi.Lengo ni kupigana na ugaidi kwa kuudhoofisha matakwa yao.
Acha blabla hakuna cha ugaid hapa nchini. Haya yanayoendelea ni sarakasi za kisiasa tu, na msizushe kutuharibia nchi yetu.
Magaid yanajulikana duniani kote, ata wewe unawajua sababu ni kundi moja. Kama wamekutuma uje kupotosha huku waambie haiewezekani
Dada FaizaFoxy, kama magaidi wanahitaji kukaa midomoni kwa watu halafu tukanyamaza wakafanya tukio kubwa zaidi ili wapate attention itakuwaje? Nadhani pia vigumu sana kuwa na mwiba mguuni halafu usichechemee. Tuchechemee tutapata tu njia ya kuwadhibiti hao magaidi.
Wacha tuseme ukweliare you playing a role of a mole? poa sisi tunajiachia, tumechoka
Jiwe la msingi linatusaidia nn kama Ben saa 8 hajulikani alipo.... ungekuwa ni wewe umepotea ndugu zako wangepost issue za Jiwe la msingi? Kwani wakoloni hawakunjenga reli, hawakununua ndege? Mbona tupipigania uhuru....Acha hizo mkuu.....habari za ugaidi ndio zinapendwa sana na CHADEMA na ndio wamejaa huku kwenye mitandao wanazisambaza kwa kasi sana....leo Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi wa reli hakuna anaejali....CHADEMA wako busy na habari za watu kutekwa! CHADEMA ni janga la Taifa
ugaidi uliopo ni kulinda CCM kwa bei yoyote wameshaona mwisho wao unakaribiya kwa hivyo watatumiya njia zote ili wabakiKinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
A strong tiss will ensure there is no terrorism except when and where they are the terrorists themselves. Hivi kama utawala unadulterated katiba (pamoja na mapungufu ya hiyo katiba) kuna umuhimu na u lazima wa ku terrorise walipakodi? Kweli?Nashindwa kuelewa kwa nini serikali tukufu ya CCM iko kimya_ hata wabunge wake wanapokuwa wanakabiliwa na matishio ya kutekwa?
Watanzania hatuwezi tukakaa kimya eti tuwakomeshe magaidi kwa kimya chetu!!!.
FaizaFoxy Ndugu yangu nitaumia kiasi gani nikisikia umetekwa na kuteswa?
Je moyo Wangu utahimili kukaa kimya kweli?
Nitafanya niwezalo . Nikishindwa kulipa kisasi basi nitaandika.
Kamwe sitokaa kimya.
Kuna watekaji walitajwa kwa majina na miongoni mwao ni Ramadhan Igwondu, je alichukuliwa hatua gani?
Serikali yetu ya Leo imekuwa Crime Organiser ndio maana iko kimya na hata kwa maswali mazito inakuja na majibu mepesi.
Hakika tukikaa kimya kwa haya yanayoendelea,basi mawe yatapaza sauti.Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Kinachonipa shida ni jinsi gani ya kukaa kimya. Kwasababu hata mjadala ni sehemu ya kupiga kelele. Madamu hatupo meza moja tutajadili kwa sauti tu. Maandishi haya ni sauti ya juu. Nafikiri wenye dhamana ya usalama wetu wazisikie kelele zetu za sauti halafu wao watende kimyakimya. Litakuwa jambo jema sisi kuona matokeo chanya ya kelele zetu.Ni mjadala ambao inabidi kwanza tujue sababu.
Kuna ugaidi wa kugeuza mtazamo, pia hatujauzungumzia.
Wauza unga wamteke Hussein Bashe ili iweje?Kuna uwezekano pia ma don wa unga wanamgeuzia kibao?
Tutazame pande zote.